Why CCM presidential ambitions comes 2015 relies heavily upon Prof. Anne Tibaijuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why CCM presidential ambitions comes 2015 relies heavily upon Prof. Anne Tibaijuka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Oct 31, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Mkakati wa kujivua gamba unaelekea kuwa sasa ni kioja ndani ya ccm kwa sababu una matatizo ya ujumbe na wajumbe wenyewe kwani kuna migongano mikubwa hapo...ingawaje mjumbe hauwawi...

  ujumbe wa kujivua gamba una walakani kwa kuwa siyo sera ya chama na mkakati wake siyo shirikishi...matawi ya ccm hayana taarifa na hayajui kinachoendelea....vivyo hivyo mikoani na wilayani tatizo ni hilo hilo hawajui...kipi kinaendelea...

  pili uteuzi wa safu mpya ya uongozi wa juu ndani ya ccm pia ni matashi ya viongozi wa juu na huku chini wanaona wanaburutwa tu...haya si mazingira ya kukiaanda chama kubaki madarakani....na isitoshe baadhi ya vinara wa ufisadi wameachwa kundini...

  mbinu za kukisafisha chama yaelekea nahivyo kueleweka na wengi ya kuwa lilikuwa changa la machoni kwani vinara wa ufisadi bado wanaendelea kutesa ndani ya chama hicho na wengine wamepata ujasiri hata kuanza kujenga ngome za kujiandaa kutwaa nchi...kwa nguvu ya pesa na na kwa gia ya dola...lakini hawaungwi mkono na wapigakura...

  lakini wenye uwezo wa kutafakari ndani ya ccm wanaamini ya kuwa yaliyotokea katika uchaguzi wa 2010 hayawezi kujirudia tena mwaka 2015...ccm haiwezi kuendelea kutegemea kuokolewa na TISS na NEC katika uchaguzi ujao...

  mbinu za ujumbe wa nguvu mpya, kasi mpya na ari mpya wengi wa wapigakura sasa wameushtukia kwa sababu hakuna mabadiliko na viongozi huendelea kuwa wale wale kwenye ngazi zote na hivyo kufifilisha matarajio ya wananchi....kuwa kuna malengo kweli ya kubadilisha mwelekeo wa taifa kutoka hadhi ya kujuana na kujali sifa za wahusika ili kusukuma kwa kasi maendeleo ya taifa...


  kutokana na mazingira tajwa wapo wanaoamini ya kuwa mwanamke mwenye taswira ya mvuto ndani ya ccm anaweza kuwa karata ya mwisho ya kumalizana na Dr. slaa na Chadema yake...mwanamke huyo awe ana sifa zifuatazo:-

  1) Asiwe na tuhuma hata moja ya ufisadi katika utumishi wake wa umma.

  2) Awe Mkristu kuendeleza azma isiyo rasmi ya wakristu na waislamu kupokezana kiti cha Uraisi ndani ya ccm kwa hoja ya kujenga umoja na mshikamano bila ya kubaguana kwa misingi ya udini, ukabila au jinsia....au tofauti nyinginezo kama katiba inavyobainisha.

  3) Asiwe Mnzanzibara kwa sababu wao wamekazana kuonyesha hawana imani na serikali ya Muungano kwa kurekebisha katiba yao na kujipa madaraka makubwa ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa wanataka kujitenga...huwezi ukaendelea kuwaamini watu na masuala ya Muungano watu ambao wanadai wao ni nchi....hata hizi hongo za kuwapa vyeo kwenye masuala yasiyo ya Muungano kama u-R.C zina harufu kali ya rushwa za kisiasa...

  4) Awe ni mwanamke ambaye ni mcha Mungu ili kuonyesha kwa vitendo ya kuwa kweli hizi ngonjera za ya kuwa wanawake wanaweza zinatoka moyoni.....mwanamke mwenye kashfa za ngono au mwenye tabia ya kulonga hovyo atakuwa mwiba kwa ccm...chadema watamrarua vilivyo...

  5) Awe ndani ya baraza la mawaziri la JK la sasa kuonyesha ya kuwa uongozi wa kitaifa ni endelevu...hili pia litasaidia kuwatoa hofu washirika wa ufisadi ya kuwa hakuna lengo la siri la kuleta mtu mpya atakayewashughulikia....

