Here is Russia's Response to NATO’s activities near Its borders

Kaka naheshimu mawazo na uchambuzi wako kuhusu jambo hili,

Labda tu nifafanue kidogo kuhusu hayo unayoyaita mafanikio makubwa ya Russia katika kampeni yake ya Syria

Nimesoma chambuzi nyingi na kuwasikiliza wazungumzaji wengi wakiongea jambo hili na karibu wengi wanasema kampeni ya Russia nchini Syria ni partial success, ni mafanikio kiduchu

Kwa nini yanaitwa ni partial success?

Vita ya Syria ina umri wa miaka mitano, kabla ya warusi kuja, waasi hawakua na mafanikio ya kutisha katika mstari wa mbele wa mapambano, nazungumzia free Syrian army inayoungwa mkono na nchi za magharibi,
Hawa fsa kabla ya warusi kuja walikua wanashikilia maeneo mengi ya jimbo kubwa la Aleppo

Maeneo mengine walikua wamegawana makundi mengine madogo madogo yanayoitwa ya kigaidi nayo ni alnusra front, jaish Al Islam, jaish Al maidy na mengine kadhaa katika maeneo ya hama na homs
Maeneo yaliyo baki yalikua yakishikiliwa na daesh au ISIS, nako ni Palmyra na viunga vyake miji mingine yote iliyobaki ilishikiliwa na serikali ya Syria, hii ni kusema serikali ilishikilia 45% ya nchi na 65% ilishikiliwa na vikundi mbali mbali vya waasi na vile vya kigaidi

Warusi walipoingilia kati serikali imerejesha au kufikisha 65%ya nchi na sasa 45% ndio inashikiliwa na waasi, kwa hiyo difference hapo ni 20% kwa hiyo kama 20%ndio unaita mafanikio makubwa ni ajabu sana, na jeshi la serikali ndilo lilishikilia ardhi nzima ya nchi hapo kabla, labda wengi mtakua mnachanganywa na kelele za propaganda kutoka kwenye chombo cha propaganda cha Kremlin, sputniknews.com ambayo ndio mara nyingi sana ina exergerate russian success hapo Syria

Lakini kiukweli, ni mji mmoja tu wa Palmyra ndio ambao serikali iliukomboa wote kutoka kwa magaidi wa ISIS lakini miji mingine karibu yote iliyobaki ilikombolewa nusu, karibu kila mji nusu unashikiliwa na serikali na nusu waasi mbali mbali, mfano ni mji wa Aleppo ambao hadi sasa kaskazini Kuna serikali na kusini Kuna waasi ambako ndio supply line ya waasi ndio njia kuelekea mpaka wa turkey

Ni kweli kuwa mwezi January vikosi vya serikali viliwabana sana waasi na kuwapokonya baadhi ya waasi lakini maeneo yenyewe sio makubwa ki vile, tafuta ramani au mchoro wa maeneo ya Syria kwa sasa uone jinsi mgawanyo wa maeneo ulivyo, Kuna mashirika ya kimataifa yaliyo na watu wanaochukua takwimu ndani ya Syria, yanayoripoti UN, kazi zake ni hizi kujua Hali halisi ya vita, na Hali ya raia
Maeneo mengi yaliyokombolewa na serikali ni vijiji pembezoni mwa miji makubwa isipokua Palmyra na homs ndio wameikomboa yote, hata hivyo huko Palmyra na homs na jirani DAESH wamejazana vijijini na bado wanashikilia maeneo mengi

Kwa upande wa diplomacy, hakuna kitu kikubwa cha kujivunia kilichopatikana huko Geneva, wote tunajua mazungumzo yamevunjika kwa kushindwa kuelewana, misimamo waliyonayo kila upande tangu kuanza kwa vita 2011 ndio hiyo hiyo hadi leo
Cha ziada labda hiyo ceasefire tena inakua ni ya masaa 48, hivi sasa ndio kerry na lavrov wanajaribu kupata ya Muda mrefu kama ile ya February ambayo imevunjwa Muda mrefu

Hivyo hata tunavyoongea mapigano yanaendelea ndani ya Syria, hivi sasa serikali ya Syria inaweza kusimama kifua mbele kudai imeshinda vita hiyo? Wakati 45% ya nchi inakaliwa na waasi?

