Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Kwenye ajira na swala la zima la kuripoti kwa Bosi, ni jinsia gani una "get along with, easily"? What's your preference if you were to choose gender for your Boss?
 
Duh! Napendelea bosi wa kiume.Mabosi wa kike wana mitima nyongo tena ukikuta waliochini yake kimaisha wako juu yake mtajuta.
 
Wa kike ni noooma! Hata akiwa Prof bado ana vitabia vya kiswazi atataka kufuatilia vitu vidogo vidogo kama yuko nyumbani kwake vile!
 
...mi ndo boss sasa utafanyaje, kama hunipendi kula jiongeze tu...
 
boss yeyote ila tu asinibanie dili zangu akiniingilia tu sijali jinsia namchukia
 
Boss wa kike sio kabisa, wakorofi sana, wanafuatilia hata issue binafsi. Pia busara hawana na wanapenda kuonekana wa kiabudiwa kama miungu
 
Mimi napenda boss yeyote mwanaume mwanamke ilimradi tu ni mfanya kazi, hana majungu wala umbeya wala ushirikina. Yaani yule wa hapa kazi tu na anaejali ubinadamu.
Yangu ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom