Kwann katika kipindi cha mafanikio ya Madrid na Barcelona Ronaldo na Messi walikuwa wanachukua individual awards nyingi na sio Iniesta... Xavi... Modric... Kroos au Ramos??? Football is a team game but kuna watu ambao ndo wanakuwa viongozi... Bila kuzungukwa na wachezaji wazuri Messi na Ronaldo wasingepata mafanikio sana lakini uhalisia ni kwamba wao ndio viongozi wa hzoo timu nzuri. .wao ndo walikuwa na uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote
Hizo individual awards ni just popular pulls. Xaxi na Iniesta waliipa Spain ubingwa Dunia. na ulaya mara mbili. We endelea kuwachukulia kama niwatu wakawaida. Ulida unatengenezwa kibiashara mkuu football ulaya ni business. Watu hulazimishwa kumpa pasi mtu fulani afunge kwenye timu, Watu hulazimishwa wamsifu mchezaji mwenzao fulani. Yote hayo yanatokea na yametokea. Haimaanishi kama yeye ndie bora. Mchezaji analazimishwa lazima amalize dakika 90 hata mechi nyepesi mno zisizohitaji nguvu nyingi ili apate afunge magoli, Mchezaji analazimishwa apige Free-kick na Penalt hata kama wapo waliomzidi kwa kupiga vizuri kuliko yeye.
