Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Asensio ndio right player to lead madrid attack,Sijui tatizo lako ni nini. Uvumilivu ni muhimu hamana alieanza tu akafanya mambo makubwa. Hata huyo Ranaldo hakuanza na speed aliomalizia.

Nilisema kuwa kwasasa wacha niweke reserve ya kauli ila kwa kilichotokea leo kwenye clasico wacha nitoe NENO...Kwa ufupi tulioona mwenendo wa timu tulikuwa tunakuchora tuu kwa namna ulivyokuwa unatumia nguvu kubwa sana kuupindisha ukweli na ndio maana sikujaribu kureply comment yako ata moja uliyoniquote, SASA NAMIMI LEO NAKUQUOTE...Ebu njoo hapa utetee upuuzi wako hadi tukuelewe sasa.
 
Unachotaka kusema angelikuwemo Ronaldo Real Madrid Wangelishinda au?

Mwaka jana walikula kipigo cha 3-0 tena ndani ya Bernabau na Ronaldo akiwa ndani.
 
Real madrid anapocheza na barca mchezo unaompa mafanikio ni direct attack na mipira mirefu. Sio madrid tuu hata timu yoyote inapopata ushindi dhid ya barca hucheza mchezo wa aina hiyo. Hapa madrid ilipofika ni mbegu aliyoipanda papa perez. Madrid ilihitaji kusajili wachezaji wenye class za juu kama HARRY KANE, MBAPE, ERRICKSEN ili kuwapa hawa akina benzema na bale changamoto. Na kikubwa zaidi aina ya mchezo wa huyu kocha sasa inatosha aje GUTI JOSE MARIA AU KONTE yy alipoifikisha madrid inatosha
 
Bro ulichokisema ni sahh kabisa,sina cha kuongeza
 
😛😛😛😛Jirani nilikwambia aisee brother luka maduara alishajiandaa kisaikolojia maana kuna muda nilikuwa namtafuta wakati dogo arthur anagawa chakula kumbe kajificha yani kawanawisha mikono halafu akawa anafanya sergio yule mupe,rakitic huyo mupe huku huyo kroos muruke ameshikilia jungu la msosi...casemiro kalizimisha sana kutaka nae awe muandazi lakini mambo yakawa sio mambo dogo kafanya unyangindo mbele ya mademu zenu

*****
 
BarcaRm highlights
IMG_20181028_214042.jpeg

View attachment 914364
 
Nimechoka kweli kweli, ila sina jinsi, team yangu ni Real madrid na nitaendelea kuishabikia, ila kwasasa kama solution ni kupata coach mpya ninaridhia kwa moyo mmoja. Nimeshachoka kukosa raha kila week, nilikuwa ninaona sio poa kumfukuza coach muda huu, ila kwasasa ninaona ni poa tu.
 
Hii game ni ya Värane, Ramos na Casemiro, Atleti wanategemea counter attack kama walivyotufunga game ya kufungua season. Ukizingatia Sevilla last week wametutandika kwa mtindo huohuo, inabidi beki wafanye kujipanga vizuri leo
Naomba matokeo ya leo
 
Hizi nyakati huwa zina mwisho, na mwisho wake ni hivi karibuni, ila kwasasa hatuna budi kupokea kila aina ya kejeli, kila mtu atasema llake, ila wakati ukifika haya maneno yataisha na watarudi tena kuombea tufungwe wapate kuongea, ila hakuna shaka cha msingi ni team kusonga mbele.., #HalaMadrid!!
 
Wakuu, mwanzo nilidhani tatizo lenu ni Ronaldo. Ila leo nmegundua your whole team is a complete mess!

Only Marcelo played this evening, wengine walikua wanazurura tu kwenye tiki taka la wakatalunya!

Mnahitaji mabadiliko makubwa sana na usajili mkubwa pia.

Poleni sana!
 
Back
Top Bottom