Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

Status
Not open for further replies.
Kweli ukiwa mwanachama ccm lazima uwe na akili za maiti ama uwe una vuta bange
 
Hata kama angemlipia $1,000,000. Watanzania tunachopinga ni fedha haramu/za wizi/ za ufisadi. Huyu mwigulu anataka kupangia watu matumizi kwa pesa zao. Hahahahahahaha........
 
20M for Mbowe daughter chekechea( Richest/mafisadi clac) = 1000 student in Kata secondary skuli
 
Mboye anahusika kucheza dili chafu mjini sema wezi hawafungani wanajuana kwa vilemba wewe hushangai Marando na Tundu Lisssu kutetea Mafisadi wa Epa mahakamani
Hata kama angemlipia $1,000,000. Watanzania tunachopinga ni fedha haramu/za wizi/ za ufisadi. Huyu mwigulu anataka kupangia watu matumizi kwa pesa zao. Hahahahahahaha........
 
Sawa kabisa mkuu; hawa wanaopiga kelele kutetea Ubebari wa chama chao ni wasaliliti wa taifa letu. huwezi ku support matumizi ya 20M kwa ajili ya ada ya Chekechea kwa mwezi yanayofanywa na mtanzania mwenzio tena yupo kwenye harakati za ukombozi wa taifa kisa tu ni mwanachadema tajiri
Bado siamini kama wafuasi wa CHADEMA ni vipofu kiasi hiki kwa swala linalogusa viongozi wao wakuu wa chama.

Kama leo mnahalalisha na kuunga mkono jambo ambalo ni dhahiri linaiondolea heshima na Imani CDM mbele ya jamii, nina uhakika kesho CDM ikiwa madarakani wafuasi wa CHADEMA wataunga mkono na kuhalalisha Kuuza nchi mchana kweupe, hata kama pesa za mauzo watagawa kwa kila mtanzania.

Huo ni UTUMWA WA KIFIKRA, na hamna budi kubadilika, shame on you Pro Chadema na viongozi wake wote ambao mmeshindwa kukemea ama kukubali kua Mbowe amekosea..
 
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?


mkuu mbowe unajua anafanya kazi gani tofauti na siasa? watu hawakurupuki kutetea bila kufikiria mkuu. unamjua huyo meya wako wa jiji la hapo unajua anawatoto wangapi? ana watoto kumi na saba na wa 18 anatarajia kuja hivi karibuni na wake watatu. watoto wake watatu wa kiume na wa kike mmoja wako nje wanasoma kila mwaka total amount £36,000 hiyo ni school fees tu bado accomodation na vitu vingine na waliobaki wapo hapo bongo wanasoma je income yake inaendana na mbowe? angekuwa ni dr slaa au zitto amefanya hivyo hata mimi ningekuwa nashida kidogo ila mbowe?? wameanza biashara toka kipindi cha nyerere leo utawaambia wanafuja pesa zao?
 
Money never made a man happy yet nor will it. There is nothing in its nature to produce happiness. The more a man has, the more he wants.
 
Ain't nor true Patriot nor Liberation Fighter within opposition parties particulary CDM, all they care for, is Self Interest cause nobody who WALK THE TALK particularly CHADEMA's top figure.

As the Leader of Opposition side within The Parliament but still he takes into his pocket Sitting Allowances till tommorow which is contrary and different with what his coleague(Zitto) does but also contrary to what his party claimed to stand for.

What a big JOKE Mr.Mbowe and his CHADEMA?
 
Imeandikwa mali yake mtu aweza itumia atakavyo ilimradi iwe siyo ya wizi, dhuruma au ya unyang`anyi.
 
KATI YA HAWA YUPI BORA?...
1. Anayetumia pesa zake kwa ajili ya kumsomesha mwanawe?
2. Anayetumia pesa zake kwa ajili ya kumrubuni mke wa mtu na kufanya nae uasherati?
 
Hakuna haja ya povu hapa, mfano International School of Tanganyika (IST) baby class ni 40,000 US $ kwa mwaka, na unafanya booking a year before na kulipia ada in full ku-reserve nafasi! Utalinganisha na wanaotumia ruzuku ya serikali kusomesha vilaza nje? Baba wa watu anapigisha disco usiku kucha, acha asomeshe wanae kwa uzuri bwana.
Ni vizuri akataja huyo mtoto anasoma shule gani, na mtoto wa chekechea analipiwa ada kiasi gani. Vinginevyo yote ni mboyoyo! Mtu yeyote anaweza kuwaaminisha watu upumbavu wake, mfano anaweza kusema Mwanaasha analipiwa ada dola laki 5 hapa hapa bongo bila facts.
 
mitoto ya wana CCM inasomeshwa kwa kodi zetu wanazoiba halafu mwisho mtoto anakuwa ushuzi kama William Malecela
 
PHD yako haijakusaidia, kwa nchi masikini kama TZ, na kwa mtu kama mbowe anayejidai kutetea umasikini wa watanzania, kama kweli 20M kwa mwaka just kwa chekechea si pesa ndogo. kwa hiyo hoja ya sh ngapi inamata sana.
Hadi sasa bado wewe ni ZUZU? Umekaririshwa na viongozi wako Tanzania ni masikini wakati wenyewe wanaishi kama wapo peponi na wewe kwa UZUZU wako unakubali?
Kama Tanzania maskini fedha za JK kujenga mijumba ya thamani ya bilion plus pale msoga zimetoka wapi?
Kama Tanzania ni masikini umewahi kujiuliza ada ya Mwanaasha Jakaya pale FEZA ni sh ngap kwa mwaka na kwanini Mwanaasha hakupelekwa Kaole akapelekwa FEZA?
Umewahi kujiuliza Maige anasomesha wanawe shule gani?
Chenge je?
Na Ndesamburo je?
Mary Nagu nae?
Zakia Meghji je?
Bado umekuwa zuzu wa kuamini tz ni masikini?
 
hapa ndio unapoweza kufanya upembuzi yakinifu.
Kama kweli mbowe anafanya hayo huo ni uchoko bila kujali pesa izo amezipataje !
Uongoz huanzia ngazi ya familia lakini kama ndo mbowe huyu anayelalamikaga serikali ina matumizi ovyo ya pesa yeye ndo atazd kwa mfano huu.
Usiwe mpuuzi. Huijui fedha na tabia zake wewe. Hivi kama kwa mwaka unakusanya revenue ya bilion moja,baaa ya makato yote ya tra na wengineo unabakiwa na Mil 700+ inakuzuis nini kununua kiatu hata kwa sh 2,000,000?
The higher the income,the higher the expenditure.
Pia income ina play part kubwa kwenye preferencez za demand.
Unademand kutegemeana na income yako

Sasa kama Mbowe anapata mamilioni kwa mwaka mliyaka apeleke mtoto Almarhum day care centre ambapo ada ni sh 20,000 kwa mwezi?
 
Kwanza, ni upotoshaji kuwa Mbowe ana mtoto chekechea. Nijuavyo ni kwamba mtoto wa mwisho wa Freeman ana umri wa zaidi ya miaka 12. Sasa huyu anaweza kuwa chekechea kweli?
 
Huwa najiuliza ccm ni Chama tawala au wapinzani kwasababu kinatumia muda mrefu kujibizana na CDM badala ya kufanya maendeleo kimeajiri waimba Taarabu wengi sana mf hadija kopa komba Mwigulu nape ni hatari sana kwa uhai awa Chama
 
Wanabodi.

Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

SOURCE: HABARI STAR TV

Huu ni upuuzi na ufinyu wa kufikiri, unajadili matumizi badala ya kuchadili mapato na chanzo chake?

Je Mbowe anamtoto wa chekechea? Mbona unafiki wa kizandiki umekithiri sana wakuu?

Mbowe ninaemjua mimi huyu mwenyekiti wa Chadema hana mtoto wa chekechea, na hata kama anae na anamsomesha nini tatizo?? Je tatizo ni kumsomesha au tatizo ni pesa inayomsomesha ni haramu?

Rostam Azizi alikuwa akimsomesha mwanae kwenye shule ya gharama zaidi duniani akilipa bilioni 2 za kitanzania kwa mwaka je ccm waliwahi kulisemea hilo au hawajui kabisa?

Siasa za kipumbavu hizo na zinaififisha ccm huku ikijiona, na kama watu wa aina ya Nchemba na Nape wataendelea kukiongoza chama hiki kuna hatari kisiione hata 2015!

Kuwa na chama bora ni kuwa na watu bora vile vile kisiasa na kimang'amuzi!
 
Ipo siku sisiemu watahoji kwa nini mzee SABODO anakula keki ya mayai kila asubuhi na huku anatoa misaada ya kuwachimbia wananchi visima vya maji? Watahoji kuwa hivi anawapenda watz kweli? Wapumbavu sana akina Mwigulu Nchemba, Mbowe anatumia mali na fedha zake halali za urithi na biashara zake azifanyazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom