Here is Russia's Response to NATO’s activities near Its borders

Here is Russia's Response to NATO’s activities near Its borders

jamaa anakwambia ukweli,sisi sio kwamba tunaichukia marekani,ila tunaside mara nyingi na russia maana russia wanakuwa hawana ulterior motive kama wamarekani katika haya mambo ya kijeshi,

marekani always wako zaidi kimaslahi ,

ukweli ni huu:
Speaking to Russian officials in Moscow, Mr Putin said: "This is not a defence system. This is part of a US nuclear strategic potential brought on to a periphery.
"In this case, Eastern Europe is such a periphery. Those people taking such decisions must know that until now they have lived calm, fairly well-off and in safety.
"Now, as these elements of ballistic missile defence are deployed, we are forced to think how to neutralise the emerging threats to the Russian Federation."
Speaking later at a meeting of leaders of Sweden, Denmark, Finland, Norway and Iceland at the White House, Mr Obama said: "We are united in our concern about Russia's growing aggressive military presence and posture in the Baltic-Nordic region."
"We will be maintaining ongoing dialogue and seek cooperation with Russia, but we also want to make sure that we are prepared and strong, and we want to encourage Russia to keep its military activities in full compliance with international obligations," he said.
The Romanian site hosts radar and SM-3 missile interceptors, and will be integrated into Nato's missile shield when the bloc meets this summer.

hizo za kwenu ni porojo za uchochoroni, wakati putin anaiona hatari na kuchukua hatua nyie warusi wa kwa mtogole mnakomaa hapa kubeza hiyo michakato inayoendelea ya US na nato
 
Unajua kilichozuia kutokea vita ya tatu ya dunia mpaka leo ni MAD,.
Huo ni uhakika kuwa mataifa yote yamebalance kijeshi na hivyo kama yatapigana ina maana kila upande utapoteza,
sasa kwa ukweli huo amani inakuwepo maana kila mmoja anamuheshimu mwenzake.
Tatizo marekani sasa anajaribu ku Undermine MAD,kwa kujaribu kuwa the top guy in town.
Maana kama silaha za nyuklia za mrusi hazitakuwa tishio kwa marekani,maana yake ni kuwa marekani atakuwa huru kuivamia russia na kuweka vibaraka wake,
sasa Russia nae ndo inakuwa ngumu atulie ili avamiwe na huo sasa ndo mwanzo wa mashindano ya silaha kila mtu akitaka atengeze silaha kali kumzidi mwenzake,
hicho ndo anakisema putin,
russia hana lengo la kuvamia marekani japo marekani anaitolea Russia udenda
 
They are just setting him up, Economy yake ni very weak and they know atakurupuka na kuanza kutumia everything in his military for non existence conflict, hawa west wana long term plan na Russia na asipoangalia watafanywa kama USSR...waliangushwa na CIA na Siberian pipeline ngumu kuelewa lakini ndio walivyoanguka
 
Make him spend mbaya mbovu in his military then collapse oil/gas prices then Russian wakianza kukosa Vodka na viazi Putin lazima asalim amri, now Putin and Russians wako under forced recession waliyowekewa na west hiyo inaonyesha si lolote si chochote
 
[QHE="pendo shununu, post: 16220670, member: 364058"]baada ya marekani na washrika wake kuzindua mfumo mpya wa kinga dhidi ya makombora karibu na mipaka ya russia, rais wa nchi hiyo vladimir putin na viongozi waandamizi wa taifa hilo waliapa kujibu mapigo, kwamba russia itajibu mapigo kwa kiwango cha ajabu, kwa kweli walitoa matamshi makali sana na ya kuogofya

lakini kinyume na matarajio ya wengi wetu jana wizara ya ulinzi ya russia imetoa tamko kuwa itapeleka vikosi vipya katika mipaka yake yote inayopakana na nchi zote kulikowekwa mfumo huo wa kinga dhidi ya makombora kama majibu ya hatua hiyo ya NATO
kwa lugha rahis ni kwamba russia itapeleka kikosi mpakani na romania, croatia, slovakia na poland na vitakaa huko permanently, pia russia ita deploy radar na sencor kwenye maeneo hayo ya mipaka yake na NATO

kwa wale mashabiki wote wa taifa hili la russia nadhan watakua dissapointed na majibu haya ya russia kwa NATO na america, kwa mujibu wa wachambuzi hatua hii ni kama diffensive zaidi, maadui zako wanazidi kukuzunguka kila kukicha na wanaleta silah nzito jirani na wewe, halaf unajibu kwa kupeleka vikosi jirani na uchokozi huo ili kujilinda, ni ishara ya udhaifu
wengi tulitegemea majibu makali ikiwezekana russia nae apeleke vifaa jirani na marekani lakini imekua kinyume

sababu zinazofanya russia isichukue hatua kali

(1) russia imeumizwa kwa kiwango kikubwa na vikwazo vya EU na marekani , EU na marekani ni chumi kubwa dunuani kama zinakuwekea vikwazo ni lazima utaathirika sana, hapa unazungumzia mataifa 28 ya ulaya ambayo russia kwa miaka amekua akifanya nayo biashara mbali mbali ,leo ghafla biashara hizo zinakua restricted na accounts kuwa frozen ni lazima uchumi uyumbe sana,hali ya russia kiuchumi kwa sasa ni mbaya kutokana na vikwazo hivyo, na russia kwa siku za karibuni imekua ikihaha vikwazo hivyo viondolewe, imekua ikizitumia baadhi ya nchi kama france,germany na greece kushawishi wenzio wa EU Kuiondolea russia vikwazo, na wote mmeona jinsi france inavyowabembeleza wenzao ktk EU kuviondoa vikwazo hivyo
ndio maana vladimir putin na wenzie wameshindwa kuchukua hatua kali dhidi ya NATO Wakiogopa kuiudhi EU isije ikaongeza muda wa vikwazo ambao una expire mwishoni mwa mei

(2) kutokana na hali ngumu ya russia kiuchumi haiwezi kumudu kufungua kambi ya kijeshi katika nchi za latin america jirani na marekani, kitendo cha kwenda kumsaidia dikteta bashal al asad pia kimeigharimu russia kiuchumi, gharama ya vita kwa siku ni kubwa mno, bei ya kombora au bomu moja linalorushwa na ndege vita ni kubwa mno na russia imerusha kupitia ndege karibia mabomu laki moja na kitu tangu september last year, ndio maana ikadai kujiondoa haraka syria bada ya mafanikio kiduchu ya awali, hivi sasa kuna mvutano, asad anaiomba russia iendelee na mashambulizi huku russia ikikataa kufanya hivyo, ikimlazimisha assad afikie makubaliano na wapinzani haraka badala ya kuendelea kutegemea msaada wa kijeshi, maana russia pia ina maslahi yake mengine ikiwemo uhusiano mzuri na EU

HIVYO kwa sasa hivi russia hana janja mwingine zaidi ya kuwaangalia tu maadui zake wakimzunguka kwa vifaa na wanajeshi labda zaidi anaweza hapa na pale kujitutumua kwa kuzi intercept ndege za marekani na washirika wake katika eneo la baltic mbinu ambayo ni ya kawaida , hata wao NATO wana intercept sana ndege za russia katika anga la NATO

NATO is continuing its military buildup along Russia’s borders. However, Russia is responding to every step the alliance takes by deploying new defensive weapons at its borders.

According to an article on the foreign affairs analysis website Voltaire Network, Washington in fact will not attack Russia. Its military buildup is rather aimed at provoking Moscow, in order to justify NATO’s expansion in Central Europe.

Amid NATO’s increased military activities near Russian borders, Moscow has announced the creation of two new units in the Western Military District (in Smolensk and Voronezh) as well as a new division in the South Military District (Rostov-on-Don).

Service combat surveillance vehicle SBRM

At the same time, along the Russian borders with Finland, the Baltics and Poland Russia is now deploying Sova anti-intrusion networks. This equipment allows the surveillance and monitoring of several moving targets and their trajectories.

The Sova-SBRM (stands for Combat Surveillance Vehicle) is operated by a group of servicemen. It is based on the chassis of the GAZ-233036 Tigr combat vehicle.

The Sova-SBRM is equipped with up to 50-80 magnetic, seismic and acoustic sensors. The sensors can be integrated into a network in designated areas and are controlled remotely. Each sensor is designed to recognize the frequencies of a number of sound vibrations, including those produced by helicopters, aircraft and armored vehicles.

The sensors can detect a target at a distance of up 15 kilometers, with a maximum accuracy of two degrees. They also indicate the trajectory of a moving target.

The vehicle itself is equipped with a telescopic antenna, with an operational range of 40 km. It also has an eight-channel electro-optical system comprising video cameras, thermal imaging devices and laser range finders.

The crew of the vehicle also operates two mini-drones, with a flight time of 60 minutes.

The Sova-SBRM was designed and produced by the defensive company Almaz-Antey in the city of Tula. It underwent tests in 2013-2015. It was deployed to the Hmeymim airbase in Syria as part of its defense system.[/QUOTE]
Hii imekaa kinaz Sana post yako kwanza ni Lin Russia anaushawishi Latin America zaid ya Cuba kipindi hicho.Russia wana electronic warfare ,hypersonic weapons and hybrid nzuri.ni kwel uchumi umekuwa shakes kwa financial market.Na hiyo inaongeza mashindano ya silaha
baada ya marekani na washrika wake kuzindua mfumo mpya wa kinga dhidi ya makombora karibu na mipaka ya russia, rais wa nchi hiyo vladimir putin na viongozi waandamizi wa taifa hilo waliapa kujibu mapigo, kwamba russia itajibu mapigo kwa kiwango cha ajabu, kwa kweli walitoa matamshi makali sana na ya kuogofya

lakini kinyume na matarajio ya wengi wetu jana wizara ya ulinzi ya russia imetoa tamko kuwa itapeleka vikosi vipya katika mipaka yake yote inayopakana na nchi zote kulikowekwa mfumo huo wa kinga dhidi ya makombora kama majibu ya hatua hiyo ya NATO
kwa lugha rahis ni kwamba russia itapeleka kikosi mpakani na romania, croatia, slovakia na poland na vitakaa huko permanently, pia russia ita deploy radar na sencor kwenye maeneo hayo ya mipaka yake na NATO

kwa wale mashabiki wote wa taifa hili la russia nadhan watakua dissapointed na majibu haya ya russia kwa NATO na america, kwa mujibu wa wachambuzi hatua hii ni kama diffensive zaidi, maadui zako wanazidi kukuzunguka kila kukicha na wanaleta silah nzito jirani na wewe, halaf unajibu kwa kupeleka vikosi jirani na uchokozi huo ili kujilinda, ni ishara ya udhaifu
wengi tulitegemea majibu makali ikiwezekana russia nae apeleke vifaa jirani na marekani lakini imekua kinyume

sababu zinazofanya russia isichukue hatua kali

(1) russia imeumizwa kwa kiwango kikubwa na vikwazo vya EU na marekani , EU na marekani ni chumi kubwa dunuani kama zinakuwekea vikwazo ni lazima utaathirika sana, hapa unazungumzia mataifa 28 ya ulaya ambayo russia kwa miaka amekua akifanya nayo biashara mbali mbali ,leo ghafla biashara hizo zinakua restricted na accounts kuwa frozen ni lazima uchumi uyumbe sana,hali ya russia kiuchumi kwa sasa ni mbaya kutokana na vikwazo hivyo, na russia kwa siku za karibuni imekua ikihaha vikwazo hivyo viondolewe, imekua ikizitumia baadhi ya nchi kama france,germany na greece kushawishi wenzio wa EU Kuiondolea russia vikwazo, na wote mmeona jinsi france inavyowabembeleza wenzao ktk EU kuviondoa vikwazo hivyo
ndio maana vladimir putin na wenzie wameshindwa kuchukua hatua kali dhidi ya NATO Wakiogopa kuiudhi EU isije ikaongeza muda wa vikwazo ambao una expire mwishoni mwa mei

(2) kutokana na hali ngumu ya russia kiuchumi haiwezi kumudu kufungua kambi ya kijeshi katika nchi za latin america jirani na marekani, kitendo cha kwenda kumsaidia dikteta bashal al asad pia kimeigharimu russia kiuchumi, gharama ya vita kwa siku ni kubwa mno, bei ya kombora au bomu moja linalorushwa na ndege vita ni kubwa mno na russia imerusha kupitia ndege karibia mabomu laki moja na kitu tangu september last year, ndio maana ikadai kujiondoa haraka syria bada ya mafanikio kiduchu ya awali, hivi sasa kuna mvutano, asad anaiomba russia iendelee na mashambulizi huku russia ikikataa kufanya hivyo, ikimlazimisha assad afikie makubaliano na wapinzani haraka badala ya kuendelea kutegemea msaada wa kijeshi, maana russia pia ina maslahi yake mengine ikiwemo uhusiano mzuri na EU

HIVYO kwa sasa hivi russia hana janja mwingine zaidi ya kuwaangalia tu maadui zake wakimzunguka kwa vifaa na wanajeshi labda zaidi anaweza hapa na pale kujitutumua kwa kuzi intercept ndege za marekani na washirika wake katika eneo la baltic mbinu ambayo ni ya kawaida , hata wao NATO wana intercept sana ndege za russia katika anga la NATO

NATO is continuing its military buildup along Russia’s borders. However, Russia is responding to every step the alliance takes by deploying new defensive weapons at its borders.

According to an article on the foreign affairs analysis website Voltaire Network, Washington in fact will not attack Russia. Its military buildup is rather aimed at provoking Moscow, in order to justify NATO’s expansion in Central Europe.

Amid NATO’s increased military activities near Russian borders, Moscow has announced the creation of two new units in the Western Military District (in Smolensk and Voronezh) as well as a new division in the South Military District (Rostov-on-Don).

Service combat surveillance vehicle SBRM

At the same time, along the Russian borders with Finland, the Baltics and Poland Russia is now deploying Sova anti-intrusion networks. This equipment allows the surveillance and monitoring of several moving targets and their trajectories.

The Sova-SBRM (stands for Combat Surveillance Vehicle) is operated by a group of servicemen. It is based on the chassis of the GAZ-233036 Tigr combat vehicle.

The Sova-SBRM is equipped with up to 50-80 magnetic, seismic and acoustic sensors. The sensors can be integrated into a network in designated areas and are controlled remotely. Each sensor is designed to recognize the frequencies of a number of sound vibrations, including those produced by helicopters, aircraft and armored vehicles.

The sensors can detect a target at a distance of up 15 kilometers, with a maximum accuracy of two degrees. They also indicate the trajectory of a moving target.

The vehicle itself is equipped with a telescopic antenna, with an operational range of 40 km. It also has an eight-channel electro-optical system comprising video cameras, thermal imaging devices and laser range finders.

The crew of the vehicle also operates two mini-drones, with a flight time of 60 minutes.

The Sova-SBRM was designed and produced by the defensive company Almaz-Antey in the city of Tula. It underwent tests in 2013-2015. It was deployed to the Hmeymim airbase in Syria as part of its defense system.
Hii
 
Make him spend mbaya mbovu in his military then collapse oil/gas prices then Russian wakianza kukosa Vodka na viazi Putin lazima asalim amri, now Putin and Russians wako under forced recession waliyowekewa na west hiyo inaonyesha si lolote si chochote
wanatumia ile mbinu aliyoitumia bin laden,,let them bleed blood and financial till their economy dry.
Marekani kuja kushituka katumia dola trilion 1 iraq.
Leo hii marekani kashituka hapeleki jeshi popote,either anapiganisha by proxy au utadeal na ndege zake.

Kwamba putin atanasa kwenye mtego ni suala la kusubiri na kuona
 
Your comparisons is like day and night, jiulize why Americans wana ubalozi mkubwa kuliko wowote Baghdad? Jeshi lote la Iraq limejengwa with everything Americans worth billions (trophy) + permanent American base, na don't fool yourself ile vita ilipiganwa bure with Americans Tax money labda waulize Germany or British watakuambia what it means Americans anapokusaidia kumtoa dictator ,hao Iraqis watalipa mpaka katambuga ya mwisho for the next 100yrs
 
Your comparisons is like day and night, jiulize why Americans wana ubalozi mkubwa kuliko wowote Baghdad? Jeshi lote la Iraq limejengwa with everything Americans worth billions (trophy) permanent American base, na don't fool yourself ile vita ilipiganwa bure with Americans Tax money labda waulize Germany or British watakuambia what it means Americans anapokusaidia kumtoa dictator ,hao Iraqis watalipa mpaka katambuga ya mwisho for the next 100yrs
mi sijui deni la iraq sasa ni ngapi,lakini nina hakika halizidi dola bilion 20.
Marekani wakati anajenga ubalozi wake pale iraq alipanga pia ndio iwe permanet comand centre yao,
lakini kiongozi wa iraq aliwaambia waondoke ,ndo kwa hasira wakaondoka na kuweka comand yao jordan.
Hivi karibuni ndo wanajitahidi kutaka kurudi,tatizo iran amekaba kwelikweli iraq
 
