Wanawake wengi wa mijini 16-28 yrs MCHARUKO sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wengi wa mijini 16-28 yrs MCHARUKO sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jay One, Jun 13, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,654
  Trophy Points: 280
  Wawe na elimu au la, wengi wa wanawake tena wengine wameolewa walio kwenye age 16-28 MCHARUKO yaani hawajatulia hasa wa mijini, hata wakiwa na kazi au wawe wanafunzi or at home, kumbuka wengi wanapenda maisha ya juu, meanwhile uchumi hauruhusu sana, so mcharuko unaanza step by step, boyfriends 2, 3, 4, .....,, mcharuko unaendelea.... Ukiuliza utaambia ....JUST A FRIEND.... ila dalili si za just a friend is more than that, kumbe just a friend anakula mzigo as usual, Mcharuko mijini imezidiii, watch out...!!!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe unachekeshaga kweli na findings zako!!

  Nwy bora mimi sio wa mjini!
   
 3. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tabia na mtazamo wa mtu tu kulingana na silika yake. Na hutokana na programu tasa ambazo zimepandikizwa katika bongo zetu bila kujua tunaharibu kwa maneno ya ulimini. Research upya ulete na ya wanaume tunakuaje umri huo?
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Makuzi hayo ila wengine mbona utulivu A. Oops kumbe mimi wa mpwapwa sio mjini.
   
 5. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unamaanisha kule kunakoitwa Dar?
  Mmh! Mbona wanawake/wanaume mjini/vijijini tabia zilezile tu sema hivi kuna personal differences on how we behave.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  I know that...YOU know that but HE doesn‘t!!!Sijui mji anaouongelea ila kwa vyovyote haunihusu maana mi ni wa kijijini!
   
 7. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  We get best resources from local areas?
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  mr president tumekukosea nini?naona topic za wanawake this,wanawake that imekuwa too much?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Maybe...maybe not!Depends on what kinda resources you are talking about!
   
 10. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  That involved for flying colours in a given field i.e for luv beautiful wives suspected to come from rural residence, with good morals and faith.
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hii kitu ya MR raisi inazungumzika kuna kina dada kwa kweli ni aibu
  watu hacheni kuipinga kama kundi hii hoja inazungumzika maana hipo na kila mwanaume
  anayekaa maeneno husika anaweza kuasema ni kweli.
  no offence wakina dada wanatumia vibaya resources
  sorryyyyyyyyyyy

   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Wanakua hawajakosea Mr P…
  binti akiwa na wanaume more than one,
  mpenzi wa kweli ni mmoja alafu wengine ni just friends…
  ila tunaita friends with benefits…
   
 13. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  pole mkuu
   
 14. P

  Pokola JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kitanda usichokilalia, kunguni wake wawajulia nini??
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  tusinyimane uhuru wa kuishi tunavyotaka
  nani kakulazimisha uwe na mcharuko?????????????
   
 16. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  wengi wa wanawake wa mjini au wengi wa wanawake unaokutana nao wewe? na kama kila ukikukuruka ndo aina ya wanawake unaokutana nao hebu jicheki vizuri wewe mwenyewe:redface:
   
 17. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,654
  Trophy Points: 280
  Nimeona bora niongelee ya wanawake hapa mmu, maana next year naoa, kuliko niongelee siasa njaa za kina kinda Nape, hapa naburudika sana, jukwaa la siasa napitaga siku hizi, Ni hivi kisukari siwaonei wanawake 16 -28 yrs wengi hasa hasa DAR mcharuko saaana tena wakikujua wengine wanakutongpza / wanajirahisisha kutakavmshiko tu, one woman wanaume kibao, najua huamini, hata wanafunzi wa vyuo wako hivyo hivyo 1 woman for many many men, mcharuko tu, kupanua miguu juuuu each time, maje a visit here ni Dar, ujue, stay a month angalia, halafu kisukari, Maria Roza ndiye mke wangu mtarajiwa umemwona? maana nimemzuia asiwe anahudhuria sana jukwaa la wakubwa, kapotea huyu mchumba
   
 18. shemasi

  shemasi Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utafiti wako unatia shaka kidogo mtumishi kwani unaposema wengi ni vigumu kujua ni wengi kiasi gani kwani kwa uzoefu wangu wingi unaanzia mbili.ungetaja asilimia ningeweza kukubaliana nawe ila huu utafiti wako inaonekana umeufanyia kwenye keyboard yako.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa inashangaza sana mwanamke kaolewa lakini anakuwa macho juujuu...
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii lugha kali mkuu...
   
Loading...