utafiti wako unatia shaka kidogo mtumishi kwani unaposema wengi ni vigumu kujua ni wengi kiasi gani kwani kwa uzoefu wangu wingi unaanzia mbili.ungetaja asilimia ningeweza kukubaliana nawe ila huu utafiti wako inaonekana umeufanyia kwenye keyboard yako.
Mtumishi wa Mungu nakemea kwa nguvu zote wanasiasa wa aina hii.
wanasiasa wanatakiwa kutanguliza maslahi ya wananchi mbele na sio faida zao za kisiasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.