Napenda tena kunukuu kauli ya mheshimiwa rais ambayo wengi ambao hawaitakii mema tanzania wanasema amepiga marufuku sukari kutoka nje.
Nanukuu alichosema mh rais february 17, 2016
Nakuagiza waziri mkuu kuanzia leo marufuku mtendaji yeyote wa serekali kutoa kibali cha kuagiza na kuingiza sukari toka nje vibali vyote natoa mimi.
kwenye maneno hayo sioni wapi amepiga marufuku sukari kuagizwa kutoka nje.Ila kwa siasa za kulazimisha kupandikiza chuki inaonekana hivyo
Mkumbuke vibali vya sukari vinatolewa kwa aina mbili ya sukari
(a)Sukari ya matumizi ya majumbani
(b)Sukari ya Viwandani.
Mh rais analeweka fika hilo lilikua moja ya jipu kubwa kiuchumi na kiafya .
- Kiuchumi kwa maana gani:Sukari ya viwandani inaingia kama rawmaterial kwa viwanda vya juice soda na kadhalika na inaingia bila kulipiwa kodi.Wafanya bishara wasio waaminifu walikua wanatumia mwanya huo kuingiza na sukari ya matumizi ya kawaida hivyo kukwepa kulipa kodi.Kuenea kwa sukari hiyo kulikua kunafanya sukari ya inayozalishwa na viwanda vya ndani isiuzike na hivyo kuathiri viwanda hivyo ambavyo vimeajiri watanzania wengi tu mbali na hilo kutouzika kwa sukari hiyo kulikua kunapunguza kodi serekali iliyokua inapata
-kiafya kwa maana gani:Sukari hiyo ya viwandani ilikua inaingizwa sokoni na kutumiwa na walaji kabla haijawa processed na kutumika kwenye juice na kadhalika.inamadhara yake kiafya kwa kiasi kikubwa tu.
Nachojiuliza hivi kweli wanaopinga haya hawayajui ?.Nivyema tukaisaidia serekali badala ya kupinga jambo ambalo hata maslahi nalo hauna.Wanasiasa wakubwa wanaweza kuanzisha propaganda kusaidia wafanyabiashara kwakua either wao wanafaidika na fedha zao au wao wenywe ni miongoni mwao je wewe?
By Maya