OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Hahahaha nini kimempata Qotwaaa...atajuta kuondoka Chelsea.
Ndio manake.Una maanisha 5 mkuu?
Duuhh lkn kipindi cha pili wamepunguza sana kasiNdio manake.
Ni kwasababu unapenda kuteseka mkuuKwanini napenda football wakati inanitesa hivi?
Natamani ingekuwa DKK ya 90Real Madrid anakufa hapa mbele ya Sevilla, kwa aibu mnooo.
Natamani ingekuwa DKK ya 90
Ndio nacho hofia hicho, sevilla wakomae sanaWanaweza kupata hata goli mbili aise
Lkn Macello ameumia na sub zimeisha huenda wakapunguzwa kasi kwa style hiiWanaweza kupata hata goli mbili aise
IhiiiiiiiiI start to question hii project ya Lopetegui, we played only 3 tough games this season and we lost all. What the **** is it? Are we Getafe or something? Hatuwezi kupigwa 3-0 na Sevilla and they're still comfortable