Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Anashindwa kutofautisha baina ya maslahi ya Nchi (watanzania) na chama chake.
 
Double standards ambazo zimesababishwa na jithada za Magu kujiingiza kichwa kichwa kutaka kulinusuru lile chama chakafu na fisadi namba moja Afrika ()ccm). Hili nalo ni kosa alilolirithi kwa watangulizi wake.
 
Ukiwa mpiga ngoma anza kupiga taratibu kisha taratibu unakoleza. Ukianza kwa kasi ni bahati sana kumaliza kwa kasi.
 
Unapaniki sasa, punguza mapenzi angalia hali halisi, haswaa sukari na uhuru w vyombo vya habari
ATI KIBALI CHA SUKARI,JAMANI AMESHINDWA KUWEKA VIBALI KWENYE MADINI LEO ANARUDISHA KIBALI KWENYE SUKARI?,AISEE HATA SOMALIA HAWANA MAMBO YA KIBALI CHA SUKARI,SIO BURE HII NCHI YETU ILIKWISHA LAANIWA NA MUNGU KWA SABABU UONGO,ZINAA,NGONO KINYUME NA MAUMBILE,DHULUMA,IBADA ZA UONGO NA UTAPELI WA VIONGOZI WA DINI NA WACHUNGAJI,MAUAJI YA ALBINO, UCHAFU NA KANSA YA USHIRIKINA,WIZI WA HAKI ZA MASIKINI AMBAO NI WENGI NCHINI eg MADAWA YA KUTIBU MASIKINI YANAIBIWA,PESA ZA SEREKALI HAZIWASAIDII MASIKINI NA ZINAISHIA MIKONONI MWA WACHACHE WALIOSHIBA NA KUSAZA,MASIKINI NA WATOTO WAO NGUO ZIMEPASUKA,MADAWATI NA MADARASA HAKUNA WATOTO WANAKAA KWENYE VUMBI CHINI YA MTI AU MAPAGARA YA MATOPE,KILA DAKIKA KADHAA MASIKINI NA WATOTO WAO WANAKUFA KWA MARADHI YANAYOTIBIKA,MAJI MACHAFU NA MENGINE MENGI AMBAYO HAYATAISHA HATA KAMA NITAANDIKA MPAKA KESHO,HALAFU VIONGOZI WA SERIKALI NA MATUMBO YAO YALIOVIMBA KWA KULA HAKI ZA MASIKINI YAMEKALIA NDIYOOOO,NDIOOOOO,NDIOOOOO HUKU YANAJAMBA,.,.. YAKITOKA HAPO YANASHINDA GUEST NA WANAWAKE WANNE KWA PAMOJA YEYE KAWEKWA KATIKATI ETI 5 SOME ETI YANAKUNYWA SAVANAH,DOMPO PERIGNON NA MAHARAMU MENGINE HALAFU KAZI YA KUNAJISI WANAWAKE KINYUME NA MAUMBILE INAFANYIKA USIKU KUCHAAAAA,..EE ACHA UMASIKINI,MARADHI,NA UJINGA UTUTAFUNE HAKUNA NAMNA,HIVI TUNAFIKIRI MAENDELEO YATALETWA AU KUFANIKIWA IKIWA DHULUMA IMEKITHIRI NA YOOTE NILIOTAJA HAPO AWALI INGALI YANAZIDI,,BASI KWA KUMALIZIA KUMBUKENI YULE BWANA MUNGU ALIETUUMBA SISI BINAADAMU ANAJUA,ANAONA,NA ANA UWEZO WA KILA KITU NA ANA NGUVU ISIO NA MFANO HIVYO BASI HAKUNA CHA NINI WALA NINI UMASIKINI WA KUJITAKIA HAUKWEPEKI KABISA,TUTABAKIA NA UTUMBUZI WA VIJIPU UCHUNGU NA CHUNUSI HALAFU ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO,CHUKUA UKITAKA,.,,.,UKISHINDWA UNAPITA TUU AU MEZA JIWEE.
 
Magu ni mfanyakazi aliyeajiriwa na wananchi, wasaidizi wake katika utendaji kazi ni watumishi wa serikali walioajiriwa katika sekta mbalimbali. Badala ya kutumia KAROTI na FIMBO kuwameneji ili wamsaidie vzr katika utendaji wake, yeye KAROTI kaiweka pembeni anatumia FIMBO tu kuwachapa bila hata kuwapa KAROTI kidogo watafune. Kwa sasa watumishi wanamsikilizia hawajui wapokee ujumbe gani kutoka kwa wananchi ili wapeleke kwa bwana mkubwa na wachukue ujumbe upi kwa bwana mkubwa kuwafikishia wananchi hivyo muunganiko kati ya wananchi na watumishi umekatika hivyo unapoozesha harakati za awamu ya tano.
 
