barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Kuna uzi ulianzishwa jukwaa hili ukimfagilia kwa umbo la kiafrika mdada/ mshangazi Babe Kabae ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv. Sijawahi kumuona akiwa amesimama, ila hata akiwa amekaa unaona kwa macho jinsi alivyolijaza kochi kwa uvungu!
Leo wakati naangalia habari ya saa moja Channel Ten wamemuonyesha mdada Kissa Mwaipiana, akiripoti kutoka Keko, wamemuonyesha juu mpaka chini! Huyu dada ni shidah, ana shape, ana mguu, ana kimo, HANA KITAMBI, na tacko limechongeka na ana jicho! Kanifanya binafsi nimuone Babe Kabae wa kawaida sana!
Kanisisimua sana kwa umbo matata la kiafrika!!
African beauty rocks!