Mrema aitolea uvivu CHADEMA

Walichonifurahisha wabunge wa CHADEMA hakuna alieomba muongozo wa spika maana mtu anapoamuwa kujivuwa nguo ni vizuri ukamuacha ajivuwe abaki uchi, maana hata spika alitaka kumkatiza lakini Mrema akawa mkaidi ikabidi spika amuache tu aendelee. binafsi nimefurahishwa huyu bwana kuachiwa azitumie dakika zake 15 kuongea pumba zake badala ya kuchangia bajeti ya wizara nyeti ya ujenzi.

Ila kwakuwa jimbo analotoka limepiga maendeleo kiasi chake basi sina sababu ya kuwaonea huruma wana Vunjo kwa sababu najua mmempa ubunge kama shukrani yenu kwake na kumpa pensheni yake ya mwisho azeeke kwa amani.

Mie namshauri atangaze kurudi kwa kina magamba watampokea kwa shangwe!

Hivi keshaamka?

mrema.jpg
huwa anaamka wakati wa kwenda kupokea alawansiz tu

Mkuu Kapwani umenena vyema mzee. Nashindwa kuelewa mtu mzima anazungumza akionyesha dhahiri kuwa anajikomba kwa CCM bila hata aibu. CDM wameishaeleza kwanini wanafanya maandamano anajifanya haelewi. Tatizo lake anapenda sifa binafsi. Ameona sasa CDM imemfunika basi anakandia hata muono wake aliokuwa nao. Kwa kweli mimi simuelewi kabisa. Nadhani alipaswa kufurahi kwamba alichokuwa akikipigania kimepata wapiganaji wengi. Shame on him.

nimeamini kweli Mrema alikuwa pandikizi, kama mnakumbuka aliteka wauza dhahabu za wizi akawambia wazilete ofisini mwake kama kawaida siku saba nao wakatekeleza wajanja wakazijamba sasa wao matajiri, yeye kumbe alikuwa akiwaita kwao weekend hela zote anakomba eti kawasamehe. Huyu alikuwa mwizi tu , kama kweli mabomu yake yaliishia wapi , tulikuwa tukishangaa kwa nini huyu uwa hakamatwi kama Mtikila. Kumbe mtikila alikuwa anamjua kuwa nimsaliti, RIP TLP Kwisha

Walichonifurahisha wabunge wa CHADEMA hakuna alieomba muongozo wa spika maana mtu anapoamuwa kujivuwa nguo ni vizuri ukamuacha ajivuwe abaki uchi, maana hata spika alitaka kumkatiza lakini Mrema akawa mkaidi ikabidi spika amuache tu aendelee. binafsi nimefurahishwa huyu bwana kuachiwa azitumie dakika zake 15 kuongea pumba zake badala ya kuchangia bajeti ya wizara nyeti ya ujenzi.

Ila kwakuwa jimbo analotoka limepiga maendeleo kiasi chake basi sina sababu ya kuwaonea huruma wana Vunjo kwa sababu najua mmempa ubunge kama shukrani yenu kwake na kumpa pensheni yake ya mwisho azeeke kwa amani.
Hapo ndio wabunge wa Chadema walipoonyesha uwezo wao wa akili, mtu akitoa pumba ukiomba mwongozo unampotezea muda wa kuzimwaga nyingi zaidi. Mwache aropoke ila wananchi wanaosikiliza wata hukumu kwa kanuni za nje ya Bunge kusiko na mwongozo wa spika.

Tatizo la mtoa hoja amesahau kuwa watz ni "wavivu" wa kusoma, ameandika gazeti zima!

Wewe ndio mvivu,mbona mimi ni Mtanzania na nimesoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho.Usipende kujumuisha vitu au watu.

Mrema wa sasa ndo anaonyesha kuwa tungeiingiza nchi matatani kwa kumuweka Ikulu 1995. Mrema ni mroho wa madaraka, mbinafsi, mchonganishi, asiye na msimamo wa kisiasa, mpenda sifa,................................................

Maskini mbaba wa watu - lakini jinsi anavyoonekana kwa nje - hivi kweli kwa ndani (brains etc) atakuwa mzima???? Labda ndio maana anaongea bila kujielewa anaongea nini ---

ushujaa wake umeenda wapi jamani??? Ama kweli mungu peke yake ndiye asiyebadilika - lakini mwanadamu anaweza kubadilika badilika kama kinyonga - ndio kinachomtokea ....................

Kapwani leo umewaza nini??

