Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Wee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..
Mheshimiwa kwa sasa mitego kama hii anaijua sanaaa...subiri tu
 
Hiyo Kampuni imeshabadilisha majina sijui mara ngapi, tangu CELTEL sijui lingine liliitwaje......
 
Hawa jamaa ni matapeli kama matapeli wengine, safari inabidi serikali ndio ununue miundombinu yake yote tumechoka na ukanjanja wao.
 
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika , Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana .

Chanzo - Mwananchi .
Hawa jamaa ni wajanja hasa katika KUKWEPA KODI!
Walianza na
ZAIN wakajiuzia WAO wakijiita
CELTEL, Wakajizia tena wakaiita
AIRTEL.
Sasa WANATAKA WAJIUZIE tena kama jamii????????????????????
Mchezo wao TUNAUJUA sana.
WALIPE KODI kwanza.
Wahindi ndo mchezo wao wa Business MANIPULATION.
Bila kuchangamka watakuwa wamezepa na hela yetu.
 
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika , Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana .

Chanzo - Mwananchi .
Ww nawe na Bunju kweli ...Na unaamini .
Hapo wanadili jina Tu ..Utasikia inakuja
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?
Kichwani kwako umejaza tope? Magufuli/ccm inaongoza nchi zote 15 ambako airtel wamewekeza?

Kijana uchama utakuua!
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?
Kwa akili hizi Mbowe ataendelea kuwaburuza mpaka mwisho, maana kila hoja mmekalia ushabiki usio na maana mmefikia hamtaki hata kutumia bongo zenu.!
 
Ilianza na Celtel, Zain, Airtel na Sasa sijui itakua kitu gani huko. Hawa jamaa wajanja sana
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri,, kampuni za sim wanapata faida kubwa lakini pia ni wakwepaji wazuri kodi,, sera ya uwekezaji tanzania tunampa muwekezaji grace period then baada ya hapo ndo tunaanza kudai kodi,, ukiona ivo grace period imekaribia kuisha,, wanabadilisha majina tuu but management inabadilika kidogo tuu,,, kwa kufanya hivyo hawawezi kulipa kodi ata miaka 100 maana watakua wanabadilisha jina la kampuni kila siku. Na kingine mkuu viwanda sio uyoga within a year viwe tayari. It took hundred years for USA to be the leading country in the world. Acheni siasa zisizo na mashiko wadau,,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom