Van Gaal sijui ataondoka lini maana huwa Namtukana sana... Ni Lini anaondoka nipunguze Dhambi hii ya Kutusi
hatupeleki timu mbovu UEFADah Tumejipanga na lazima tuifunge AFC Bournemouth Goli zaidi ya Ishirini na tutaishusha Man City nafasi ya Nne tunahitaji kucheza Champion League 2016-2017 maana UEFA ndogo sio level Yetu...ni ya kina Liverpool..
Dah Tumejipanga na lazima tuifunge AFC Bournemouth Goli zaidi ya Ishirini na tutaishusha Man City nafasi ya Nne tunahitaji kucheza Champion League 2016-2017 maana UEFA ndogo sio level Yetu...ni ya kina Liverpool..[/QUOTE]
Hata Bongo kitu hicho hakiwezekani, Eti uifunge timu pinzani goli 20-0!!!!! NeverIngekuwa ligi ya Bongo hili lingewezekana lakini kwa Epl ngoma ndio imeshaisha sisi ni wa UEFA ndogo tu.
Kubadilisha Kocha kwa kifupi Mfumo na sera zake zimeshindwa kufanya kazi Old T
Naombeni ufafanuzi Hapa jamani,mpaka sasa Leicester, arsenal, spur,man city,wamefuzu tayari,sasa Hapa ndipo pana ponitatiza wanasema mshindi Wa europe league anacheza champion league so ina maana Liverpool akichukua dude atacheza champion league,na mshindi Wa Fa cup nae anacheza champion league naombeni msaada jamaaa zangu