Hiyo muvi ya mwaka gani?
Kwa kawaida muvi zinaenda kwa nyakati, kwa hiyo uliyosema itakua ni first blood 1 au ya 2 au ya 3, kipindi hicho na sisi tulishakua na muvi ambayo mtu mmoja anaangamiza kambi nzima inaitwa Shamba Kubwa, tukaja na The witness tukaja na Misukosuko. Hizo zilikua ni nyakati za kuonyesha Badassery.
Baada ya muda era ya badassery imepotea ndiyo maana Rambo 4 ameonekana akisaidiana na mercenaries.
Issue sio Movie ya Mwaka gani hapa tunazungumzia uhalisia!
Hata Miaka hiyo was it possible Mtu mmoja kuangamiza Kambi nzima kama alivyokuwa anafanya Rambo?