Recent content by skasuku

  1. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto wa Rugemarila akila ujana na msanii Rihana ulaya

    Funga huu ujinga. Mleta uzi kachemkaa. Huyu katika picha anaitwa Edward na mbunifu wa mavazi na ni mghana kwa asilia ila ni raia wa uingereza. Pata hii hapa Edward Enninful - Wikipedia, the free encyclopedia tusijenge chuki zisizo na maana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo anasa bil. 400/-

    HABARI KAMILI HII HAPA: Source = Ophir Sells Tanzanian Gas Rights to Singapore Firm for $1.3 Billion - WSJ.com Ophir Sells Tanzanian Gas Rights to Singapore Firm for $1.3 Billion State-Owned Pavilion Gets 20% of Big Find as Asia's Quest for African Energy Continues EmailPrintSave By Alexis...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    watu wapo haraka sana kusahau... https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/10852-mbowe-ahusishwa-na-ufisadi-wa-kuimaliza-nssf-27.html
  4. S

    JamiiForums Tanzania Why CCM presidential ambitions comes 2015 relies heavily upon Prof. Anne Tibaijuka?

    Vipi zengwe la huyu mama alipokua pale HABITAT? Kumbuka alikua na ukanda pale HABITAT ila kuna ufisadi alitembeza akaishia kua demoted. Je akiwa mkuu wa nchi si atafanya hayo madudu tena? Pia ana element ya ukabila huyu. Hizi sifa ni tosha kum-disqualify.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maana Ya Kuwajibika - Waziri wa Ulinzi UK Ajiuzuru - Mkulo unasubiri nini

    Kama tunavyojua hawa mawaziri wetu wanafahamika kwa sifa ya ku "Cut & Paste", hembu hii iwe changamoto kwa wale wanaovurunda katika baraza la JK, kama wanashindwa kupata sababu basi hii iwe "nyenzo", iwasaidie katika ku draft barua ya kujiuzuru kwenda kwa mkullu. Tuanze na Mkulo.... then ...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba aenda World Bank

    Je kuna uhusiano na hii fellowship? Dr. Ibrahim Haruna Lipumba | NED
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

    Hata misupu ameweka hewani, Hakuna cha marekani wala wapi. Dr Batilda izi in Dar, na sioni mimba yoyote... MICHUZI
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bodyguard of Chief Justice found dead

    My take: huyu jamaa atakua anajua siri fulani, wenyewe waka-Mkolimba. By Edwin Agola 14th September 2010 A bodyguard of the Chief Justice Augustino Ramadhani, Mzee Mnyeti (32) was yesterday morning found dead at his residence at Makumbusho area in Dar es Salaam. Chief Justice...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Mahojiano na Fred Mpendazoe

    MMKJ, good work!!!... nasubiri the next instalment....
  10. S

    JamiiForums Tanzania Diaspora inawezaje kuisaidia nchi?

    MwanaFalsafa1 swali na maoni yako ni mazuri. Je umejaribu kufikiria kama sisi Wa-Tanzania tunayo roho au hata nia yakusaidia nchi? Hapa ninamaanisha wa-Tanzania walio ndani ya nchi. Kwasababu ukiangalia tuna wasomi wengi ambao wapo ndani ya nchi ila wengi wao ni "selfish". Labda kabla yakutatua...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa serekali ya TZ wanaruhusika kuweka kipuri (kiherini)cha sikio ?

    Labda ukiangalia vizuri utaona sio hereni bali ni "Hands free set" ya simu yake. Angalia mkono wake kuna waya unayo enda ku link na hicho kifaa sikioni.
  12. S

    JamiiForums Tanzania KAZI African Development Bank

    Kwa wale walio na sifa zakuomba kazi kwenye nafasi iliotangazwa ADB basi fanyeni kweli, au ukijua mtu ambayo hii kazi itamfaa basi piga krosi... http://www.exec-appointments.com/jobs/viewAd.asp?id=149117
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO in bed with Quality Group

    Halafuu.....
  14. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO in bed with Quality Group

    Here we go again... malalamishi tuu. Nje tunaolalamika, mbona hamtoi nji mbadala? Sasa kama hizo tender zilikua advertised, na makampuni yaliojitokeza ndio hayo, sasa unataka Tanesco wafanye nini? Au mlitaka mpewe nyie hizo tender bila ku-apply au kuonyesha mnauwezo? I don't see anywrong here...
  15. S

    JamiiForums Tanzania TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    Labda nimesoma vibaya. Nielewavyo mimi ni kwamba the 1.4 Bil shillings ni zimetumika kubomoa na kujenga nyumba anayoishi sasa Beno, na pia kukarabati nyumba zengine 3? Nikiangalia kilichoandikwa na gazeti la Mwananchi na anachosema Beno, ninaona kuna "mis-reporting" inayofanywa na gazeti la...
Back
Top Bottom