Zidane na Luis Enrique miaka hiyo, sasa hivi ndio managers wa team zao

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,771
19,307
8f706e812bfe048417a9741c77c6784d
 
...zidane alikua hapendi kuzinguliwa,anakugeukia hapo hapo.!
 
Katika dunia ya soka toka ilipoumbwa hakuna fundi wa mpira kama Zidane hakika mwenyezi Mungu aliamua kutuzawadia ili akonge roho zetu, jamaa ni fundi hasa hakika mpira unamtambua yeye.
 
Wewe de lima ndo fundi wa ukweli ever
 
Garicha mlishawai kuona akicheza na Pele kwenye mikanda,hakuna duniani kama yeye ila Pele sifa anazobeba za garicha
 
Ni
Katika dunia ya soka toka ilipoumbwa hakuna fundi wa mpira kama Zidane hakika mwenyezi Mungu aliamua kutuzawadia ili akonge roho zetu, jamaa ni fundi hasa hakika mpira unamtambua yeye.
Ni kweli Zizzou alikuwa fundi wa kiwango cha juu ila kwangu mimi Ronaldinho katika ubora wake alikuwa bora zaidi na alikuwa fundi wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom