eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Poleni sana kwa kipigo cha uefa champions league
Humu hakusomeki kama timu yaohumu bana.
Humu hakusomeki kama timu yao
Kumbe wewe ni fans wa real madridHii timu naipenda tatizo tulizoea ushindi tu na makombe mfululizo,ni ka upepo tu katapita
tuwe wakweli wote tuna ipenda RMA lkn replacement ya CR7 tuli ichukulia poa na ina tu gharimu mazoea yametuponza, ni ngumu kupambana na team kma Beyern kwa washambuliaji kma kina Mariano na Benzema inshort msimu huu tuna kazi sanaHizo 50 goals mbona hatoni dalili zake huko Juventus?
Wakati real anakula kichapo kwa spurs mwaka jana mzee wa 50 goals hakuwepo?
Wakati Real inastraggle kwenye ligi mpaka ikifikia nafasi ya 7 mwaka jana mzee wa 50 goals alikua hayupo?
tuwe wakweli wote tuna ipenda RMA lkn replacement ya CR7 tuli ichukulia poa na ina tu gharimu mazoea yametuponza, ni ngumu kupambana na team kma Beyern kwa washambuliaji kma kina Mariano na Benzema inshort msimu huu tuna kazi sana
Madrid ya Msimu huu imepunguza hata speed ya huu uzi watu wana chunga kauli maana lolote linaaweza kutokea hata game nyepesiMawazo huru yanaruhusiwa.
Madrid ya Msimu huu imepunguza hata speed ya huu uzi watu wana chunga kauli maana lolote linaaweza kutokea hata game nyepesi
tuwe wakweli wote tuna ipenda RMA lkn replacement ya CR7 tuli ichukulia poa na ina tu gharimu mazoea yametuponza, ni ngumu kupambana na team kma Beyern kwa washambuliaji kma kina Mariano na Benzema inshort msimu huu tuna kazi sana
Kuna game zingine zilikuwa zinakuwa ngumu lakini Ronaldo alikuwa anasimama anatushindia kwa uwezo wake mwenyewe... Nani kwenye kikosi hiki kilichobaki ambae ataweza kusimama kwa ajili ya timu... Akaenda Turin akapiga goli 2,akaenda Munich akapiga goli 2,nani ambae anaweza akasimama akafunga hat trick kutuvusha tukiwa tumeshapigwa 2-0 na wolfsburg ujerumani... Nani ambae tukiwa tuko hatarini pale bernabeu ataenda atachukua mpira... Atatuliza akili yake na kwenda kufunga penati ya dkk ya 98 dhidi ya Juve... Tutajitetea kwamba tunacheza kitimu lakini kuna moments anahitajika alpha male... A leader ambae anaweza akasimama na kuibeba timu peke ake... Benzema anapenda kuucheza mpira kuliko kufunga, sio mtu wa kumuamini... Bale afadhali lakini majeruhi yake yanatia mashaka... Asensio kama mmegundua anacheza vizuri game ikiwa rahisi, lakini mambo yakiwa magumu huwa anainama chini na kupotea... Tuna kazi kubwa sana ya kufanikiwa bila Ronaldo... Sio kwamba haiwezekani... Lakini ni kazi kubwa sanaLabda tukukumbushe, wakati Real wanawafunga Buyern na Liverpool msimu uliopita Ndie huyohuo Benzema aliwafunga na huyo CR7 wako alikua akizunguka tu uwanjani.
Madrid ya Msimu huu imepunguza hata speed ya huu uzi watu wana chunga kauli maana lolote linaaweza kutokea hata game nyepesi
Kuna game zingine zilikuwa zinakuwa ngumu lakini Ronaldo alikuwa anasimama anatushindia kwa uwezo wake mwenyewe... Nani kwenye kikosi hiki kilichobaki ambae ataweza kusimama kwa ajili ya timu... Akaenda Turin akapiga goli 2,akaenda Munich akapiga goli 2,nani ambae anaweza akasimama akafunga hat trick kutuvusha tukiwa tumeshapigwa 2-0 na wolfsburg ujerumani... Nani ambae tukiwa tuko hatarini pale bernabeu ataenda atachukua mpira... Atatuliza akili yake na kwenda kufunga penati ya dkk ya 98 dhidi ya Juve... Tutajitetea kwamba tunacheza kitimu lakini kuna moments anahitajika alpha male... A leader ambae anaweza akasimama na kuibeba timu peke ake... Benzema anapenda kuucheza mpira kuliko kufunga, sio mtu wa kumuamini... Bale afadhali lakini majeruhi yake yanatia mashaka... Asensio kama mmegundua anacheza vizuri game ikiwa rahisi, lakini mambo yakiwa magumu huwa anainama chini na kupotea... Tuna kazi kubwa sana ya kufanikiwa bila Ronaldo... Sio kwamba haiwezekani... Lakini ni kazi kubwa sana
Habari mkuu, mmoja wapo mie japo nakuwa bize sana lakini huwa najitahidi kuusoma huu uzi mara kadhaa ila kwa mwenendo wa timu yetu hivi sasa niseme tu SIWEZI KUTOA KAULI...Hivyo kwasasa wacha niweke reserve ya kauli.....Zisije tufanya tuwe maadui x2(In LavaLava Voice). Ila niseme tuu katika mgawanyo wa position uwanjani timu ipo vizuri kuanzia nyuma(back line) japo sio sana, kati tupo njema mno isipokuwa bado kule mbele sijamuona wakututembeza kifua mbele kwenye nyakati ngumu/Harsh moments kwa maana sahivi nyakati ngumu sio tu tufungwe na timu kama bayern ila hivi sasa ukishafungwa hata na timu ndogo tu ligi za ulaya anahitajika mtu kweli ili ushinde kama sio kusawazisha na niwe mkweli japo tumechukua sana UEFA lakini safari hii tupambane na hali yetu kwa yanayokuja mbeleni kwa kuwa yanafurahisha...''NILISHAWAHI KUSEMA KUWA TATIZO SIO RONALDO KUONDOKA REAL(UKIZINGATIA UWEZO WAKE WA KU DELIVER ULISHAANZA KUSHUKA NA CONSISTENCY YAKE ILIPUNGUA KIASI FULANI DUE TO AGE) BALI SHIDA NI KUTOSAJILI MTU/WATU SAHIHI WAKUVAA VIATU VYAKE" NA NIRUDIE TENA KUWA BADO SINA IMANI NA ASENSIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU HASA PALE TUNAPOTANGULIWA KUFUNGWA MFANO MECHI YETU YA REAL VS BILBAO ASENSIO AMERUKARUKA TU.
ACHANA NA HUYU MTU ANAITWA RONALDO JAPO KUWA ALISHAANZA KUPOTEZA CONSISTENCY YAKE DUE TO AGE...KITU AMBACHO NI KWAIDA MAANA ATA TEMBO NI MFALME WA PORINI LAKINI UMRI WAKE UNAVYOZIDI KWENDA HUNG'OKA PEMBE ZAKE ZOTE MARA 8 NA KISHA ANAKUFA, NAPOSEMA MAZINGIRA MAGUMU NI KAMA HAYA....