  6) Prof. Anne Tibaijuka hakuwa na upinzani katika kiti chake cha ubunge na hakuhitaji kuwawekea wapinzani mapingamizi kama viongozi wengi ndani ya chama cha magamba walivyofanya ili kujinusuru na hasira za wapigakura...huu ni uthibitisho ya kuwa hata vyama vya upinzani hususani Chadema vinamheshimu kwa sababu anajiheshimu mno...


  kwa mbinu hizi ccm itatesa kwa kipindi kirefu sana....toa maoni yako bila ya shaka yoyote.......
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Why Anne Tibaijuka could be ccm trump card against Chadema in 2015 presidential elections.


  CCM's electoral win of 2010 was marred with vote rigging and serious allegations that national Security organs including NEC were behind her path to backdoor power grab. Given the changing face of African politics in north Africa and some parts of Sub-Saharan Africa, it is lucidly clear that that route to power is not enticing anymore to ccm except of course the ruling party envisages herself as the bloodletting instigator something I find totally implausible.


  Hence, being forced back to the drawing board ccm options are few but still practical. CCM will need to re-invent herself as a party that has wobbled but is willing to reform for the betterment of our national good. That will take some deep political sacrifices. That will mean telling the old guard; now re-positioning themselves to grab power via moneybags and unleashing police terror on innocent will-be voters, that power-looting has no place in modern Tanzania: And that the old ccm is a goner and new blood will need to reassert herself within the party and nationally. This will also need further streamlining the ccm constitution to allow rank and file voters to choose the ccm presidential torch bearer. At the moment, ccm convention does the rubber-stamping after higher national organs have shortlisted their wish-lists and as such those organs are the real powerbrokers. In 21[SUP]st[/SUP] first Century, one thing is crystal clear…what worked for J.K Nyerere during the cold war is not politically feasible now. CCM card touting members will also like to be involved in deciding whom they will pick as their presidential torch bearer.


  Another offshoot of decentralization of electoral process within ccm is that official and unofficial graft reigning high in ccm preferential elections today will be dealt a massive blow. It is always easier to sway the opinion of party powerbrokers but a hell of a task to achieve the same with the rank and file who bear the brunt of bad policies. Knowing graft flourish in secrecy it is easier to see why party apparatchiks can be bribed and endorse someone who is not an attractive candidate to will-be voters. In most of ccm elections carried in secrecy vote buying and horse-trading are political commodities coming handy to major players there. Unfortunately that is not democracy.Previously, and in 1995 in particular ccm top organ i.e the central committee had invented some qualifications for presidential hopefuls but the performance of Mkapa who won the hot seat has proven that those qualifications are rarely followed. Hence, giving power to the rank and file in presidential nominations will seal the fate of all those who have been adversely mentioned in major graft scams and new players who are clean like Prof. Anne Tibaijuka will be automatic frontrunners and ccm quest to retain power without shreds of ambiguity will be in the offing.


  Why Tibaijuka? The answers are obvious. Ccm low popularity arises because her leadership is untrustworthy and Tibajuka clean public record will go some distance to assure voters ccm is serious to combat official graft that is now threatening our national unity.
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na akija Tibaijuka...hao wa chini yake watakuwa nani? Anauwezo wa kupata wasafi angalau 10 wa kumuwezesha kufanya kazi? Kama yeye ni msafi, anaweza kuwa ndani ya ccm? Nikikupa kapu la mayai yaliyooza, kweli utapekua kutafuta yai zuri moja au utatupa kapu zima na kuanza upya?
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Ruta.

  Mkuu CCM ya Nyerere ndiyo ilikuwa ikiwaza mambo ya aina hii CCM ya sasa haina mpango wala mawazo haya hakika haya ni mawazo yako Ruta.
   
 5. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  The survival of CCM would only be if they select the candidate who is an outsider...who does not belong to any prevailing groups! Vinginevyo kazi wanayo
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  I think it goes beyond than that. For CCM to be strong it needs to be reborn.. it must die first. Ku-recycle candidates, even if they come outside the known camps, will not help as I dont think that there is a priominent CCM member who does not belong to one group or another within the party. There are other groups which many poeple are not aware of and they are struggling for recognition within the party
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  I think this is the best answer!
  The whole ccm regime is rotten and needs a total uproot!

  Ruta, why cant you think of a brand new option, out of ccm-cancer?
   
 8. s

  skasuku Senior Member

  #8
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vipi zengwe la huyu mama alipokua pale HABITAT? Kumbuka alikua na ukanda pale HABITAT ila kuna ufisadi alitembeza akaishia kua demoted. Je akiwa mkuu wa nchi si atafanya hayo madudu tena? Pia ana element ya ukabila huyu. Hizi sifa ni tosha kum-disqualify.
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280

  tatizo ni mfumo wa kupata viongozi......................atakachotusaidia ni kubadilisha katiba kazi ambayo miaka minne ijayo haitafanyika kukidhi kiu iliyopo hususani ya kuleta uongozi shirikishi katika kupata viongozi madhubuti......................mfumo uliopo ni wa kujuana tu.
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  ni mawazo yangu......................na ya kwako yakoje?
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  tatizo la hii hoja ni ya kihisia tu..................hakuna uchunguzi wowote ambao ulimuunganisha katika hayo uliofanywa na UN......................kwa hiyo on that frontier she is very clean....................kumbuka wapigakura wengi hawana tatizo na ccm ila na baadhi ya viongozi ambao wapo mstari wa mbele katika kuwania vyeo.....................viongozi hao hawana imani nao...................a u-turn like this can prove productive for ccm
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  I believe we need a transition period...........................and she can fit in as that transformational figure that will encompass the opposition too.............It is not easy to discard ccm altogether no matter how virulent the party has turned out to be................
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  experience of political party in East Africa and most of sub-sahara indicates that ruling parties do not die.........................they can be weakened by official graft........................but in twenty years or so they tend to come back......................as a result of the infighting among the new ruling class...........................and Zambia is a case in consideration..................and Malawi too is heading the same direction.....................kenya remains a nation in limbo depending on the verdict of ICC Kenyatta may turn out to be a redeemer of Kanu................there are neither shortcuts nor quick-fixes here
   
 14. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ruta, where do you put the demarcation between CCM leaders and CCM itself so that the voters could be at the position of supporting the party and not the leaders?
   
 15. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Heshima zako kaka MN! Nastahili kukugongea likes za kutosha ila nmebanwa na mtandao hapa.
  Ndugu yangu Ruta na wapendwa wengine, njia pekee ya chama chetu kipendwa ambacho kiliwahi kuwa cha wakulima na wafanya kazi ni kukiondoa kwenye dola. Wakiwa pembeni nje ya dola wao watajenga chama chao na sisi tutajenga nchi yetu!
  Ni uasi dhidi ya historia kutumia rasilimali za taifa eti kujaribu kutatua migogoro ndani ya chama cha siasa.
  Kuna kamtazamo bado kapo miongoni mwa watz wengi hasa baadhi ya watumishi wa umma, TISS na wazee wengine eti bila ccm nchi haitasonga, hvyo kundi hili la watu limekuwa busy kutumia kila mbinu kuwa nchi inabaki mikononi mwa chama hchi ambacho ni chenyewe tu ndio kinaelewa kinapotupeleka. Chama hicho hakina nafasi tena ya kuendelea kushika dola kwa matumaini kuwa huyu atabadili hali ya chama,
  je nchi itakuwa wapi??
   
 16. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Debe unalompigia Tibaijuka linawalakini sana, mbona ndani ya CCM kunaakina mama wengi wasafi sana hawana hata hizo tuhuma za kusingiziwa kama alizo nazo Tiba wako huko habitat. Kwanza watu hawajapata nafasi ya kuya funua mambo yake, endelea kumpigia debe hilo watu watakuletea mambo yake utashangaa.
   
 17. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kwa Taarifa yako Asha Rose Migiro ndio CCM wanamwandaa 2015
  Tuombe Uzima
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  African elections is about personalities not policies......................if voters trust her ccm is in for another ten years of power................angalia Chadema imefanya vyema kwa sababu Dr. Slaa alikuwa ana mvuto mkali...........ccm have to play a similar game but with more flourish than Chadema dispalying gender sensitivity and Chadema will stumble..............................kwa sababu apart from Dr. Slaa they have nothing else to give voters..........
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  mimi simpigii mtu debe ninangalia mazingira yalivyo ya kisiasa na jinsi ccm inavyoweza kujipanga upya...................wanawake wemgi waliopo ninasikitika hata wewe umeshindwa kumtaja hata mmoja kwa sababu wenye mandhari ya mvuto hawapo..................

  Dr. Asha Rose Migiro ilooks too lethargic and continuation of another ten years of a Moslem is unthinkable.................................part of JK campaign in 2005 ilikuwa ni zamu ya Muislamu sasa unafikiri hiyo hoja ilimnufaisha yeye pekee yake?
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  If ccm makes that colossal error of judgement then Dr. Slaa will win fair and square......................ni vigumu kwa wakristu kumuunga mkono muislamu mwingine..............for another ten years totaling twenty years......Hata wao waislamu wanalijua hilo..............zipo sababu za kiutaifa zinazodai hivyo......................namna ya kugawa kura za wakristu ni kuwapambanisha wakrsitu kwa wakristu.................just watch this space for more info..................
   
Loading...