inabidi akose tu mkopo,haina namna...Mwanangu amekosea kujaza form za mkopo kisha kaprinti. Nini cha kufanya ili kurekebisha? Je ni kujaza form kwa kulipa upya? Msaada tafadhali kwa nayejua.
akili yako imeishia hapo kuwaza??kwani lazima u comment???inabidi akose tu mkopo,haina namna...
Hua wanatoa list ya watu ambao taarifa zako znamapungufu na wanafafanua nn kinamiss kwa hyo subiri tu. Ila unatakiwa ujenge urafiki na hii www.heslb.go.tz ili taarifa ziskupite.
akili yako imeishia hapo kuwaza??kwani lazima u comment???
kama huna cha kushauri kaa kimya kuliko ku discourage watu angekua mwanao ungemwambia hayo maneno??stupid..!!!!!!
andika barua ukielezea tatizo lako alafu uambatanishe na fomu yako ya maombi ya mkopo
Wasikutie presha,,, MI mwenywe nilikoseaga,,, ikiwa Bado hajazituma anaweza kuedit info zake then aka print upya,,,,,Mwanangu amekosea kujaza form za mkopo kisha kaprinti. Nini cha kufanya ili kurekebisha? Je ni kujaza form kwa kulipa upya? Msaada tafadhali kwa nayejua.
andika barua ukielezea tatizo lako alafu uambatanishe na fomu yako ya maombi ya mkopo
Ok poa usijaliAhsante Erik kwa ushauri mzuri nimewapigia wameshanijibu.Kwa faida ya wengine ni kuwa kama umekosea inakubidi ujaze hivyo hivyo form yako kisha uambatanishe na barua ambayo inaeleza ulichokosea.
mkuu asante kwa taarifa yako hii,natumai itasaidia wengi sana waliokoseaWapigie simu.
Ahsante kwa ushauri mzuri nimewapigia wameshanijibu.Kwa faida ya wengine ni kuwa kama umekosea inakubidi ujaze hivyo hivyo form yako kisha uambatanishe na barua ambayo inaeleza ulichokosea.
Kwa mfano umekosea pic unaiambatanisha na barua au barua tupu inatosha?Ahsante Erik kwa ushauri mzuri nimewapigia wameshanijibu.Kwa faida ya wengine ni kuwa kama umekosea inakubidi ujaze hivyo hivyo form yako kisha uambatanishe na barua ambayo inaeleza ulichokosea.