TANESCO in bed with Quality Group | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO in bed with Quality Group

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PELE, Dec 26, 2009.

 1. P

  PELE JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2009
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  By ThisDay Reporter
  21st December 2009


  THE state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), which is currently being audited for possible financial mismanagement, awarded contracts worth billions of shillings this year to dubious individuals, including those linked to the Bank of Tanzania's external payment arrears account (EPA) looting scandal.

  Business tycoon Yusuf Manji, who faces widespread allegations of corruption, was among the major beneficiaries of hefty TANESCO payments for the procurement of various goods and services through at least two of his companies during 2009.

  The companies - Quality Trade & Distribution Limited and Quality Motors Limited – were paid more than 19.7bn/- out of TANESCO's supposedly-depleted coffers over the past 12 months alone.

  The power utility firm, under its most recent managing director Dr Idris Rashidi, also did business with KERNEL Limited, a company owned by Dar es Salaam-based businessman Johnson Lukaza who is presently facing criminal charges over the EPA scandal.

  TANESCO paid Quality Motors Ltd more than 5.75bn/- for the supply of motor vehicles, and another 14bn/- or so to Quality Trade & Distribution Ltd for the supply of various tools and equipment including transformers and service line material for rural electrification.

  These particular payments are among expenditures under investigation as part of a special audit being carried out by the office of the Auditor and Controller General (CAG).

  Quality Trade & Distribution Ltd was initially registered at the Business Registration and Licensing Authority (BRELA) offices in Dar es Salaam as Quality Distribution and Trade Limited, on February 21, 2001.

  Just six days later (February 27), the name Quality Distribution and Trade Ltd was changed to Quality Trade & Distribution Ltd for reasons yet to be established.

  The registered directors of the company are Yusuf Manji and his deceased father, Mehboob Manji.

  Records show that various companies affiliated to the Manji-owned Quality Group have over the past few years been awarded other lucrative contracts worth billions of shillings by the reportedly cash-strapped TANESCO.

  The controversial businessman faces various allegations of widespread tax evasion, fraud and corruption, and has further been allegedly linked to the infamous Kagoda Agriculture Limited which alone received more than 40bn/- from the EPA account.

  He has denied the allegations.

  KERNEL Limited, owned by Johnson Lukaza, was this year awarded by TANESCO a contract worth around 70m/- for the supply and servicing of fire extinguishers.

  The management of the public utility (under Rashidi) did the deal with the company despite its owner being indicted over the EPA scandal last year.

  In criminal case number 1156 of 2008 at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam, Johnson Lukaza and his brother Mwesiga Lukaza are jointly charged with fraud, conspiracy and the theft of more than 6.3bn/- from the Central Bank.

  The Lukaza brothers are alleged to have forged legal documents purportedly between their company, KERNEL Limited, and Marubeni Corporation of Japan to siphon the money out of the EPA account.

  Rashidi left TANESCO this month after expiry of his three-year employment contract, but is believed to be eying a fresh mandate at the helm of the reportedly financially-troubled power firm.

  Well-placed sources say auditors from the CAG's office have already uncovered serious financial mismanagement at TANESCO through excessive purchases of luxury vehicles, furniture and construction of swimming pools at residential houses.

  The lavish spending spree apparently authorized by Rashidi came against the backdrop of serious liquidity problems said to have hit TANESCO for quite sometime now.

  The CAG-led special audit, which is basically targeting a massive syndicated loan of 300bn/- secured by TANESCO from various local banks in September 2007, is expected to be concluded next month.
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2009
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Huyo Manji na akina Lukaza ni panya tu hata mpige kelele vipi hawatamfanya lolote. Tukifika November mwakani kwenye uchaguzi natumaini tutakuwa na paka wengi kuwashughulikia hawa panya ambao wamekuwa Overzealous.
  .
   
 3. R

  Rubabi Senior Member

  #3
  Dec 26, 2009
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What is going on?

  Je kikwete huu ufisadi hauoni?
  Kama anauona kwanini hamna kinachofanywa kuwadhibiti wakina Manji?

  Jamani could someone help me?
   
 4. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hizo ndio sifa za best ceo...
   
 5. s

  skasuku Senior Member

  #5
  Dec 26, 2009
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Here we go again... malalamishi tuu. Nje tunaolalamika, mbona hamtoi nji mbadala? Sasa kama hizo tender zilikua advertised, na makampuni yaliojitokeza ndio hayo, sasa unataka Tanesco wafanye nini? Au mlitaka mpewe nyie hizo tender bila ku-apply au kuonyesha mnauwezo?

  I don't see anywrong here, unless kuna mtu mwenye data kwamba hawa wakina Manji na Lukaza wamepewa hizo tender bila kufuata taratibu wa manunuzi ya umma?

  Tumechoka na kila kitu kuwa attributed to Ufisadi....
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Dec 27, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..mmesahau kwamba JK alipokwenda USA alisafiri na Johnson Lukaza??

