Recent content by simeu

  1. simeu

    Star tv na radio free acheni kufanya kazi kama radio ya chama cha ccm

    Kumbe matukio ni kwa wananchi wa kawaida na wapinzani tu. Kada mkubwa kama huyu akiharibu kipindi kinapigwa chini.
  2. simeu

    Star tv na radio free acheni kufanya kazi kama radio ya chama cha ccm

    Leo Asubuhi wamenishangaza pia kwa kuondoa kipindi cha matukio kisa Kada wa chama Elnest Mabina ameuawa na wananchi huko kisesa hivyo issue hiyo ndo inge-make headline leo kwenye kipindi chao, wakaona bora waondoe kipindi cha matukio.
  3. simeu

    Opras

    [QUOTE=nyamatarekwetu;80158:teeth: Kamuone afisa utumishi wako kwa msaada zaidi maana kila idara kuna tofauti kidogo kwenye ujazaji wake.
  4. simeu

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Dawa ya mjinga ni kumpuuza, sasa cjui kwa nini mnapenda ku-pay attention kwa viredio kama hivi. Vikijua mnavisikiliza ndo vinazidisha mijadala isiyokuwa nakichwa wala miguu. Jamani wapuuzeeni watu hawa.
  5. simeu

    Nafasi moja tu!!!!!!!!!!

    Hata mie jinsi ulivyowasilisha inantia mashaka"
  6. simeu

    Mrema aitolea uvivu CHADEMA

    Unajua Kisukari ni ugonjwa wa Ki Sugar ni cronic so si tatizo lake maana una tatizo la kumfanya mtu akapoteza kumbukumbu na akakata tamaa, namshauri atafute huduma ya ushauri nasaha asubiri siku za zake aende kwa amani badala ya kuendelea kujichafua kama popo.
  7. simeu

    Mrema aitolea uvivu CHADEMA

    Ndugu wananjii nipeni njii hii nikakamate dhahabu airport Huyu mtu kwishney kabasa, thank God he has finaly shown his true colour. Babu Ryatonga nenda Kiraracha ukalee wajuukuu 2 usubiri siku. Hoja zako hazina mashiko, ulikuja na mbwembwe ulipewa uenyekiti wa kamati ya bunge ya...
  8. simeu

    Serikali kuanza kujenga barabara za juu kupunguza msongamano wa magari Dar!

    Tatizo Magufuli naona anadanganyika sana na ka imani wananchi walikonako kwake, yeye anajibu kwa hisia sana kiasi kwamba anapindikua kuweka mbwebwe nyingi ambazo zinaweza ruin reputatiion and trust wadanganyika waliyonayo kwake.
  9. simeu

    Dr. Hilderbrand Shayo: Mhadhiri Mwandamizi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    Bora akimbie bwana: unajua nilkua sipati picha utoke high ranking university uk uje kufundisha OUT.
  10. simeu

    Dr. Hilderbrand Shayo: Mhadhiri Mwandamizi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    HUYU NDO TUNATAKA AJE AWAPE MASTERS NA DR AKINA KILANGO, WAKIPEWA NJE MNACHONGA SASA KAJA BADO MNACHONGA. Unajua bwana kwa elimu yangu nilishafanya kauatafiti hapa kwetu Tanzania watu wanasoama ili wapate Heshimiwa na kupata ujiko kwa wadanganyika bila kujali hiyo elimu aliyosomea au...
  11. simeu

    Kingunge Ngombale Mwiru

    Bora kaamua kukaa kimya, maana kuisemea serikali ya JEY KEY WA UKWELI inahitaji moyo.
  12. simeu

    Natafuta kazi

    shule mbona nyingi
  13. simeu

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    mwagamba ki bojo?
  14. simeu

    Natafuta Rafiki wa kike Girlfriend

    hi everyone I'm called Simeu,Im the new member of jamii forum.I'm a social worker by profession.Naomba tuwe pamoja
Back
Top Bottom