Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,143
Goal ebar 20min
View attachment 930879
Benzema ni very Joyful kumtizama. Anaufanya uone mchezo wa mpira kama ni mchezo rahisi kwa macho.
Wale waliosema hafai waendelee kula maneno yao.
Oooh really!!!??
Huyu jamaa nilisoma comment yake nikapata mafua.Oooh really!!!??

halafu mbishi hajui lolote kabisaaa. Haya huyo benzema wa kuonyesha mpira mwepesi yuko wapiHuyu jamaa nilisoma comment yake nikapata mafua.
Benzema? Like serious?
Yeah Really. Ndio kwanza uone mechi ya leo nyengine hujaziona au?
Kipa nae analakujibu
Weka navas achana na huyo reject wa chelsea
Naziona ila jamaa hana la maajabu ndo kwanzaa haonekani hata national team. Hivi kwanza ni raia wa wapi huyo yaan anazidiwa hata na martial kuitwa kikosini duh
Bila ya shaka yoyote umejidhihirisha upeo wako wa kandanda. Hufahamu matatizo yalkuepo baina ya Benzema na timu ya Taifa au?
Nilijua haya yanakuja. Solari si kocha mzuri kabisa, na niliwashangaa Real kumpa mkataba mkubwa. Alau wangelimuacha amalize msimu. Timu inakua chini sana anashindwa kuchezea mpira kabisa.
Na pi bado nashindwa kufahama why Bal anaendelea kuwa anachezeshwa.