Huyu Membe Naye!

Unadhani kuguna ni kuashiria kwamba wao wanaelewa. Mjomba elewa kwamba siyo kila unachokipenda wewe ndiyo choice ya wengi na vile vile siyo unachokichukia wewe ni adui wa umma. Tena usiende kusikiliza maana nina mashaka na uelewa wako! Phobia tu mpaka mtakufa!

Hivi wajameni hii chuki mnadhani itatufikisha popote? Mimi nadhani demokrasia inataka kwamba mtu awe huru kwenda popote. Uhuru huo unahusisha pia kukataa kwenda popote. Sasa wewe usipoteze muda wako kushinikiza kitu unachokitaka wewe. Sisi tuliopo hapa na wenye hamu ya kujua mambo mbalimbali na kupanua uelewa wetu tutakwenda na tutasikiliza. Mbona jana tuliposikia Mbowe kaja walotaka wameenda na hakukuwa na ishu. Usituletee za kuleta hapa!
 
Japokua nitakua nimetoka kidogo kwenye kamjadala haka, naomba kuuliza hivi Membe na JK hawa jamaa wanaundugu? kwakua naona kama wote wanafanana kwa namna fulani vile naomba jibu washikaji!
 
msafara wake utatekwa lakina huwa wanaishia social ambapo walioko huko hawana tofauti kati ya wavulana na wasichana wote wanajichubua akija education atazomewa kama pinda alafu huwa huku kwa walimu huwa wanajua membe hafai mziki wa udom unazimwa na mbowe au lema sio watu kama hawa aulize mjadala wa katiba watu walivyo aibika

huyu naye anaona lema naye ni mtu wa kuwazima moto wao! Mtu aliyeishia form two atakuambia nini wewe wakati graduate students? Ila sishangai chuo chenyewe udom ambacho tunakijua sisi Tanzania hata hapo jirani kenya hawakifahamu! Zindukeni usingizini kisha muwe na fikra huru na sahihi bila kuruhusu kutawaliwa na fikra za chama chochote cha siasa na uwe na uhuru wa kumsikiliza kila mtu hata kama ni kichaa huenda kuna kitu akaropoka kikakufaa.
 
Kutoka nje ya mada ruksa kama ambavyo na miye naomba nitoke nje ya mada,, hivi kuhusu ufisadi,, akishika madarak Mbowe kutakuwa na tofauti kweli kati yake ya Lowassa? Mbona kama wanafanana sana kwa namna fulani? Naomba jibu washikaji
 
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.
Masaa 24 yamepita tangu uweke hii thread mbuzi, mpaka sasa hujajibu kwamba hoja yako ni nini hasa? Unajaribu kusema nini au kutuambia nini? Aliyekutuma mwambie akuelekeze namna njema, siyo kuja ki shambenga shambenga namna hii, hii imekula kwako dada. Umeliwa kekundu.
 
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.

kwanza karibu sana Jf na pili naushauri kuacha kutoa thread za kukashifu watu bila kuwa na hoja za msingi kwani sijaona baya lililofanyika kwa Membe kwenda kutoa lecture pale chuoni kwani mhadhara wa kielimu na sio mkutano wa siasa kama unavyofikiria.
pale kuna wanafunzi wanaosoma international relations na ametoa mhadhara kuhusiana na hali ya siasa kwenye mataifa ya kiarabu.Dhambi yake i wapi?
 
tena huyu membe ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaa..yaani ni kiazi sijapata kuona...ukimuuliza swali utakoma anavoanza kuzunguka weeeee mpaka anaingiza kanuni za tanu ndo atoe jibu...

Acha fitina shangazi, unaongea kama umekalia jina lako. vipi wewe? Uvivu wa kufikiri!!
 
huyu naye anaona lema naye ni mtu wa kuwazima moto wao! Mtu aliyeishia form two atakuambia nini wewe wakati graduate students? Ila sishangai chuo chenyewe udom ambacho tunakijua sisi Tanzania hata hapo jirani kenya hawakifahamu! Zindukeni usingizini kisha muwe na fikra huru na sahihi bila kuruhusu kutawaliwa na fikra za chama chochote cha siasa na uwe na uhuru wa kumsikiliza kila mtu hata kama ni kichaa huenda kuna kitu akaropoka kikakufaa.

Vipi mkuu? Mbona unataka kutuinua hata sisi wazee? Hao UDOM unaowalenga mbona naona kama wako njia sahihi ya kujitambulisha kama University?

Najua mwanzo, wakati wa kampeni nadhani walifunikwa na wale stooges wa CCM. Ghafla nimestuka kuwaona UDOM wakionyesha curiosity ya University students. Naomba usilaani chuo. Kwani hujui kwamba Rais wetu, Kivuitu wa Kenya, EL na wengi ambao ni mzigo kwetu na majirani wote ni graduate wa UDSM?

Nairobi Unversity walibweteka na sifa hizo wakadhani wao ni best, hebu sasa ingia Kenya kwa mwajili yeyote umushawishi kuajiri graduate wa NRB university!

Jadili hoja bila kujali unapata mashambulizi toka wapi.
 
kwanza karibu sana Jf na pili naushauri kuacha kutoa thread za kukashifu watu bila kuwa na hoja za msingi kwani sijaona baya lililofanyika kwa Membe kwenda kutoa lecture pale chuoni kwani mhadhara wa kielimu na sio mkutano wa siasa kama unavyofikiria.
pale kuna wanafunzi wanaosoma international relations na ametoa mhadhara kuhusiana na hali ya siasa kwenye mataifa ya kiarabu.Dhambi yake i wapi?

