Gasper mapile
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 195
- 87
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nimepoteza Vyeti vyangu vya kidato cha nne na Sita sikumbuki nimevipoteza wapi nimegundua leo hii baada ya kuwa na uhitaji navyo naomba Msaada kwa anaye jua process za ufuatiliaji ili niweze kupata vyeti vingine nitashukuru km nitapata msaada huo ahsante.