Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 11,646
- 15,743
😈😈 mfanyakazi wa ndani house boy!!Ndani ya nini?
😈😈 mfanyakazi wa ndani house boy!!Ndani ya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji48] mfanyakazi wa ndani house boy!!
Mfanyakazi wa mambo ya ndani [emoji23][emoji23]Mambo ya ndani
Mkuu unauhuru wa kutoa maoni kwa kujenga hoja. Ila naona unatoa vioja. Tangu lini mwalimu awe fala mzeeUwalimu niliuchukiaga kwa sababu nilikua natandikwa sana mpaka kesho nawaonaga walimu wa shule za sekondari ni mafala hawana lolote
Madaktari wauguz na mafundi sanifu maabara wao mbona hawaambiwi habari za reli
Kumbe sasa hali ni ngumu kote.... wenye kufahama maswala ya ajira na mahusiano kazini msaada kwenye tutaMbona na wao wanasota nyumbani kama wengine, tena kuna ambao wamelazimishwa waanze kazi na tatizo lao litatafutiwa ufumbuzi wakiwa kazini ingawa siamini kama itakuwa hivyo kwani sio utaratibu wa kazi unaojulikana
Nina hoja kiongozi ndio maana nikasema ni mafala na nitaendelea kusema hivyo daima mpaka watakapobadilika na kufanya vitu hugeMkuu unauhuru wa kutoa maoni kwa kujenga hoja. Ila naona unatoa vioja. Tangu lini mwalimu awe fala mzee
Sion haja ya kulumbana kihoja na wewe mkuuNina hoja kiongozi ndio maana nikasema ni mafala na nitaendelea kusema hivyo daima mpaka watakapobadilika na kufanya vitu huge
vitu "huge".. unamaanisha nini?Nina hoja kiongozi ndio maana nikasema ni mafala na nitaendelea kusema hivyo daima mpaka watakapobadilika na kufanya vitu huge
😀😀😀 asiyejua maana haambiwi maanavitu "huge".. unamaanisha nini?