Na usisahau kua mamlaka kamili alikua hana, kweli alikua mbunge ila pia waziri. Hapo angejifanya msema kweli azma ya urais angeisikia kwenye radio. Ukisha pigia mizinga 21 ndio unaweza kushuhulikia mautumbo kwa uhakika zaidi...... Labda nikusaidie kaka ukijibu tena usisahau jina la lugumi!!!!
Urusi ana kambi ya jeshi syria na ndio kambi pekee nje ya nchi ipo jimbo la LATAKIA.. Syria ikianguka mikononi mwa waasi wanao ungwa mkono na marekani rais atakua chini ya marekani na kambi wa urusi itaambiwa ifunge kwa mujibu wa sheria. Itakua pengo kubwa sana kwa urusi kwani kambi ya latakia...
Kaka maneno yako umenukuu vizuri kutoka kwenye vyanzo vya wamagharibi "CNN NA BBC" ili uweze kulielewa hili swala kwa upana naomba angalia pia "RT NEWS".. Mimi nimesomea international relations ninaelewa nacho ongelea!!!
UTEKAJI WA CRIMEA NA KUMWEKA BASHAR AL ASAD MADARAKANI NI MIFANO HAI KUA URUSI NI MZIKI MNENE... PIA URUSI ANA MILIKI NUCLEAR WAR HEADS 1940 NA MAREKANI 1720,NENDENI TOVUTI YA MASUALA YA KIVITA IITWAYO "FIRE POWER" MTAKUTA TAKWIMU NYINGI ZA KIJESHI.
Mkuu hamna dini pale. Ni taasisi ya wakubwa, dunia ya leo huvamiwi kijeshi ila una tumiwa kikundi kinacho jiita kua kina pigania dini kuja kukudhoofisha. Jiulize silaha za kisasa na magari ya vita yanatoka wapi? Miskiti wana vunja dini ipi ina piganiwa?
Katika jambo nilio shangaa tokea mwaka uanze hili ni la pili... La kwanza leicester kua bingwa la pili la huyu jamaa... Kwaiyo jua ndio linazama ndo kuna kua giza???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.