Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #38,801
Madrid to Moscow
Ni sahihi kabisa, ila inaonekana management ya club hawataki kununua tena mchezaji kwa gharama kubwa plus kuna vijana wadogo wamenunuliwa na wanatakiwa waingie moja kwa moja kwenye team, mfano ni huyu Vinicius Jr na mwenzie RodrigoGoes wote hawa ni foward,sasa club ikinunua itabid hawa vijana watolewe kwa mkopo kitu ambacho ninaona hawapo tayari kufanya, club ingeweza hata kumnunua Icardi, ila gharama plus project ya hao vijana ninaona wakaamua kuachana naye.Bado mtazamo wangu naamini ni sahihi...tunahitaji mtu wa kiwango cha juu kusimama mbele katka mtazamo wakibiashara lakini pia morali na nidhamu pale mbele irudi...huwez mtegemea bale ambaye iko gonjwa muda wote...benzema anayehitaji nafasi 12 za wazi ili afunge goli moja...hawa watoto bado hawajakomaa kimaamuzi...bado hawajajua uchungu haswa wakupoteza nafasi...tunahitaji mtu ambaye thamani yake inamsuta kila akigusa mpira
Ninaona dogo akipata nafasi game zijazo haswa baada Bale kupata majereha, ninatamani kuona dogo anatusaidia vp, sababu ninaona anajiamini na napenda kuchezaKweli, next time wampe japo dakika 15
Dani Carvajal is replaced by Odriozola due to an injury.