Nafasi moja tu!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi moja tu!!!!!!!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ze burner, Aug 2, 2011.

 1. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Natafuta mtumishi wa kazi za ndani mwenye jinsi ya kike. sijawahi kuwa na mtumishi yeyeto wala sina uzoefu wa watu hao hivyo yeyote mwenye mawazo ya kumpata mtumishi mzuri please msaada.
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  una mpango wa kulipa mshahara mzuri. Unapanga kumlipa shilingi ngapi kwa mwezi?
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Au unatafuta chakula cha usiku cha bei che?
   
 4. simeu

  simeu Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mie jinsi ulivyowasilisha inantia mashaka"
   
 5. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nawaomba msiwe na wasi jamani kama kuna mtu anafahamu vizuri naomba aniinbox tuwasiliane vizuri.
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Utamlipa kiasi gani kwa mwezi?
   
 7. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ni kwa mujibu wa makubaliano. pia unaweza kuniibox pls ili uweze kunishauri vizuri coz si mweledi sana na hawa watu.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  uko na familia? i mean watoto maana wako wawili mmoja hataki kazi za watoto
   
 9. A

  Aine JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri ukawa wazi kwa mambo yafuatayo:
  1. Je umeoa?
  2. Mna watoto wangapi na wa umri gani?
  3. Unataka msichana mwenye sifa gani na umri gani?
  4. Kama hutajali, uko mkoa gani?

  Mambo ya mshahara najua mtazungumza akifika kwako
   
 10. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nimeowa na nina mtoto mmoja
  Msichana awe ni wa rika ndogo ndogo about 18een to 22
  Mimi naishi mwanza.
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Yupo mwenye umri wa miaka 25, ni msafi na ana shape nzuri kumudu kazi za nyumbani
   
 12. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Msisitizo wa aina hii vipi tena coz naogopa ugomvi?
   
Loading...