Mkuu Sangara, uko sahihi kabisa, dhambi ya Mh.Membe i wapi?? Ni roho mbaya tu na upungufu wa akili. Ndiyo maana Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba, uchi wa akili unatisha kuliko ule uchi wa nyama! Huyu aliyeanzisha hii thread hakika anatisha.
 
huyu alieanzisha hii thread kama hajapitia chuo basi nitamsamehe kwa kuandika upupu huu,ila kama kapita chuoni basi atakuwa anajua fika kuwa mihadhara kama hii si jambo la ajabu na kaamua kuupotosha uma makusudi kabisa
 
kuna issues nyingine hazihitaji ushabiki wa kisiasa,Membe ni foreign affairs minister kuna ubaya gani akija kutoa lecture kuhusu events unfolding in arab world kwa wanafunzi wa political science??mwanachuo unatakiwa uwe na mawazo huru sio kila wakati uwe infuenced na politics.
 
Mh Membe naye anaanza kutafuta mass influence,cjui naye ndio yupo kwenye harakati za kujivua gamba?.Ishu ya Libya yenyewe kama waziri wa Inje ya boundery amekumbushwa na wabunge.leo hii anaosha nyota UDOM.Kuna umuhimu wa kuwa mgumu kuamini.

Mimi natatizwa na post hii, masaa mawili yaliyopita nilitaka kuchangia nikashindwa kutambua hoja ni nini. Nikauliza sijajibiwa. Sasa ninayo kila sababu ya kuamini kuwa Dada Liwolo hakuwa na hoja ya kutuletea, ila aliamua kuchangamsha baraza tu jambo ambalo linakubalika.
Sisi daima humu tumekuwa tukilalamika juu ya kuwa na viongozi vilaza ambao hawawezi kuhimili mijadala na wanakimbia wasomi. Sasa hapa tumepata Waziri anayejiamini amekwenda sio kufanya mkutano wa hadhara ila kutoa mada ya kitaaluma. Huu ni utaratibu wa kawaida duniani kwa viongozi kualikwa kutoa mada katika vyuo. Mimi hapa toka nianze shule hapa UDOM hatujawahi kuwa na public lecture, hii ndio ya kwanza. Sasa najiuliza, Je, Membe alitakiwa akatae mwaliko huo? Na angekataa si angeitwa mwoga na kilaza? Je. Dada Liwolo mbona hatuambii mada ilikuwa nini? Je, Membe aliulizwa maswali akashindwa kujibu au kuzomewa? Au Dada Liwolo hakuambulia kitu maana iliendeshwa kiingereza ndio maana ameshindwa kutuletea hapa hoja kuwa Membe alipwaya kwenye point hii au ile? Nilitegemea Dada Liwolo angependekeza kuwa pengine aalikwe sasa Mhe. Ezekiel Wenje, Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje aje naye kutoa mada ili tujifunze zaidi na baada ya hapo tumualike na Mhe. Edward Lowassa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ili kupata fikra mbadala.
 
msafara wake utatekwa lakina huwa wanaishia social ambapo walioko huko hawana tofauti kati ya wavulana na wasichana wote wanajichubua akija education atazomewa kama pinda alafu huwa huku kwa walimu huwa wanajua membe hafai mziki wa udom unazimwa na mbowe au lema sio watu kama hawa aulize mjadala wa katiba watu walivyo aibika

we mbuzi kweli kila kitu unataka kuweka siasa:Membe alialikwa na dept ya political science kuja kutoa lecture kuhusu events unfolding in arab world..we ni mwanachuo unatakiwa uwe na mawazo huru..afu wape Tgo wanaume wa social wakuonyeshe kaz,nyambaf
 
ndg zangu, sasa tunakoelekea itafika mahali hata mtu akitaka kutembelea taasisi za umma aulizwe wewe cdm au ccm. ushabiki mwingine hauna manufaa kwa taifa. tuje na hoja za kujenga jamani.
 
Mimi natatizwa na post hii, masaa mawili yaliyopita nilitaka kuchangia nikashindwa kutambua hoja ni nini. Nikauliza sijajibiwa. Sasa ninayo kila sababu ya kuamini kuwa Dada Liwolo hakuwa na hoja ya kutuletea, ila aliamua kuchangamsha baraza tu jambo ambalo linakubalika.
Sisi daima humu tumekuwa tukilalamika juu ya kuwa na viongozi vilaza ambao hawawezi kuhimili mijadala na wanakimbia wasomi. Sasa hapa tumepata Waziri anayejiamini amekwenda sio kufanya mkutano wa hadhara ila kutoa mada ya kitaaluma. Huu ni utaratibu wa kawaida duniani kwa viongozi kualikwa kutoa mada katika vyuo. Mimi hapa toka nianze shule hapa UDOM hatujawahi kuwa na public lecture, hii ndio ya kwanza. Sasa najiuliza, Je, Membe alitakiwa akatae mwaliko huo? Na angekataa si angeitwa mwoga na kilaza? Je. Dada Liwolo mbona hatuambii mada ilikuwa nini? Je, Membe aliulizwa maswali akashindwa kujibu au kuzomewa? Au Dada Liwolo hakuambulia kitu maana iliendeshwa kiingereza ndio maana ameshindwa kutuletea hapa hoja kuwa Membe alipwaya kwenye point hii au ile? Nilitegemea Dada Liwolo angependekeza kuwa pengine aalikwe sasa Mhe. Ezekiel Wenje, Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje aje naye kutoa mada ili tujifunze zaidi na baada ya hapo tumualike na Mhe. Edward Lowassa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ili kupata fikra mbadala.

Sheba:
Umesema kila kitu, sahihi kabisa, mwenye mtindio wa akili tu ndiye hataelewa ulichoongea. Zilikuwa fitina tu za wachonga ngega
 
Back
Top Bottom