Kabla ya Russia kuja vita ilikua kama ipo stalemate, hakuna aliekua anachukua maeneo mapya, Russia ilipokuja serikali ikafanikiwa kurudisha baadhi ya vijiji na huo mji wa Palmyra na homs
Sasa hayo huwezi kuita ni mafanikio makubwa,

Na sasa hivi kama diplomacy itashindikana Russia itajikuta kwenye mazingira magumu sana, maana putin hataki kujikuta Russia imeingia kwenye ule mtego kama wa marekani kule Afghanistan, ni kweli America iliwashinda wataliban kwenye conventional war lakini wataliban wanaendelea kupambana kupitia gorilla warfare ambayo haiishi

Mgogoro wa Syria unaelekea huko, na putin hataki hilo ndio maana halali usiku na mchana anamtuma lavrov afanye juu Chini yeye na kerry wamalize mgogoro huo kwa mazungumzo, anajua fika ni vigumu kupata ushindi wa moja kwa moja kwenye gorilla warfare, hapo hapo yupo under pressure kutaka kuwafurahisha West ili wa muondolee vikwazo,

Kama kerry na lavrov watafanikiwa katika juhudi zao na kufanikisha kufunga mkataba wa kudumu hapo ndipo Russia atazoa credit zote
Kwa sasa tunaita mafanikio kiduchu yaani partial success
Hukumbuki kama serikali ilibanwa mbavu na kila kukicha wanamgambo walikua wakisonga mbele????
 
Kiongozi ni kweli kuwa Kuna wakati serikali ilibanwa sana mbavu na waasi, hasa mwaka juzi 2014, mwaka huo wote waasi walitwaa maeneo mengi sana na ndio hayo ambayo wameendelea kuyashikilia hadi 2015, nayo ni deir Al zor, hama, homs, Aleppo yote na kobane na raqqar, hii ndio 65% niliyoizungumzia hapo ulipo ninukuu, na serikali ikabaki na 45%
Sasa Russia ilipoingia serikali ikaweza ku reverse hiyo situation na kukomboa hama, palymira, na Aleppo kaskazini,

Waasi hadi sasa wamebaki na Aleppo kusini, homs, deir Al zor na maeneo mengi ya kusini magharibi mwa nchi, mji wa raqar bado unashikiliwa na ISIS na pembezoni mwa mji huo pia Kuna alnusra front na jesh Al islam
Kwa hiyo kwa mtu ambae amefuatilia vita hii kwa miaka yote mitano ataona kuwa mafanikio ya Russia ndani ya Syria ni ya kisasa zaidi kuliko kijeshi, why? Sababu ni maeneo machache yaliyochukuliwa kutoka kwa Waasi ukilinganisha na Yale wanayoshikilia Waasi hadi sasa,
Pia katika hesabu hizi hatuweki maeneo ambayo Waasi hawajawahi kuyashikilia ikiwemo Damascus na mikoa ya jirani

Kwa muktadha huo kampeni ya Russia ndani ya Syria ni partial success ila kisiasa mafanikio hayo hayo kidogo yana maana kubwa ukilinganisha na marekani na washirika wake, wapanga vita ndani ya Russia wanataka sasa diplomacy imalizie sehemu iliyobaki, hawataki kuwa bogged down kwa Muda mrefu
Na assad hataki mazungumzo maana msimamo wa waasi ni kuwa hawataki kusikia jina assad kwenye serikali ya mseto na yeye anataka kubaki kama rais in any agreement

Narudia tena mafanikio ya Russia ni partial, wamekomboa miji michache, miji kadhaa bado inashikiliwa na Waasi, Je serikali ya Syria imetangaza ushindi wa vita hiyo kwa mafanikio hayo? Hapana

Lengo la Waasi lilikua ni kuiondoa serikali madarakani, wameshindwa kutimiza hilo, na lengo la serikali ni kumaliza uasi huo uliochukua miaka mitano, uasi bado upo, imeshindwa lengo hilo, ndio maana wote wanaendelea kuzungumza

Sasa hapo Russia ime achieve nini hasa cha kusema ni success? Uasi haujaisha bado upo, mafanikio ni kushinda vita kabisa na kuzima uasi, short of that ni Yale Yale ya serikali ya Afghanistan na taliban wanatafutana kwenye mapango miaka na miaka
 
Mama samahani, professional yako ni ipi hasa? Maana upo deep sana kwenye masuala haya
 
Kaka maneno yako umenukuu vizuri kutoka kwenye vyanzo vya wamagharibi "CNN NA BBC" ili uweze kulielewa hili swala kwa upana naomba angalia pia "RT NEWS".. Mimi nimesomea international relations ninaelewa nacho ongelea!!!
 
Iko Nguvu izuiayo hayo yote. Pindi Wakati ukifika hakuna kitajachosalia. Ombi langu kwa Mungu wetu niwe sipo wakati haya yanatukia
Lakini ndugu binadamu wa ajabu sana hivi kwa juhudi kubwa ya russia kutoa Nazi ulaya mpaka 30milion russian kufa vitani kwa nini west hawana adabu kwa russia
 
Bill Clinton alitawala America kipindi kimoja na boris yersin wa Russia, kulikua kimya kabisa, hatukuona shida hizi

Akaja rais George w Bush akatawala America kipindi kimoja na rais putin, hatukuona ugomvi wowote, palikua kimya tu

Then Akaja mwafrika Barack Obama, hapo sasa ndipo tukaona makucha ya Vladimir putin, kwanza akaamua kui cheat constitution ya Russia, akiwa tayari ametumikia kipindi chake cha urais akamsukumiza mediviedev awe rais ili yeye arudi kuwa rais kwa mara nyingine baada ya mediviedev jambo ambalo ni geni kabisa katika siasa za ulimwengu huu

Kumbe putin alishaona Kuna mwafrika tena dhaifu anaelekea kuwa rais wa marekani, putin akaona huu ndio wakati muafaka wa kurudisha heshima ya Russia at the expense of this useless Niger

Chini ya putin, Russia imevunja sheria ya kimataifa ya sovereignty kwa kulichukua jimbo la Crimea mali halali ya ukaraine kwa mabavu ya kijeshi na kuwatimua askari halali wa ukaraine, kisa?

Eti kisa raia wa Ukraine wamefanya maandamano ya kumpinga rais wao na kisha bunge kupiga kura ya kumtoa madarakani hivyo akakimbilia Russia, Je suala hili lilikua linaihusu nini Russia? Russia na Ukraine ni majirani tu, kwa sheria za kimataifa hakuna taifa linaruhusiwa kuingilia mambo ya jirani yake, Ukraine was and still is sovereign state

Kisingizio cha kuwasaidia Russian speakers ndani ya Ukraine hakina mashiko katika international law, maana hao ni raia wa Ukraine Ingawa wanaongea kirusi pia,
Hii ni sawa na kenya kuivamia Tanzania kuja kuwalinda wajaluo ambao ni raia wa Tanzania na sio kenya

Ni ukorofi huu wa Vladimir putin uliowafanya majirani wa Russia Poland, Croatia, Slovakia, Slovenia, Romania, Estonia, Bulgaria etc kuomba msaada wa NATO na marekani, maana hata wao pia wana population kubwa ya Russian speakers ndani ya nchi zao, na hii ndio pretext kubwa inayotumiwa na putin kudestabilise majirani zake

Sasa NATO imeweka mkakati wa kuzisaidia nchi hizi kujikinga na yaliyofanywa na Russia, Ukraine,
Hii ni pamoja na kupeleka vifaa vizito kabisa katika nchi hizo, kupeleka wanajeshi na kujiandaa kwa lolote, sasa Russia amezungukwa pande zote hivyo yeye ndie amegeuka victim na anapiga kelele kuwa anazungukwa

Ni wazi kabisa kuwa hizi hatua za kujilinda zilizochukuliwa na NATO zimeifanya Russia kujiuliza mara mbili mbili kabla ya kufanya Yale ya Ukraine, Ingawa Ukraine hakua mwanachama wa NATO hivyo hakua na sifa za kulindwa na NATO

Hivyo ukorofi wa putin ndio umeifikisha Russia hapo, Kinachofanywa na NATO sasa ni majibu stahiki kwa Russia,
Putin alitaka kuirudisha Russia kwenye ramani ya dunia kwa nguvu, sasa akubali matokeo pia

Kuhusu Syria Russia ana haki zote kumsaidia mshirika wake, ndio maana marekani na EU Hawana tatizo na involvement ya Russia Syria, shida ni huko kwa majirani zake wadogo wadogo
 
Kaka maneno yako umenukuu vizuri kutoka kwenye vyanzo vya wamagharibi "CNN NA BBC" ili uweze kulielewa hili swala kwa upana naomba angalia pia "RT NEWS".. Mimi nimesomea international relations ninaelewa nacho ongelea!!!
Russia waliingilia vita kumuokoa assad kwani wangechelewa kidogo waasi walikua wanaingia damusca,ni kama vile ilivyokua iraq wakati ISIS wamekaribia lango la Baghdad halafu wakawa wanaomba marekani aingilie ,matokeo yake marekani akawa anajivuta na kuweka masharti ikabidi iran na russia watume msaada na Isis wakarudishwa nyuma ndo marekani wakaanza kuigiza kusaidia,
russia imewafanya Isis waanze kustruggle kusurvive badala ya kila siku kukata vichwa vya watu,
marekani alipoona waasi watakwisha ndo akkaanza kuitisha mazungumzo ambayo mpaka sasa ndo yanaendelea na ndipo russia akapunguza ndege zake.
Lengo la russia ni pawepo na amani syria.
Lengo la marekani ni kumtoa assad madarakani ili waweke mtu wao atakaeruhusu bomba la gase toka qatar lipite syria kwenda ulaya ili ulaya iondokane na kutegemea gase ya mrussi na hivyo russia akose pa kuuza gase yake na hivyo kusambaratika
 
Urusi ana kambi ya jeshi syria na ndio kambi pekee nje ya nchi ipo jimbo la LATAKIA.. Syria ikianguka mikononi mwa waasi wanao ungwa mkono na marekani rais atakua chini ya marekani na kambi wa urusi itaambiwa ifunge kwa mujibu wa sheria. Itakua pengo kubwa sana kwa urusi kwani kambi ya latakia inatumika kuzui shambulizi lolote la makombora yanayo elekea urusi.
 
Bill Clinton alitawala America kipindi kimoja na boris yersin wa Russia, kulikua kimya kabisa, hatukuona shida hizi

Akaja rais George w Bush akatawala America kipindi kimoja na rais putin, hatukuona ugomvi wowote, palikua kimya tu

Then Akaja mwafrika Barack Obama, hapo sasa ndipo tukaona makucha ya Vladimir putin, kwanza akaamua kui cheat constitution ya Russia, akiwa tayari ametumikia kipindi chake cha urais akamsukumiza mediviedev awe rais ili yeye arudi kuwa rais kwa mara nyingine baada ya mediviedev jambo ambalo ni geni kabisa katika siasa za ulimwengu huu

Kumbe putin alishaona Kuna mwafrika tena dhaifu anaelekea kuwa rais wa marekani, putin akaona huu ndio wakati muafaka wa kurudisha heshima ya Russia at the expense of this useless Niger

Chini ya putin, Russia imevunja sheria ya kimataifa ya sovereignty kwa kulichukua jimbo la Crimea mali halali ya ukaraine kwa mabavu ya kijeshi na kuwatimua askari halali wa ukaraine, kisa?

