Ukiona Mtu mzima analia, ujue yamemkuta

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Wakuu, mungu ni wa ajabu tena sana na sema wa AJABU, nimekutana na jamaa yangu mmoja analia, kumuuliza kaniambia simple and understoodable words....

magu Mungu asingetufanya tuwe tunasahau kila mmoja wetu angekuwa anatembea mikono juu analia, nikamuuliza kivipi mkuu? Kanambia toka nioe mke wangu nimemfumania mara tatu ndani ya kitanda changu, nalia maana najisikia machungu, how many times huwa anacheat nje?...kweli nikatulia na kujiuliza...kama three times ndani ya kumi na nane je nje ya box mara ngapi?......

je wewe mwana jamiif kama mungu asingekusahaulrisha leo hii ungekuwa unatembea mikono KICHWANI?
 
Sisahau na mikono yangu kama haipo mfukoni basi kiuononi na kama sio kiunoni inapepeta!!Angekua amesahau asingekua analia maana asingekumbuka...wala hiyo namba (mara alizomfumania mkewe) asingekua anakumbuka.
 
Mpe Pole..
Mwambie aendelee kuwa mvumilivu na amkumbushe mkewe awe anatumia kinga ili asilete Ngoma nyumbani...
Ikiwezekana amnunulie kabisa awe anampa kila akitoka, manake hatuna uhakika kama hachezi mechi za nje...

Khaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama hataki kumwacha mikono yake iwe
Kwenye box la condom ... awe anampa at
List ajipe moyo labda anafanya safe sex....
Baadaye.
 
Kwenye kitanda chake na mkewe?? Thats too much bana kwani hakuna nyumba za kulala wenyeji??? Mmhhh hiyo hapana aisee khaaaaaaaaaaaaaa
 
Daahhh! Kuna watu wavumilivu duniani humu, Mungu ndo anajua.
 
Sisahau na mikono yangu kama haipo mfukoni basi kiuononi na kama sio kiunoni inapepeta!!Angekua amesahau asingekua analia maana asingekumbuka...wala hiyo namba (mara alizomfumania mkewe) asingekua anakumbuka.

Weweeeeeee Lizzy? subiri tu wewe....naipika yako ya Samunge...
 
Mpe Pole..
Mwambie aendelee kuwa mvumilivu na amkumbushe mkewe awe anatumia kinga ili asilete Ngoma nyumbani...
Ikiwezekana amnunulie kabisa awe anampa kila akitoka, manake hatuna uhakika kama hachezi mechi za nje...

Khaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

duh JF sometimes hamna ushauri...Nitamwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom