Recent content by Sangija mtata

  1. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    This is not my madrid... this is shit....
  2. S

    Movie Reviews

    N Download app ya show box ipo google na,siyo playstore
  3. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Real madrid anapocheza na barca mchezo unaompa mafanikio ni direct attack na mipira mirefu. Sio madrid tuu hata timu yoyote inapopata ushindi dhid ya barca hucheza mchezo wa aina hiyo. Hapa madrid ilipofika ni mbegu aliyoipanda papa perez. Madrid ilihitaji kusajili wachezaji wenye class za juu...
  4. S

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nakumbusha tu. Luis suarez usiku wa kuamkia leo ameipiku rekodi ya dani alves kwa kutoa assists nyingi na ya 27 kwa lionel messi. Kabla ya hapo rekodi hiyo ilishikiliwa na dani alves assist 26. Je kuuzwa kwa dani alves ilikuwa ni miongoni mwa kosa kubwa lililowai fanywa na hawa wacatalunya
  5. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kule alaves anapeleka msiba madrid
  6. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Papa perez yupo bize na kupanua dimba la santiago bernabeu. Matokeo ya timu hayampi wasiwasi
  7. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wakuu kule moscow vipiii
  8. S

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Viwango vimeshuka. Vigogo barca na los blancos naona wapo usingizini. Barca sijui kama wamestuka kuwa xavi na iniesta hawapo. Wanahaha kuliweka benchi lao la ufundi mfano mzuri ni tetesi za kumleta mkurugenzi wa ufundi kutoka roma mr. Monchi ambae alifanya kazi hiyo akiwa sevilla. Scouting...
  9. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Asensio spoiled my night
  10. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Cebbelos ameleta ladha. Ilikuwa technical sub...... ila sevilla ndo anapumulia ivooo
  11. S

    Ajira mpya ualimu sekondari.Huko kwenu vipi?

    S Sion haja ya kulumbana kihoja na wewe mkuu
  12. S

    Ajira mpya ualimu sekondari.Huko kwenu vipi?

    Kumbe sasa hali ni ngumu kote.... wenye kufahama maswala ya ajira na mahusiano kazini msaada kwenye tuta
  13. S

    Ajira mpya ualimu sekondari.Huko kwenu vipi?

    Mkuu unauhuru wa kutoa maoni kwa kujenga hoja. Ila naona unatoa vioja. Tangu lini mwalimu awe fala mzee
  14. S

    Ajira mpya ualimu sekondari.Huko kwenu vipi?

    Andika barua omba ruhusa. Baadhi ya maafisa elimu wapo honest black and white, hawajawapeleka waalimu vituon kwao kwani hawana hela. Kikubwa kizuri wamewaruhusu warud maskani kwao
  15. S

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Los blancos hawachezi kitimu kabisa. Hapa ndo unaweza zijua juhudi za mchezaji mmoja mmoja kwenye msako hui
Back
Top Bottom