Eti kisa raia wa Ukraine wamefanya maandamano ya kumpinga rais wao na kisha bunge kupiga kura ya kumtoa madarakani hivyo akakimbilia Russia, Je suala hili lilikua linaihusu nini Russia? Russia na Ukraine ni majirani tu, kwa sheria za kimataifa hakuna taifa linaruhusiwa kuingilia mambo ya jirani yake, Ukraine was and still is sovereign state

Kisingizio cha kuwasaidia Russian speakers ndani ya Ukraine hakina mashiko katika international law, maana hao ni raia wa Ukraine Ingawa wanaongea kirusi pia,
Hii ni sawa na kenya kuivamia Tanzania kuja kuwalinda wajaluo ambao ni raia wa Tanzania na sio kenya

Ni ukorofi huu wa Vladimir putin uliowafanya majirani wa Russia Poland, Croatia, Slovakia, Slovenia, Romania, Estonia, Bulgaria etc kuomba msaada wa NATO na marekani, maana hata wao pia wana population kubwa ya Russian speakers ndani ya nchi zao, na hii ndio pretext kubwa inayotumiwa na putin kudestabilise majirani zake

Sasa NATO imeweka mkakati wa kuzisaidia nchi hizi kujikinga na yaliyofanywa na Russia, Ukraine,
Hii ni pamoja na kupeleka vifaa vizito kabisa katika nchi hizo, kupeleka wanajeshi na kujiandaa kwa lolote, sasa Russia amezungukwa pande zote hivyo yeye ndie amegeuka victim na anapiga kelele kuwa anazungukwa

Ni wazi kabisa kuwa hizi hatua za kujilinda zilizochukuliwa na NATO zimeifanya Russia kujiuliza mara mbili mbili kabla ya kufanya Yale ya Ukraine, Ingawa Ukraine hakua mwanachama wa NATO hivyo hakua na sifa za kulindwa na NATO

Hivyo ukorofi wa putin ndio umeifikisha Russia hapo, Kinachofanywa na NATO sasa ni majibu stahiki kwa Russia,
Putin alitaka kuirudisha Russia kwenye ramani ya dunia kwa nguvu, sasa akubali matokeo pia

Kuhusu Syria Russia ana haki zote kumsaidia mshirika wake, ndio maana marekani na EU Hawana tatizo na involvement ya Russia Syria, shida ni huko kwa majirani zake wadogo wadogo
kihistory crimea ni Russia,kuna rais wa soviet mwenye asili ya ukraine ndo alihamisha umiliki kwa ukraine bila kufuata utaratibu,ni sawa na Rais mwinyi aigawie zanzibar mji wa Tanga ,halafu baada ya miaka kadhaa muungano usiwepo halafu zanzibar itake kujiunga na maadui wa Tanganyika na hivyo Rais magufuli airudishe Tanga mikononi mwa Tanganyika.
Putin alijitahidi sana kuionya ukraine isijiunge na NATO.
Ilifikia mpaka akawa anawapa gase bure ama kwa bei ya karibu na bure ili tu ukraine isijiunge na Nato ama EU ,ukraine ilitoa sababu za kiuchumi,Russia wakamwambia watambail out kwa dola bilion 15,
rais wa ukraine akaanza kushawishika kutoajiunga na NATO ,ilikuwa ni muhimu asijiunge na Nato kwani kistrategy ilikuwa ni hatari kwa Russia.
Marekani kuona rais wa ukraine anasuasua,majasusi wa kimarekani wakaanza mbinu za kumpindua rais ya ukraine,
zilitengwa dola bilion 5 kwa kazi hiyo na show yote ilisimamia na mwanamama Victoria Nulland.

Baada ya rais kupinduliwa ni logic tu ilitumika kuikamata crimea kwani wamarekani lazima walikuwa wametega kuweka kambi lao la NATO pale.
Kilichotokea ukraine hakina tofauti na kinachotaka kutokea syria kwani nayo kistrategy ni muhimu sana kwa Russia
 
Ingekua mtu mwingine ningemjibu, lakini wewe, siwezi kusumbua akili yangu kukujibu, rekodi yako ya kubishana Bila msingi nimeifuatilia
 
Aisee dada kumbe na wewe unamjua huyo elungata, yaani huyo mnaweza mkakesha hadi asubuhi, tangu nimemfahamu kwake yeye Russia is always right the west is always wrong, yeye na mwenzie mmoja anaitwa bukyanagand hao wawili mtakesha, they are not objective at all, wao walishaamua mada yoyote inayohusu Russia na America, whatever the case wao watakua Russia

Usihangaike kabisa hata kuwajibu
 
ha ha ha,hawezi akajibu kwasababu hamna akijuacho zaidi ya kutafsiri media za west kutoka kingereza kuja kiswahili na kubandika hapa,halafu watu wenye akili fupi wanadhani anaweka vitu vya maana sana.
Lakini hawezi kuwaokota watu wanaofikiri critcally.

Eti anasema putini alikosea kutaka kuirudisha Russia kwenye kiwango,hivi nini wajibu wa rais kama sio kuifanya nchi yake kuwa juu..?
Juzi hapa tumeona Tanzania ikiipiga mweleka kenya katika deal la pipeline,huyo mama alitaka putini awe kama yule mlevi boris yelsin aliiangusha nchi yake mpaka alipoikamata putini na kuanza kuleta improvement?.
Kama putin yuko wrong syria why jana ndege za marekani zimejipendekeza kuwasaidia hezbollah na wanajeshi wa assad kupigana na waasi?
Ndo sasa bwana mdogo ujue marekani always huwa wana maslahi yao,motive zao wanazijua wao
 
On Tuesday, May 17, the US expanded its involvement in the war in Syria, and for the first time since the war began in 2011, US F-16 fighter-bombers bombed radical Syrian rebels fighting Iranian, Syrian and Hizballah forces near Aleppo,debkafile’s military and intelligence sources say in an exclusive report.
According to the sources, the targets were mainly troops, positions, and transportation routes of rebel groups such as ISIS and the Nusra Front that also threaten moderate Syrian rebel groups in the area. But there is no doubt that the American airstrikes will help Syrian PresidentBashar Assad, just like the Russian bombings have done.
The US warplanes took off from Incirlik airbase in southern Turkey and entered Syrian airspace over Idlib province in northern Syria.
Our sources said that the airstrikes were coordinated with the Russian air force command at Hmeymim airbase next to Latakia, and via American and Russian officers operating from the Jordanian capital Amman.
There is no doubt that the intervention was a turnaround by the administration of PresidentBarack Obamathat until now had opposed any US air force operation inside Syria due to concern over tipping the balance in favor of one of the warring sides.
There are now no less than ten air forces engaged in the Syrian war: those of the US, Russia, Israel, Britain, France, Belgium, Germany, Syria, Turkey and Jordan.
Last week, ahead of the US air force’s entry, the Pentagon reinforced the American special forces troops at Remalan airbase, located in northern Syria next to the Kurdish city of Hassakeh.
Obama previously announced that 250 troops had been deployed to reinforce the 50 already on the ground. Butdebkafile’s military sources report that the actual number of US soldiers at the base is much higher, and that the troops have attack and transport helicopters that can deliver them within a short period of time to any of the fronts in Syria.
The US air force attacks on the Aleppo and Idlib fronts are expected to continue in the coming days.
 
Bill Clinton alitawala America kipindi kimoja na boris yersin wa Russia, kulikua kimya kabisa, hatukuona shida hizi

Akaja rais George w Bush akatawala America kipindi kimoja na rais putin, hatukuona ugomvi wowote, palikua kimya tu

Then Akaja mwafrika Barack Obama, hapo sasa ndipo tukaona makucha ya Vladimir putin, kwanza akaamua kui cheat constitution ya Russia, akiwa tayari ametumikia kipindi chake cha urais akamsukumiza mediviedev awe rais ili yeye arudi kuwa rais kwa mara nyingine baada ya mediviedev jambo ambalo ni geni kabisa katika siasa za ulimwengu huu

Kumbe putin alishaona Kuna mwafrika tena dhaifu anaelekea kuwa rais wa marekani, putin akaona huu ndio wakati muafaka wa kurudisha heshima ya Russia at the expense of this useless Niger

Chini ya putin, Russia imevunja sheria ya kimataifa ya sovereignty kwa kulichukua jimbo la Crimea mali halali ya ukaraine kwa mabavu ya kijeshi na kuwatimua askari halali wa ukaraine, kisa?

