Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,586
Euro bond walichukuwa kwajili ya nini? World bank wanatoaga mikopo kwajili ya nini? Oh btw, hiyo pesa ya euro bond sijuwi kama ilifika kwa county, ati ilifika?pesa zinazogawanywa kwa counties kutoka central government sio za mkopo bana.....hii iko wazi sana.government haezi kopa pesa ili igawanye kwa county..