  ..mmesahau kwenye ile fundraising JK alikataa kupokea mchango wa Lukaza mpaka pale alipoongeza dau?
   
 7. s

  skasuku Senior Member

  #7
  Dec 27, 2009
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Halafuu.....
   
 8. N

  Nandoa Member

  #8
  Dec 27, 2009
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  :confused:
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Du! Kweli huko tunakoenda siko!

  • Kufanya audit ni jambo la kawaida especially kwenda tenda kubwa, sio jambo la ajabu hata kidogo!
  • Kwamba Quality Motors ni agent/distributor wa magari aina ya Isuzu Tanzania ni kitu dhahiri.
  • Kwamba vehicle fleet ya TANESCO ina magari aina ya Isuzu na yenye bodi zilizotengezwa Quality Motors... ni dhahiri.
  • Kwamba Manji na makampuni yake lazima yamepata tenda kwenye taasisi mbalimbali private na public sio jambo la ajabu.
  • Kama mwaandishi ana wasiwasi asubiri report ya Audit ndio atakuja na kitu cha maana hapa.
  Sasa sijui mwaandishi anataka kutuambia lipi hapo ambalo ni habari kwenye bandiko lake?
   
 10. p

  paparazi Member

  #10
  Dec 27, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hehee jamani wabongo wezangu tatizo liko wapi mtu kupewa tender tena halali la kushangaza liko wapi? au chuki binafsi
   
 11. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Tender halali?! Kama thinking ya Watanzania wengi ndiyo hii basi tutaendelea kukandamizwa na hawa mbwa mpaka basi.
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mengi wivu utakuuwa ..utapiga keleleeee mpaka yesu atarudi watu wana make hela tu kama wananaaaaawaaaa..haikusaidii sana kulalamika maana wenye maamlaka wenyewe ndo wanaofanya hayo..Mbona Jeetu kapewa tenda ya kuagiza matrekta ya kilimo kwanza unataka kusemna Jk hajui au!!!
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  nchi imejiishia acha wale tu lakini mwisho wao utafikatu
   
 14. e

  echonza Senior Member

  #14
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hii imeletwa kwetu kama taarifa ya yaliyojitokeza/matokeo ya ukaguzi uliofanywa na ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Hivyo, tusubiri tuone hatua zitakazochukuliwa dhidi ya walioonekana kuonyesha uzembe na kutumia vibaya fedha za walipa kodi.

  Hata hivyo, hata naogopa kusema lakini ninavyojua hakuna lolote litakalotekelezwa katika kuwawajibisha watu hao maana najua serikali yetu imekaa kisanii mno! Mapanya wanatesa tu, ndiyo maana hadi watu sasa wanakiita hadi chama tawala ssm chama cha mapanya tu.

  Yetu macho ndugu!
   
 15. e

  echonza Senior Member

  #15
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwisho wao utafika tu kama tutaamka na kuwa watendaji katika nyanja zote tukitetea wanyonge (waandishi wa habari, wanasiasa, wataalamu n.k), wote kama timu ndipo tu tutafanikiwa. Sijafurahishwa kabisa na kauli ya kusema acha tu wale. Waache kuanzia sasa nawashauri!!!
   
 16. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Chini ya utawala wa JK tusitarajie kwamba kutakuwa na kuwajibika kwa mafisadi. Watuhumiwa wale wale ambao ndio walisababisha serikali yake kuanguka bungeni ndio anaosafiri nao nchi za nje, ndio wanaopewa ubosi wa tanroad, ndio wanaopewa tenda za matrector ya kilimo kwanza, ndio yanayopewa tenda za magari ya tanesco, ndio mabosi wa kamati za nidhamu ccm nk. HAPO HAMUONI NI KAMA JK ANAWAKUMBATIA KWA KUWAAMBIA 'I MISS YOU SOO MUCH MY DEAR FISADI'
   
 17. R

  Realist Member

  #17
  Dec 28, 2009
  Joined: Dec 11, 2006
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kuna tofauti kati ya mmiliki wa kampuni na kampuni, mmiliki anaweza kuwa na kesi kama yeye na isiihusishe kampuni yake. Mimi nadhani tuangalie kama wamepata hizo tender kwa kufuata taratibu na sio kuunganisha vitu ambavyo sio vya kuunganishwa.
   
 18. K

  Kijamani Senior Member

  #18
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Elezea tatizo la tender yenyewe!
   
 19. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nadhani, hii kama ndio vita yenyewe ya mafisadi... then hakuna vita hapa... cha kusikitisha gazeti hili ni la kiingereza linasomwa na watu wanaotegemea kuona hoja za maana. maskini Tanzania
   
 20. J

  JokaKuu Platinum Member

  #20
  Dec 28, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Kasheshe,

  ..labda useme hao waandishi wameshindwa kujieleza na kupangilia hoja zao.

  ..lakini hata huko majuu wanakozungumza Kingereza magazeti hulalamika pale makampuni ya kifisadi-fisadi kama Haliburton yanapoendelea kupeta.
   
Loading...