Eti kisa raia wa Ukraine wamefanya maandamano ya kumpinga rais wao na kisha bunge kupiga kura ya kumtoa madarakani hivyo akakimbilia Russia, Je suala hili lilikua linaihusu nini Russia? Russia na Ukraine ni majirani tu, kwa sheria za kimataifa hakuna taifa linaruhusiwa kuingilia mambo ya jirani yake, Ukraine was and still is sovereign state

Kisingizio cha kuwasaidia Russian speakers ndani ya Ukraine hakina mashiko katika international law, maana hao ni raia wa Ukraine Ingawa wanaongea kirusi pia,
Hii ni sawa na kenya kuivamia Tanzania kuja kuwalinda wajaluo ambao ni raia wa Tanzania na sio kenya

Ni ukorofi huu wa Vladimir putin uliowafanya majirani wa Russia Poland, Croatia, Slovakia, Slovenia, Romania, Estonia, Bulgaria etc kuomba msaada wa NATO na marekani, maana hata wao pia wana population kubwa ya Russian speakers ndani ya nchi zao, na hii ndio pretext kubwa inayotumiwa na putin kudestabilise majirani zake

Sasa NATO imeweka mkakati wa kuzisaidia nchi hizi kujikinga na yaliyofanywa na Russia, Ukraine,
Hii ni pamoja na kupeleka vifaa vizito kabisa katika nchi hizo, kupeleka wanajeshi na kujiandaa kwa lolote, sasa Russia amezungukwa pande zote hivyo yeye ndie amegeuka victim na anapiga kelele kuwa anazungukwa

Ni wazi kabisa kuwa hizi hatua za kujilinda zilizochukuliwa na NATO zimeifanya Russia kujiuliza mara mbili mbili kabla ya kufanya Yale ya Ukraine, Ingawa Ukraine hakua mwanachama wa NATO hivyo hakua na sifa za kulindwa na NATO

Hivyo ukorofi wa putin ndio umeifikisha Russia hapo, Kinachofanywa na NATO sasa ni majibu stahiki kwa Russia,
Putin alitaka kuirudisha Russia kwenye ramani ya dunia kwa nguvu, sasa akubali matokeo pia

Kuhusu Syria Russia ana haki zote kumsaidia mshirika wake, ndio maana marekani na EU Hawana tatizo na involvement ya Russia Syria, shida ni huko kwa majirani zake wadogo wadogo
Ww ni mnaz Wa USA HIV unajua urusi Mwaka 2008 aliingia Georgia Na bush alikuwepo? Kwa taarifa yako USA ametumia issue ya Crimea Na vurugu za Donetsk kujijenga ushawish Na kibiashara Eastern Europe .
 
George bush alikuwepo Na Putin alikuwepo
 
Ww ni mnaz Wa USA HIV unajua urusi Mwaka 2008 aliingia Georgia Na bush alikuwepo? Kwa taarifa yako USA ametumia issue ya Crimea Na vurugu za Donetsk kujijenga ushawish Na kibiashara Eastern Europe .
Ndugu nyiokunda

Sikupingi kwa hayo uliyosema isipokua jambo moja tu la unazi wa USA, labda Maandishi yangu yamekufanya ukaona unazi ndani yangu, yapo mengi nimejadili nje ya hapa nikiwa upande wa Russia kwenye majukwaa mengine nje ya jf
Kila mada iliyomezani ninaijadili kwa Hali ilivyo, Sina position moja kwa mada zote kama ilivyo wengine humu

Kuhusu Russia kuivamia Georgia ilikua ni haki yake, Georgia iliivamia South osetia na kuikalia kimabavu, na osetia ni mgogoro wa Muda mrefu kati ya Georgia na South osetia, na zipo nchi za Baltic zilishaitambua osetia kama nchi huru, Russia iliingia kuzuia aggression ya Georgia dhidi ya South osetia, ndio maana hakuna vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Russia, na uhusiano wa Russia na America ulibaki ukiwa imara hadi mwisho wa utawala wa Bush

Kuivamia na kutwaa ardhi ya nchi nyingine ni kitu tofauti, ipo tofauti kubwa sana kati ya ishu ya Georgia na Ukraine
Suala la Ukraine kupokonywa Crimea na urusi lililaaniwa na dunia nzima ikiwemo China na Iran marafiki wa Russia, ni kweli zamani Crimea ilikua sehemu ya Russia, hata hivyo kwa sababu za kihistoria huko nyuma zaidi pia iliwahi kuwa sehemu ya Ukraine, mtawala wa Russia alieitoa Crimea kwa Ukraine alikua kama anairejesha

