Recent content by sem super cool

  1. sem super cool

    ITV mmewakosea sana watanzania

    No invsetigation no right to speak,,,, tupe ushahidi kua wamekatazwa.
  2. sem super cool

    USA huchangia 22% bajeti UN, Afrika huchangia ngapi huko?

    Afrika tunachangia 1% ambapo SA wanachangia 0.9,, jiulize Tz tunachangia ngap? Cna uhakika kama kiwango kimebadilika
  3. sem super cool

    Naomba kufahamu process za kupata vyeti vilivyopotea

    Kama ulimaliza wakati vyeti havijaanza kuwekwa picha huwezi kupata mbabadala,, ila kama umemaliza wakati wa vyeti vinawekwa picha utapata vyote,,,, hatua ni nenda kaandika tangazo la kupotelewa na cheti katika magazeti ya habari ( hawataki magazeti ya udaku) baada ya gazeti kutoka lenye tangazo...
  4. sem super cool

    Magari, pikipiki yang'olewa matairi. Ni katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli

    Wabongo tatizo tunapenda sana kujifanyia vile ambavyo tunapenda, barabara ni ya basi za mwendo kasi ukikutwa ukagongwa mnalalamika, kwan ukipita barabara ya kawaida kuna polisi atakufata,, acheni kushabikia mambo ya kipumbavu kama hayo,, ukitii sheria na atakufata,, sio kila kitu siasa mengine...
  5. sem super cool

    VIDEO: Zimbabwe imemtuma Waziri wake kuja kujifunza mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART)

    Duuuu afu unajiita patriot,,, upuuzi mtupu sifia kwanza kwako ndo usifie kwa jirani
  6. sem super cool

    Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

    Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri,, kampuni za sim wanapata faida kubwa lakini pia ni wakwepaji wazuri kodi,, sera ya uwekezaji tanzania tunampa muwekezaji grace period then baada ya hapo ndo tunaanza kudai kodi,, ukiona ivo grace period imekaribia kuisha,, wanabadilisha majina tuu but...
  7. sem super cool

    Hali ya uchumi nchini Tanzania kwa mujibu wa shirika la fedha duniani IMF.

    Link hiyo apo tupitie kwa makini afu tutoe mchango wetu kwa facts na data. IMF Executive Board Completes the Fifth Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania
  8. sem super cool

    Swali: Muhongo kuielekeza EWURA ni sahihi wakati haiko chini ya wizara yake?

    Huu mjadala ni baada ya bosi kutumbuliwa au bei kubaki kama zilivo
  9. sem super cool

    TRA yaweka wazi makusanyo ya July - Novemba 2016

    Viwanda sio uyoga bro kua ndan ya mwaka viwe tayar,,,,
  10. sem super cool

    Mange Kimambi afuta post zote za 'kuiponda' serikali ya CCM

    Siasa za mitandaon kamwe hatuwez shinda
  11. sem super cool

    Hotuba ya bajeti ya Waziri wa Fedha haina fungu la kuhamia Dodoma

    Ndo maana kuna supplementary budget,,, inayojadiliwa na bunge mweZ wa 12,,,, kila Kitu kinawezekana,,, ukihitaji kujua maana ya supplementary budget nifate pm
  12. sem super cool

    Safari ya Magufuli kuondoka Dar ni kama "The Great Trek" ya Makaburu wa Kidachi(1835-1846)

    Namna hii tutabaki kua maskini daima,,, kila Kitu ni mtazamo Hasi, kila mtu ni mwanasiasa Tanzania Tatizo,,, hivi kweli Unaweza kaa chini afu ukawaza kuandika ivo,, ndo Hawa ukiweka kodi watalalamika wananchi wanabebeshwa mzigo,,, Asa unataka kodi alipe Mzungu peke ake,,, nchi yetu tuijenge...
  13. sem super cool

    Wanafunzi wa UDOM waliosimamishwa masomo, Wizara ya Elimu ni lini mtatoa kauli juu ya hili?

    Mmmh siasa bhana,,,, ndo maana sijawah kua mfatiliaji wa siasa,,,, Kuna Watu walienda adi stand kukaa nao,,, Au ndo natafuta kik,,,, Daaaaaaa mi Napita tuuuu,,,, tuliona hili tukio inauma sana Eti,,,,,
  14. sem super cool

    Nini cha kufanya kwa waliokosea kujaza form za mkopo?

    Wasikutie presha,,, MI mwenywe nilikoseaga,,, ikiwa Bado hajazituma anaweza kuedit info zake then aka print upya,,,,,
Back
Top Bottom