Recent content by sherif john brown

  1. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Kwanza naanza Ku clear interest mi ni team ukawa. Ila Magufuli namuunga mkono kwa hili jambo la NIDA, Jana ndio nimepata kitambulisho pale mikocheni kwa warioba. Kwa kifu vitambulisho vimechukuwa muda mrefu sana kutoka. Pili hivi vitambulisho vya ovyo sana, yaani kitambulisho kina majina matatu...
  2. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkiambiwa njooni Kigali Rwanda hamtaki!! si twafaidi

    Ntakaribia wallah
  3. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Maneno gani uliyokuwa unayatumia zamani?

    No sweet, - haina shida Nyanga- shilling mia Kokoto-kande Makori- palachichi Ngwira, supu ya mawe- gongo Kudinya- kujamiana bati-jeans Mbaula_fiat Njagu- afande Jeans-gari peugeot (4*4) Mapepe- papala Kipapa,kutumbua, kipochi manyoa, - uke Mawola- maji
  4. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Diamond: Hata kama mtoto si wangu niacheni

    Na bado watanyooka tu, maana hakuna namna
  5. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Mwalimu apigwa risasi huko Tabora kwa kosa la kukojoa kwenye gari la mtu

    Kwa nyie msio kunywa mnamuona ticha kama kituko. lkn kwa si wanywaji kukojoa karibu na gari wala sio issue kanisa, yaani unamshoot mlevi mwenzio kisa kakojoa karibu na gari yako kweli?, pumbufu kabisa Huyo jamaa akitoka jela tunamnyang'anya leseni ya unywaji na kumiliki bastola
  6. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Watu ambao dunia haitawasahau

    Bob Robart Nesta Marley
  7. sherif john brown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika: PESA kwa mwanaume ni kama UZURI kwa mtoto wa kike

    No comment
  8. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

    Boss wa kike sio kabisa, wakorofi sana, wanafuatilia hata issue binafsi. Pia busara hawana na wanapenda kuonekana wa kiabudiwa kama miungu
  9. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Zidane na Luis Enrique miaka hiyo, sasa hivi ndio managers wa team zao

    Sawa zidane, lkn fundi wa kuchezea mpira atakavyo ni Ronaldinho Gaucho, ukibisha basi we sio mtu wa mpira kaangalie mieleka
  10. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Baby Kabae wa Clouds Tv tupa kule, Kissa Mwaipiana wa Channel ten ni shida!

    Chezea nyakyusa wewe,?
  11. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Shule sita nchini kufundisha Kichina

    Ni kweli, nilijichanganya mwishoni nikajiunga na makundi mabovu hatimae ni kachemsha ila niliumia sana, lkn mwanzoni nilikuwa napasua sana pamoja na kuchora. Nimekula sana vichori na ice cream kwa kuwachorea ramani mabinti hasa jiografia
  12. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ubunge: Joseph Haule (Prof Jay) amgalagaza mgombea wa CCM

    Safi sana tumechoka maigizo
  13. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Shule sita nchini kufundisha Kichina

    Rapherl achana nao watakupasua kuchwa wanajua fika tunachokiongelea ila wanajifanya hamnazo
  14. sherif john brown

    JamiiForums Tanzania Shule sita nchini kufundisha Kichina

    Asprin Achaean kunuu watu vibaya, hujaambiwa kuwa ili upate ajira lzm ujifunze kichina. Soma tena nilichokiandiki, usikurupuke tu, halafu eti elimu elimu elimu.Sasa kwa hapo ninani anahitaji elimu kama sio wewe?
Back
Top Bottom