Na hivyo ndivyo Ukraine ilivyosajiliwa UN kuwa Crimea ni sehemu ya Ukraine, na mipaka ya Ukraine inajumlisha Crimea, hata Soviet Union ilipovunjika Russia haikuidai tena Crimea iliiacha iende na Ukraine, kama Crimea ingekua sehemu ya urusi, urusi ingeichukua wakati Soviet Union inaanguka

Kuja kuitwaa leo kimabavu ni uharamia, ilikua ni lazima NATO ijibu, ni Bahati mbaya sana sasa Russia anajiona kama mhanga kwamba anaonewa, kwamba NATO inamzunguka kwa maksudi,
NATO Haikua na Mpango wowote wa kurundika vikosi, vifaru, makombora na defense systems jirani na Russia kabla ya ishu ya Crimea, ni Baada ya uchokozi huu wa Russia kwa majirani zake wadogo wasiojiweza

Russia amejiroga mwenyewe anazipa hizi nchi za Baltic na Balkan sababu ya kujiunga na NATO, Nchi hizi hapo mwanzo nyingi hazikua na nia ya kujiunga na NATO hadi Russia ilipoanza bullying ndipo zika feel threatened
Na kama ulivyosema hapo hapo America akatumia mwanya huo ku win influence ya nchi hizi, am afraid America amefanikiwa kwenye Hilo

Karibu nchi zote majirani wa Russia wanaiona Russia kama adui na wanataka urafiki na marekani, hujiulizi tatizo ni nn?
Russia ikitaka kubadili Hali hiyo au status quo ni lazima ibadilishe sera zake, na kuzifanya hizi nchi ziione Russia kama rafiki na sio adui
Lakin kama Russia inaendelea kutumia jeshi kuzi bull hizi nchi, itafika pahala zote zitakua under American influence

Russia Anajaribu kurudi kama global power, sasa global power bila influence duniani inakuaje hapo, washirika wa kuhesabu inawezekana kweli?
 
Hayo majimbo had Leo jumuiya ya kimataifa hayajazitambua ila tu Georgia ilifanya aina Fulani ya uhalifu Wa kivita ndo Russia akaingia jumla jumla.marekani tangu mwanzo alianza kujitanua ulaya mashariki kipindi cha bush .Na alianza mikakati ya defence shield tangu kipindi hiko kwa kisingizio cha makombola ya Iran.sasa hivi kapata kisingizio tena anasema khs Iran.kwa taarifa yako Putin sio kama Boris mlevi huyu amerudisha nguvu ya Russia Na ni mwanzo Wa mashindano ya weapons development
 
Georgia 'overrun' by Russian troops as full-scale ground invasion begins
*.Gordon Brown urges Moscow to order a ceasefire
*.Putin lashes out at the U.S. for 'helping Georgia'
*.Georgia 'restarts shelling' after ceasefire call ignore
*.Refugee crisis as 40,000 flee
Georgian officials tonight claimed the country had been 'overrun' by Russian troops after a full-scale ground invasion.
Amid reports that Moscow forces had taken the town of Gori - and were marching on the capital Tsblisi - Georgian soldiers appeared to be in full retreat.
Troops were apparently in complete chaos as a full-scale rout pushed them back through the countryside.
Meanwhile, the civilian crisis intensified with thousands of refugees fleeing the seemingly unstoppable advance of the Russian army.

Source -daily mail 2008
Wakati huyu mama anatwambia kuwa Russia walikua sawa kuivamia Georgia,
ndugu zake wamarekani walikuwa busy kuwasaidia georgia kijeshi na kuilaani Russia kwa kuivamia georgia.
Sasa hapa kati ya Bush na Pendo wa jf nani yuko sahihi?
Ha ha ha...
 
imgres
.
Askari wa russia wakilivuta gari la kijeshi la kimarekani waliloliteka katika vita vya Georgia
 
Huyu bi Dada labda Shem wetu ni mmarekan
 
Back
Top Bottom