Wanamgambo wa kiislam wadai wapo Tanzania

Wanamgambo wa kiislam wadai wapo Tanzania

Hawa ni kukata makende, watanyooka na kusema nani kawatuma... Tutailinda nchi yetu usiku kwa mchana, hawa watu wabaya sana, mashetani kabisa..!!
 
muhimu ni kwa serikali na jeshi la ulinzi kuanza kuchukua tahadhari za mapema kwa kuwa hawa watu huwa hawanaga uongo,wakisema wapo ujue wapo kweli,pia kuna kikundi fulani walipost video yao facebook ,kipo huko znz walikuwa wakisema wanataka znz yao,na watahakikisha wanawarudisha wabara wote kwao iwe kwa panga ay nini,kwa hiyo vitu kama hivi si vya kuviacha tu kirahisi rahisi,pia jambo lingine ndugu zanguni ni kumtanguliza MUNGU mbele,tumuombe atupe amani ya kudumu na atuepushie hayo makundi ambayo kimsingi ni kama mawakala wa kuzimu kwani hakuna popote kwenye Uislamu kunapoanikiza vitendo kama hivyo
 
Sidhani kama kuna magaidi ya kiislamu yatakayokuja Tz. Labda serikali ikawachokoze. Wasijaribu kuwachochachocha hawa jamaa mana wao inaonekana ni watu wa visasi tu. Chamuhimu ni kulinda mipaka yetu vizuri.
 
kwahyo hao jamaa wameona waislamu wa kujiunga nao wapo tanzania tu,kwanini hawajaenda misri,chad,djibout mpaka waje tanzania na wakati wanajua tanzania ni non-religious country

Mkuu huyu anayake, mimi mwenyewe nashangaa waje kufanya nini huku? Kwanini wasiende nchi kama syria,nigeria na mali, alaf waje huku!
 
Now watching Terrorism:The movie. Written and directed by mossad,produced by CIA.trailer available on All major media outlets especialy BBC,CNN and fox.

Honestly kama bado kuna mtu anadhani ISIS,alshabaab na boko haram ni waislamu legitimate,au yameanzishwa tu na waislamu kwaajili ya kuua watu wadini nyengine then nakuonea sana huruma,ile ni biashara kama biashara nyengine,huamini kaulize ISIS wanaingiza pesa ngapi kwa siku kwa kuuza mafuta peke yake,kisha jiulize hayo mafuta wanamuuzia nan.dunia ya sasa
Alafu tujifunze kuwa wadadisi sio kila unalosikia CNN ama BBC ni sahihi,western media zinaongoza kwa ku twist habari na manipulation of public opinion,kama huamini siku moja fuatilia coverage ya habari moja ktk media tafauti za nchi zenye policy tafauti utajionea maajabu ya jinsi taarifa moja inavyoweza tolewa in very different ways
Wake up.
 
Kuna watu wamekosa bomba kwa sababu wawekezaji wamekwepa magaidi ya alshabab huko kwao, sasa iweje baada ya bomba kuhamia Tanga eti na haya mafal.a nayo yameibukia hapo hapo! Alshabab wanadai kenya itoke somalia, sasa hapo Tanga magaidi yanadai nini? Kama kuna hujma flani vilee?

Akina k254 na wenzie😀
 
May 18, 2016
Dar-es-Salaam, Tanzania

KAULI RASMI TOKA KWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KWA BBC

Tanzania's Home Affairs minister Charles Kitwanga has told the BBC that the security forces are investigating whether a jihadi group is in the East African state.

The government is taking the issue very seriously, as it affects national security, he added.

He was commented after a video emerged, showing five militant Islamists who said they were in Tanzania's coastal region of Tanga.

Source: Africa highlights: Wednesday 18 May 2016 as it happened - BBC News

N.B
Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani kuhakikishia wananchi wa Tanzania kuwa hali ipo salama na vyombo vya ulinzi na Usalama vipo macho Tanzania ilikuja baada ya BBC kuweka habari hiyo 10:47 Hrs 18.May. 2016

BBC
Tomi Oladipo

BBC Africa security correspondent

A poor quality video has emerged of about a half dozen masked jihadists.

The men allege they are in Tanzania's coastal region of Tanga, and call on Muslims across the East African state to join their campaign.

A Twitter account promoting the five-minute-long video says they are the East African branch of the Islamic State (IS) group, but there is no evidence of a direct link and it is unclear how large the group is in the region. Africa highlights: Wednesday 18 May 2016 as it happened - BBC News
 
Wiki iliyopita Boda ya Lungalunga niliona kitu...
Nitawapa mrejesho
Inabidi utuletee huu mrejesho maana hawa watu sio watu wazuri na tusipende kuilaum bbc wametupa habari kazi yetu ni kuifatilia ili kujua ukweli tukiibeza tunafuga mapanya bila kujua
 
Mkuu huyu anayake, mimi mwenyewe nashangaa waje kufanya nini huku? Kwanini wasiende nchi kama syria,nigeria na mali, alaf waje huku!
Acheni vichekesho mara ngapi tunasikia alshababy wakichukua vijana nchini kenya kwenda kua wapiganaji wao?
Mfano mwingine islamic state hawachagui wapi watapata wapiganaji kila sehemu wanapokua basi huchukua wapiganaji wao sehemu hizo

Tusiidharau hii habari litakua kosa kubwa cha msingi jeshi letu na police wafatilie kuujua ukweli
 
Now watching Terrorism:The movie. Written and directed by mossad,produced by CIA.trailer available on All major media outlets especialy BBC,CNN and fox.

Honestly kama bado kuna mtu anadhani ISIS,alshabaab na boko haram ni waislamu legitimate,au yameanzishwa tu na waislamu kwaajili ya kuua watu wadini nyengine then nakuonea sana huruma,ile ni biashara kama biashara nyengine,huamini kaulize ISIS wanaingiza pesa ngapi kwa siku kwa kuuza mafuta peke yake,kisha jiulize hayo mafuta wanamuuzia nan.dunia ya sasa
Alafu tujifunze kuwa wadadisi sio kila unalosikia CNN ama BBC ni sahihi,western media zinaongoza kwa ku twist habari na manipulation of public opinion,kama huamini siku moja fuatilia coverage ya habari moja ktk media tafauti za nchi zenye policy tafauti utajionea maajabu ya jinsi taarifa moja inavyoweza tolewa in very different ways
Wake up.
Ukijiunga nao tu tayari umeshakua mwislam hata kama ulikua wa dini nyingine na hawa jamaa is harakati zao ni kuanzisha dola la kiislam duniani hivyo hivyo kwa boko haram na alshababy lengo ni lilelile ndugu
 
Mkuu punguza jazba hakiki kwanza hii news je ina ukweli wowote? Ivi hao jamaa wakiingia kwetu kuna mtu wa kuwazuia?Tusipende kuongea vitu kwa kujiamini..hawa jamaa wanapower zaidi ya jeshi
Cha msingi wafatilie hii taarifa mtu anaeibeza hii taarifa haitakii mema nchi kama wangekuepo siku zote tungeambiwa pia
 
Naombeni mjiulize swali.hivi hawa magaidi kwanini hawashambulii U.A.E, QATAR, OMAN, SAUDI ARABIA, LEBANON, JORDAN... WHY?
Wafadhili wao wanaowapa kila kitu ili kufanya kile wanachokifanya wanatoka katika nchi hizi ndugu hata siku moja huwezi kusikia wameshambulia huko ndugu
 
Ukijiunga nao tu tayari umeshakua mwislam hata kama ulikua wa dini nyingine na hawa jamaa is harakati zao ni kuanzisha dola la kiislam duniani hivyo hivyo kwa boko haram na alshababy lengo ni lilelile ndugu
Mkuu hamna dini pale. Ni taasisi ya wakubwa, dunia ya leo huvamiwi kijeshi ila una tumiwa kikundi kinacho jiita kua kina pigania dini kuja kukudhoofisha. Jiulize silaha za kisasa na magari ya vita yanatoka wapi? Miskiti wana vunja dini ipi ina piganiwa?
 
ISIS ni Hatari nawatahadharisha majeshi yetu msiende kichwa kichwa msije mkachinjwa kama kuku.
 
Mkuu kitu cha kujiuliza hapa ni, je majority ya watangazaji wa idhaa ya kiswahili ya BBC wanatoka nchi gani?

Kitu kingine why Tanga i.e hizi propaganda za kuonyesha Tanga si salama lengo lake ni nini? Kuwatia hofu wawekezaji na watalii tukiweka maanani kwamba mahandaki yenyewe yanakwenda mpaka Mombasa - mimi sichukulii kama hili ni suala la Waislaam wenye itikadi kali, mbona tunaishi na Waislaam wa sect tofauti hatuna tatizo nao sisi.

Nashauri vyombo vya Dola viangalie saula hili kwa jicho la tatu.
Hawa watu majirani ni wabaya sana tuwe macho nao maana yaonekana sasa kuna vita ya chini kwa chini kuhusu utalii
 
Back
Top Bottom