Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Mahakama Kuu kupitia Mheshimiwa Jaji, Ignas Kitutsi, asubuhi hii imetupilia mbali Maombi Madogo ya Kesi ya kuomba kupunguziwa gharama za dhamana ya kesi (security for cost) iliyofunguliwa dhidi ya Mbunge, Joseph Haule "Prof Jay"; na mpinzani wake, Jonas Nkya.
Mahakama kuu imetupilia mbali kesi hiyo na kukubaliana na hoja za mapingamizi ya kisheria yaliyowekwa na jopo la Mawakili wa Mh. Haule wasomi linaloongozwa na Tundu Lissu na John Mallya.
Mahakama pia imemuamuru mlalamikaji alipe gharama zote za kesi na usumbufu!

Last edited by a moderator: