Mawaziri wa serekali ya TZ wanaruhusika kuweka kipuri (kiherini)cha sikio ?

skasuku

Senior Member
Joined
Apr 19, 2008
Messages
113
Likes
2
Points
35

skasuku

Senior Member
Joined Apr 19, 2008
113 2 35
Labda ukiangalia vizuri utaona sio hereni bali ni "Hands free set" ya simu yake. Angalia mkono wake kuna waya unayo enda ku link na hicho kifaa sikioni.
 

_ BABA _

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Messages
204
Likes
0
Points
0

_ BABA _

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2009
204 0 0
Nimekuta picha ya Mh seif khatib katika Blog ya Michuzi akiwa kule pemba ameweka kipuri katika sikio lake la kushoto kusibitisha hilo ingia hapo.
http://issamichuzi.blogspot.com/[/QUO

Mie naona earphone ya handset na ina rangi ya silver hata ukiangalia kifuani kwake pana ile piece ya kunasa sauti ina rangi ya silver pia....
 

Forum statistics

Threads 1,191,691
Members 451,730
Posts 27,717,594