Picha: Mtoto wa Rugemarila akila ujana na msanii Rihana ulaya

tajiri wa kwanza tanzania ninan? changanya hela zake na za mengi na bakheresa hazitosh kumuhonga rihana akakupa raha ya lisaa
 
Mleta uzi huu ni muongo na mzushi sana,huyo anayeonekana hapo kwenye picha amekaa na Rihana sio mtoto wa Rugemalira kama unavyotaka wabongo waamini,mtoto wa Rugemalira namfahamu kama wanavyosema wadau wengine anaitwa Jerome aka tall alikuwa anapenda sana kudansi kwenye promotion za Heineken,hafanani kabisana huyo jamaa .
 
Subiri tugoogle
Anaitwa Jerome

Nilijua tu ndio utaelekea huko kwa sababu umekurupuka...

Jerome Rugemalira ni mtu mwingine kabisa tofauti na huyo unayetuonesha hapo...

Nilidhani kabla ya kuweka habari yako hapa unge-google kwanza kuhakiki habari yako...

windoek+3.jpg
 
Huyo si mtoto wa Rugemalira
Na wala hawana uhusiano wowote umeokota picha na una unganisha matukio!
 
Mie ninavyosikia, Mzee Rugemarila ana Kijana wa kiume mmoja. Huyu umemtoa wapi?
 
Huyu ni mghana anayejishughulisha na masuala ya mitindo
 

Attachments

  • 1417754216898.jpg
    1417754216898.jpg
    68.3 KB · Views: 380
The Boss hata ningezipata mimi hizo hela nisingeziacha, vita mbere mura.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom