Wewe ni mgeni huko Mwanza? Kwa miaka sasa nimekuwa natambua Mwanza ni mji wa wajajanja au ndio wewe uliyepelekwa kudeki barabara wakati wa kampeni?Na huku umefika Msororo69? Twende kwenye mada.....
Naona kama kawaida yako umechangia kwa lugha ya kejeli na kuudhi kwa kuita mwenzako mjinga
Ngoja nikujibu kwa mtindo huohuo, kwamba, likely wewe ndiye mjinga. Kwa maana mjinga ni yule asiyeelewa na asiye na ufahamu wa jambo au mambo flani. Huyu mtu mmojawapo ni wewe!!
Umesema kwamba hao waliokamatwa na wewe ukawaona kwenye TV ndiyo
walificha sukari na kwa hiyo ni kosa. Hebu tuambie wewe "mwerevu" usiye "mjinga", kesi za hao waliokamatwa ziko mahakama gani eti??
Kwa akili yako wewe mwerevu mtu mwenye kiwanda kukutwa na tani zake kadhaa katika warehouse yake, anakuwa ameficha siyo?
Tena sukari ikiwa imehifadhiwa kihalali kabisa kwa sbb imenunuliwa kihalali kwa kupitia taratibu zote ikiwemo kulipia kodi za serikali
Labda nikutaarifu tu kwamba, hapa Mwanza ndugu zako hawa unaowatetea kwa makosa yao mpaka povu linakutoka mdomoni walikamata tani 27 za mfanyabiashara mmoja tarehe 5/5/2016 kwa hisia hizohizo ulizonazo wewe.
Wameshindwa kuthibitisha kama ilifichwa na badala yake wao wenyewe wameirudisha sukari kwa mwenyewe ili aendelee na biashara yake!!
Maamuzi ya kukurupuka yana madhara yake kikubwa ikiwa ni kupoteza muda na rasrimali za serikali kwa jambo ambalo lilihitaji akili kidogo kulishughulikia!!
Eleza alivyochuja. Hivi kweli unaweza kujiita GT kwa jibu hilo? Hata hao walio-like nao uelewa wao wa kujibu au kujenga hoja una walakini.wewe ndiyo umechuja, trust me
kutaka kukibeba chama cha mapinduzi,ndiyo gharama kubwa aliyeifanya mpaka kupoteza umaarufu wa kisiasa![/QUOTE
Wakati wa kuomba kura JPM alijitenga na ccm kwa vile chama kulikuwa kimepoteza imani kwa wananchi. Sasa anaanza kufuata maagizo ya chama chake kupambana na upinzani, kuminya uhuru wa habari n.k. badala ya kuhangaikia shida lukuki za wananchi waliomchagua.
Tatizo la kukaimu huonekana pale ambapo anayekaimishwa hakuwahi kuwa karibu na anayeondoka kwa hiyo anakuwa haijui sana ofisi aliyopewa inavyofanya kazi.Siku zinahesabika lazima achuje haraka kwani hakujipanga kuwa raisi.c unajua ka kaimu nafasi ya mwingine aliyejipanga kuwa raisi kwa mda mrefu
Anae chafua ndio ndie annae paswa kufuta, wakifuta wengine itakua uwoneziUlisababishwa na serikali ya chama gani?
Duh, let me reserve my comments for now...yaani CCM ishindwe kazi, lawama zielekezwe kwa upinzani! It is hard, really hard, to believe this kind of response comes from the Waberoya I knew sometime back. Si ajabu idadi ya waliochuja ni kubwa na inazidi kuongezeka, what a pity!upinzani ndio ume to let down, it seems for 20 yrs they dont know how to win election..pity
Kwa hoja ulizoandika, asilimia kubwa kesi hizo kama zitafunguliwa zitatupiliwa mbali. Justification ya kuficha kwa mtu mwenye godown utathibitisha vipi. Halafu huwez kusema trend ya kuuza kubadilika imtie mtu hatiani. Naona ni dosari kubwa kama kweli mwendesha mashataka atafungua kesi kwa nadharia uliyoandika. Anyway tusubiri ila mengine yanakuzwa na kuongezewa tension bila sababu.Wewe ni mgeni huko Mwanza? Kwa miaka sasa nimekuwa natambua Mwanza ni mji wa wajajanja au ndio wewe uliyepelekwa kudeki barabara wakati wa kampeni?
Sheria ya uhujumu uchumi inakifungu kinachokataza mfanyabiashara kuhifadhi bidhaa bila ya kuiuza kwa lengo la kusababisha upungufu wa bidhaa hiyo. Hili ni kosa la jinai hivyo swala la kuchunguza nia ovu ni muhimu. Hivyo vuteni subira uchunguzi ufanyike watu hao watapelekwa mahakamani au kuachiwa huru kwa kushindwa kuthibitisha nia ovu.
Kama godauni husika huwa linauza tani mia tano kila siku ghafla anaanza kuuza tani tano kwa siku kisha anasema hakuna sukari wakati ndani ya godauni kuna tani elfu ishirini. Hapa kosa linakuwa limetendeka ila nia haijulikani. Huyu mtu atakamatwa kwanza halafu ndipo nia yake ichunguzwe kutokana na utetezi wake. Naamini hata kama ukuwa mjinga vipi utakuwa umenielewa.
Miaka ya nyuma ukanda huo ulitoa maprofesa wanane enzi za utawala wa Mwl Nyerere na Mwinyi. Sasa hivi eneo hilo linatoa wajinga wengi mpaka inatisha.
Kuna sababu kama 4 hivi naziona ndizo zinazomfanya achuje haraka hivi:
1. Kushindwa kwake kudili na majipu (wala rushwa wakubwa) na kubaki kuangaika na kesi za kuku. Hii imejionyesha kwa yeye kunywea kwenye swala la Lugumi, Wezi wa Escrow (kutekeleza maamuzi ya Bunge), kuendelea kukumbatia viongozi majizi, HSC na mambo kama hayo.
2. Kuendesha nchi pasipo kufuata utawala wa sheria. Anajiona yeye ndio ultimate decision maker wa kila kitu na hakuna anayejua zaidi yake. Sasa watu wameamua kumuacha afanye kazi zoootee peke yake.
3. Nchi kukosa muelekeo wa kiuchumi. Hii inapelekea kuwa na hali ngumu pasipo sababu. Bado anaangaika na kodi za machinga na mama Ntilie, wakati kule kwenye madini wanawaanchia wazungu wanachukua madhahabu na Almasi bureee kabisa. Hana vyanzo vipya vya kodi zaidi ya kumbana mwananchi wa kawaidi.
4. Kunyima Uhuru wa habari. Hii imejionyeshwa kupitia kukataa kuonyesha Bunge Live kwa sababu ya kuogopa wananchi kuona serikali yake ikikosolewa. Yeye anataka kusifiwa tu, ukimkosoa ni shida.
Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Amegundua na yeye ni jipu
Ni kweli hayo yanaweza kutokea iwapo upande wa mashitaka utakuwa na hoja nzito ambazo zitaizidi za utetezi. Pia hoja za utetezi zaweza kuzidi. Chamsingi hapa ni kwamba kitendo kinachokatazwa na sheria kimetendeka. Kuhusu kupata hukumu nzuri ni swala lingine. Hivyo kitendo cha kukamata kipo sahihi kufanyika.Kwa hoja ulizoandika, asilimia kubwa kesi hizo kama zitafunguliwa zitatupiliwa mbali. Justification ya kuficha kwa mtu mwenye godown utathibitisha vipi. Halafu huwez kusema trend ya kuuza kubadilika imtie mtu hatiani. Naona ni dosari kubwa kama kweli mwendesha mashataka atafungua kesi kwa nadharia uliyoandika. Anyway tusubiri ila mengine yanakuzwa na kuongezewa tension bila sababu.
nimekuelewa mkuuNdio mkuu ni kweli,lakini kumbuka kwa nchi iliolaanika kama yetu Tanzania,hata waje MAGUFULI milioni nne nakuapia hakuna chochote kitafanikiwa mpaka Watanzani warudi kumuogopa Bwana MUNGU,vinginevyo utakuja kumbuka maneno yangu,UMASIKINI HAUKWEPEKI POPOTE PENYE DHULUMA,nafikiri umenielewa.
Ni kweli mkuu. Nilikuwa nawaambia watu kuwa Magu ni mzuri kuwa mtendaji chini ya boss badala ya kuwa Rais kwa sababu yeye sio "mwanasiasa" wakawa wananibishia.We have leaders and subordinates. Some people were just meant to be led, given orders, carry them out and give feedback. As a minister he was an exceptional figure, a symbol of workmanship but as the president all tht will come into question and the effect is what we are seeing right now. Come two years watanzania wote watakuwa wanalia vilio tofauti na hapa kazi tu. Mark this it wont even be the citizens that will prove his incapabilities as a leader, it will be his own subordinates who are day in day out reprimanded and humiliated publicly. As they say a disgruntled worker leads to a bunkrupt boss...............
Hao wanaojichanganya kimajukumu wamejuzwa majukumu yao na aliyewateua?Tanzania zaidi ya unavyoijua.
Niliandika mapema sana hapa wakati serikali hii ikiwa na miezi miwili tu kuwa utawala wa nchi za kiafrika umejengwa katika kumuangalia Rais anataka nini?
Hilo ni kosa namba moja, mawaziri wakaanza kufanya kazi kwa namna ambavyo rais anataka.
Hivi uzembe umeisha kwenye taasisi na idara za umma?
Kilichotokea uwanja wa ndege ni ushahidi/ishara tosha kuwa serikali haiwezi kututoa hapa tulipo kwa ziara za kushutukiza.
Kuna shida gani tukiwa na aina ya serikali na utawala ambao kila kiongozi anakuwa na majukumu ambayo yapo wazi?
Unaweza kuona issue ya machinjio tu pale Vingunguti wanakwenda mawaziri watatu.
Narudia kusema Mheshimiwa Rais Kama Ana nia ya dhati ya kuboresha hali ya maisha ya mtanzania lazima awe na serikali ambayo kila kiongozi/cheo linakuwa "defined" kwa majukumu yake.
Utashangaa mkanganyiko uliopo,
1. Mkuu wa mkoa anakuwa na kazi ya kukagua shule, afisa elimu anafanya nini?
2. Mkuu wa mkoa anajivika jukumu la kutafuta wafanyakazi hewa? Wakurugenzi na maafisa rasilimali watu, maafisa tawala wanafanya nini?
Ikifika siku tukawa na serikali ambayo kila mtu ana majukumu yake yanayoeleweka na akayatekeleza ipasavyo basi tutafika mbali.
Tusimwachie mzigo huu Rais peke yake hawezi kufanya ziara za kushtukiza kila mahali hata kama atatawala miaka 100.
Tuwajibike.
Hao wanaojichanganya kimajukumu wamejuzwa majukumu yao na aliyewateua?
Kama hakubainisha mipaka ya majukumu yao nani alaumiwe?
Nimekupata.Sio rais anayetoa majukumu ya anaowateua, ipo tume ya utumishi hii ndio Ina majukumu ya kuanisha wajibu, mamlaka,majukumu na kadhalika.
Rais anateua tu hivi vyeo vipo kikatiba ILA kwa kuwa Mara nyingi watu hubaki na vyeo na sio wajibu na majukumu ya cheo husika.