ITV mmewakosea sana watanzania

ITV mmewakosea sana watanzania

.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
ITV imepoteza dira na maana halisi ya Uhuru was habari ktk tasnia hii muhimu.
 
Halafu nimekumbuka, hivi walilipa ile mishahara ya mwezi Januari?
 
Andamaneni tu wataonyesha
Yana mwisho dogo! Tulizuiwa mikutano na watukufu.
Leo tumekusanyika kwa raha zetu.
Bado kidogo mtagawa na chakula kwa wenye njaa.
Uzuri wenu nyie watawala mnaumbuana wenyewe kwa wenyewe!
 
Mlipewa pesa mkafungulie kituo cha televishen hamkufanya hivyo badala yake mwenyekiti wenu akaenda kutanua dubai sasa leo mnalalama. Huko ndo mngekuwa mnatengeneza madocumentary ya hadi wema akiwa na magwanda kwenye vigodoro mnarusha huko
Huyu Wema kuhama chama imewaumiza sana.
Mtu akiongelea sana suala fulani ndilo hasa hutawala fikra zake.

Ni sawa na mkulu kusema hakuna njaa ila kila mkutano anasema serikali haina chakula.
Unajua maana yake? Anajua kuna njaa.

Umba uzima, utaona kila siku mnavyopoteana.
 
Habari ya Lema ndo ingeongeza muda mpaka kufikia masaa 5?
Hizi kelele mngekuwa mnazipiga kudai ruzuku ya chama mwenyekiti anayotumia kutanua dubai chama kingekuwa mbali sana kingekuwa walau na jengo moja la ofisi nchini kuliko sasa kila mkoa kinapanga kwenye magofu
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
No invsetigation no right to speak,,,, tupe ushahidi kua wamekatazwa.
 
Naomba nikunukuu mtoa hoja
"...Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo..."

Nina maswali machache kwako
1.Vilionywa na nani?
2.Nini ingekuwa matokeo ya wao kukaidi onyo hilo?
3.Je vituo vingine vilionyesha taarifa hiyo ya Mh. LEMA?

Mwisho wa siku ITV na vituo vingine ni wafanyabiashara tu. Hawawezi ku risk uwepo wao kwa sababu mtu fulani apate habari.
Nani huwa hata anawasemea wanapopewa adhabu na mamlaka?
Hujui kusoma wala kuangalia picha ndugu.
Pole zako
 
Hizi kelele mngekuwa mnazipiga kudai ruzuku ya chama mwenyekiti anayotumia kutanua dubai chama kingekuwa mbali sana kingekuwa walau na jengo moja la ofisi nchini kuliko sasa kila mkoa kinapanga kwenye magofu
Bora upange katika magofu na ulipe kodi kulikoni kudaiwa mipesa ile ya umeme!

Sasa mnaanza kutumbuana ki muungano zaidi.

Ukimaliza kusoma njoo useme ruzuku ipi ilijenga jengo lenu pale Dodoma.
Halafu useme kwa nini siku hizi hamtangazi makusanyo ya kodi kama mwanzo.

Kapuku mchumia tumbo katika ubora wake.
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
ITV wana uhuru wa kuonyesha habari waipendao kwani sio kituo cha Chadema. Mkutano wa Lema na watu wa Arusha kwa ITV haikuwa habari !!!
 
Usiwaze ndugu, ile habari yote tunayo. Teknolojia imekua sana.
Hata mkutano ule kufanyika ni tukio la ushindi dhidi ya watawala waliosema wamezuia siasa.
Mdogo mdogo tutafika. Usikate tamaa.
Kama umefuatilia kwa ukaribu, utagundua kuwa hata serikali yenyewe imeshapoteana.
Hawana vipaumbele. Kila mtu anaongea na kutoa amri zake. Ubabe kila kona.
Mambo ya msingi hayaongelewi.
Hizo ni dalili za taifa lililokosa dira.
Tutaona mengi sana, na bado.

By the way, umesikia gharama za kumpima faru John DNA huko South Africa?
Kwani nyie mnataka nini hasa?
 
Haha juzi kama ulichek ile habar ya msba kwa jk waliwataja viongozi wote wakubwa walohudhuria isipokuw mbowe
Kwa hiyo Makengeza alienda msibani kwa JK ili atangazwe na ITV sio? Duh! Machadema kweli mnasaka kiki kila kona! Hata misibani mnataka promo!
 
Back
Top Bottom