Asante mkuu wa comment yako

Nimezingatia suala la Muda uliotumika kuikomboa ardhi, na hiyo ni sehemu ya success ambayo nimezungumzia hapo juu

Umeuliza kwa nn

Sababu kubwa ya ushindi au success hiyo katika Muda mfupi ni firepower ya Russia, kabla Russia hajaingia Syria vita vilipiganwa ardhini zaidi, jeshi la anga la Syria halikua na capabilities za kuwashinda waasi, Russia iliingia na nguvu kubwa, huwezi kulinganisha Russia na waasi, ndege za Russia ambazo ni sophisticated zinaruka umbali mrefu na kushambulia juu sana, na hii air campaign ndio ilileta hayo mafanikio niliyoyataja
Hapo kabla waasi pia walipata msaada kutoka turkey, saudia na Qatar, hata hivyo silaha hizo ni light arms, Silaha ndogo ndogo

Kulikua na mgawanyiko kati ya marekani na hao akina turkey kuhusu ni silaha gani waasi wapewe, maafisa wengi katika marekani hadi sasa wana hofu ya kuwapa waasi sophisticated weapons kwamba zinaweza kurudi kwenye mitaa ya nchi za magharibi

Kwa sasa marekani na washirika wanasema kama jitihada za kumaliza mgogoro zitakwama wataenda kwenye plan b ambao wengi wanasema itakua ni kuwapa waasi sophisticated weapons mfano MANPADS
MANPADS inazuia access kwa ndege za kisasa, hazitaweza tena ku operate kwa Uhuru
Wachambuzi wengi wa naamini tayari waasi wamepewa na America silaha hiyo ya MANPADS, wanasema hivyo Kutokana na hivi karibuni waasi kuitungua helicopter ya kisasa kabisa ya Russia, na kuzishusha ndege karibu nne za jeshi la Syria
Manpad itaangusha ndege za Syria sio Russia.Na pia walipewa silaha ya kisasa ya kupiga tank.ndio maana Russia akaleta armata tank umekuwa nafuu kwa SAA kunyakua maeneo Na kuwa offensive not defensive
 
Hiyo ndio tafsiri sahihi tena kwa matendo ya KUUFYATA. Mrusi kaufyata tena kimya kimya na kiutu uzima.

Heeeeeeeeeeeeee, hivi watu huwa kweli mnatafakari habari zinazoandikwa?
 
habari ya kushambulia marekani umezitoa wapi?! putin hawazi kuthubutu kufanya huo upuuz unaofikiria make anajua mziki ulivyo mzito. mapigo anayojibu ndo hayo kusogeza majeshi mpakani, mapigo ya kitoto kweli. mwambie huyo putin amege nchi mwanachama wa nato akione cha moto teh!
kwanini amege eneo la mwanachama wa Nato??????waambie na Nato wadokoe eneo lolote la mrusi hata robo hekari tu
 
kwanini amege eneo la mwanachama wa Nato??????waambie na Nato wadokoe eneo lolote la mrusi hata robo hekari tu

kwa nini wadokoe eneo la urusi? kwanza US hana swaga za kishamba za kumega nchi za watu, hata alaska alimpa urusi mpunga na njaa zake
 
😛 Mkuu Huyu jamaa huwa mkurupukaji.. hajui nini kinajadiliwa, huwa anaparamia tu! Wakumuonea huruma

wewe nawe! yaan hujachangia kuhusu mada hata mara moja wewe umeona uanze kwa kukurukia watu!
 
UTEKAJI WA CRIMEA NA KUMWEKA BASHAR AL ASAD MADARAKANI NI MIFANO HAI KUA URUSI NI MZIKI MNENE... PIA URUSI ANA MILIKI NUCLEAR WAR HEADS 1940 NA MAREKANI 1720,NENDENI TOVUTI YA MASUALA YA KIVITA IITWAYO "FIRE POWER" MTAKUTA TAKWIMU NYINGI ZA KIJESHI.
 
Back
Top Bottom