Ukiwa mpiga ngoma anza kupiga taratibu kisha taratibu unakoleza. Ukianza kwa kasi ni bahati sana kumaliza kwa kasi.
Ndio mkuu ni kweli,lakini kumbuka kwa nchi iliolaanika kama yetu Tanzania,hata waje MAGUFULI milioni nne nakuapia hakuna chochote kitafanikiwa mpaka Watanzani warudi kumuogopa Bwana MUNGU,vinginevyo utakuja kumbuka maneno yangu,UMASIKINI HAUKWEPEKI POPOTE PENYE DHULUMA,nafikiri umenielewa.
 
Nenda kale michembe hujielewi hata kinachoongelewa hukielewi. TWAWEZA, 2015. aka misukule!
Mwambie huyo MSUGUSU hana faida zaidi ya NGOSHA NAHENE,NAHENE KULUMMBA,KANAKALIA GA MAGUFULI GANAFANYA MAMILEMMO GETE GETE CHUUUUUUU NGOSHA WABHEJA MWANANGWA.
 
Hilo zigo lenu halitakaa lipate uraisi maishani mwake,labda raisi wa mioyoni yenu baraza la vichaa,Huyu Huyu tu na Hata muanzishe thread 800 kumpinga,mtachemka tu na nchi itasonga tu,nyie mtabaki na hasira zenu humu JF Lakini zitagonga mwamba tu.
Hee NGOSHA una guniya ngaipi za MICHEMBE kwako?,VIPI NA BASIKELI UNAZO NGAPI?
 
Anachuja kama zile nguo za mawingu?
ha ha kuna kabila walikuwa wana sema kampe unyoke yaani kampe mama yako ni nguo zilidharauliwa sana Namuonea huruma raisi wetu alijikoroga mwenyewe hivi kweli unaweza kuwa na mshauri kama makonda mulongo, muhongo mwigilu January watu wenye majivuno na visasi
 
Hana sifa ya kuwa Rais na kulikuwepo na ushahidi wa kutosha kwamba hawezi kuongoza nchi, lakini Mkapa na Kikwete walitaka mtu wao ili aweze kuwalinda katika kashfa zao mbali mbali ikiwemo ukwapuzi wa nyumba, escrow, Richmond, lugumi na madudu mengine. Sasa kuingia madarakani na kutaka kuwa dikteta na sera za kukurupa mwaka 2016 ni lazima nchi ikushinde kwa sababu Watanzania wa 2016 si sawa na wale wa enzi za chama kimoja.

 
MTU ASIE JUA ATAFKIRI MMEPATA WAZIMU KUMBE MNATANIANA TU... UTUMBO WA MIAKA 30 UTATULIWE MIEZI 7. HAHAHAHA
 
Usisahau alikuwemo ndani ya Serikali kwa zaidi ya miaka 20 huku akipiga kimya kuhusu ufisadi wa RADA, Richmond, EPA, Escrow, Ukwapuzi wa nyumba ambapo yeye alikuwa kinara wa ukwapuzi wa nyumba na bado anaendelea kupiga kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi, UDA na Pride. Msipotoshe ukweli wa mambo kutaka kuonyesha huyu mtu ameingia Serikalini miezi sita tu iliyopita kumbe alikuwemo zaidi ya miaka 20 na madudu yote yaliyofanyika alikuwa anapiga kimya tu.

MTU ASIE JUA ATAFKIRI MMEPATA WAZIMU KUMBE MNATANIANA TU... UTUMBO WA MIAKA 30 UTATULIWE MIEZI 7. HAHAHAHA
 
Hayo ni matokeo ya doctor kutibu mgonjwa kwa kutumbua majipu tu yaliyojitokeza mwilini, bila kutibu chanzo cha hayo majibu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usisahau alikuwemo ndani ya Serikali kwa zaidi ya miaka 20 huku akipiga kimya kuhusu ufisadi wa RADA, Richmond, EPA, Escrow, Ukwapuzi mwa nyumba ambapo yeye alikuwa kinara wa ukwapuzi wa nyumba na bado anaendelea kupiga kimya kuhusu ufisadi wa Lugumi, UDA na Pride. Msipotoshe ukweli wa mambo kutaka kuonyesha huyu mtu ameingia Serikalini miezi sita tu iliyopita kumbe alikuwemo zaidi ya miaka 20 na madudu yote yaliyofanyika alikuwa anapiga kimya tu.
Na usisahau kua mamlaka kamili alikua hana, kweli alikua mbunge ila pia waziri. Hapo angejifanya msema kweli azma ya urais angeisikia kwenye radio. Ukisha pigia mizinga 21 ndio unaweza kushuhulikia mautumbo kwa uhakika zaidi...... Labda nikusaidie kaka ukijibu tena usisahau jina la lugumi!!!!
 
Back
Top Bottom