Sangija mtata
Member
- Sep 20, 2018
- 36
- 25
Wakuu naomba kuuliza kwa waalimu wa ajira mpya. Kuhusiana posho ya kujikimu na salary tangu kuripoti kituo cha kazi. Huko kwenu vipi? Vipi kunadalili zozote au turudi maskani hadi miezi mitatu ipite.Huku kwetu bila bila