Naona ume-mprove alot

Hahaaaa MTM......mie mtafiti mara nyingi nipo na wana vijiji.....unakutana na vijana, wazee, watoto vijijini wamekata tamaaa...hali ngumu sana wana njaa, wanashambuliwa na mogonjwa yanayozuilika, wana kufa vifo vinavyoepukika ..... hata kama mie nafika kijijini kwao na DFP lakini nashinda nao mchana kutwa na mahojaji yangu.....wamechoka sana , kibaya zaidi wanadhani kuna watu wanatambua shida zao na kutafakari namna ya kuzitatua....muda wote ukiuliza swali la unafikiriaje future wanajibu..''serikali itusaidie'....hawana jibu jingine..maskini laiti wangejua wenzao wanatumia muda mwingi KUSIASA, kujihami na makundi na kuwatafakari CDM wangejaribu kufikiria ishu muafaka.....

Mix with yours

Mrema wa sasa ndo anaonyesha kuwa tungeiingiza nchi matatani kwa kumuweka Ikulu 1995. Mrema ni mroho wa madaraka, mbinafsi, mchonganishi, asiye na msimamo wa kisiasa, mpenda sifa,................................................

Mwiyuzi inaonekana MUNGU alikuwa nasi sana NYAKATI zile.........

mix with yours

Maskini mbaba wa watu - lakini jinsi anavyoonekana kwa nje - hivi kweli kwa ndani (brains etc) atakuwa mzima???? Labda ndio maana anaongea bila kujielewa anaongea nini ---

ushujaa wake umeenda wapi jamani??? Ama kweli mungu peke yake ndiye asiyebadilika - lakini mwanadamu anaweza kubadilika badilika kama kinyonga - ndio kinachomtokea ....................

ni bora ukabadilika badilika kwenye mambo yanayokuhusu wewe na mamsapu wako lakini linapokuja suala la kitaifa....ukapaza sauti kuwatetea maskini na wavuja shajo, wanaozalia sakafuni ..... mmmh inasikitisha sana hata kama ni siasa hata kina Nyerere, Kwame, Sokoine na Lumumba walikuwa wanasiasa.
mix with yours

[/COLOR]

Yes ni kweli dear ila ni bora ukabadilika badilika kwenye mambo yanayokuhusu wewe na mamsapu wako lakini linapokuja suala la kitaifa....ukapaza sauti kuwatetea maskini na wavuja shajo, wanaozalia sakafuni ..... mmmh inasikitisha sana hata kama ni siasa hata kina Nyerere, Kwame, Sokoine na Lumumba walikuwa wanasiasa.
mix with your

Mwacheni huyo mzee..anatafuta hifadhi, muda wake umekwisha na kisukari nacho kinazidi kumtafuna

"Kipindi cha ubunge wangu nilioji ubadhilifu wa mali ya umma unaofanywa na selikali nikapeleka vidhibitisho wakaniita mwenda wazim anaye okoteza makaratasi wakanifukuza bungeni, sasa nasema mmemfukuza Mrema mmoja vitazaliwa vi-Mrema vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii" Maneno hayo yalitamkwa na MZEE AUGUSTINO LYATONGA MREMA hapo jangwani ktk mutano wa kumpokea ZITTO KABWE aliyefukuzwa bungeni kisa kamtaja Karamagi kuwa amesaini mkataba hotelini.( Siku hiyo mvua ili tunyeshea sana hapo jangwani lkn hatukuondoka tulilowa na kukauka tukiwasikiliza wana harakati na Mrema akiwa 1wapo!)
"Eti baba mzima tena kiongozi wa inji anatoka na kukumbatia KOMBE na kulibusu eti mwaaaaa! x3(akionesha kwa vitendo) ni kuliaibisha taifa!" Hayo pia yalisemwa na LYATONGA akimponda Jk kwa kupokea kombe la dunia lilipokuwa likifanya ziara kwa udhamini wa koka kola

Ndugu wananjii nipeni njii hii nikakamate dhahabu airport Huyu mtu kwishney kabasa, thank God he has finaly shown his true colour. Babu Ryatonga nenda Kiraracha ukalee wajuukuu 2 usubiri siku. Hoja zako hazina mashiko, ulikuja na mbwembwe ulipewa uenyekiti wa kamati ya bunge ya ukaguzi,ukategemea magamba hawa utawaweza, sasa tena ukaja na jipya unataka marupurupu yako ya cheo cha kukupumbaza cha makamu waziri mkuu. Umegundua moto wa people power hauzimiki unaanza kujikosha. Mzee wa siku saba kumbuka kila kitu na wakati, siku zako zimekwisha. Pumzika>>>>>>>>>>>>>>>>>>>Meku::::::::::

Unajua Kisukari ni ugonjwa wa Ki Sugar ni cronic so si tatizo lake maana una tatizo la kumfanya mtu akapoteza kumbukumbu na akakata tamaa, namshauri atafute huduma ya ushauri nasaha asubiri siku za zake aende kwa amani badala ya kuendelea kujichafua kama popo.

Back
Top Bottom