Sangija mtata
Member
- Sep 20, 2018
- 36
- 25
Cebbelos ameleta ladha. Ilikuwa technical sub...... ila sevilla ndo anapumulia ivooo
Marco Asensio sijui ndio niseme anaweza kufunga magoli ya mbali tuu!! sababu simwelewi kabisa, mara nyingi akipata nafasi karibu na lango anashindwa kumalizia, hii game tuliwashika Atletico vizuri tu kwa kweli....Hope watabadilika siku za mbelenihawa jamaa tumewabana kila upande ila tumeshindwa kupata goli
Nilipatwa na wasiwasi alipoingia ila alibadili sana game yetu, ninaona tunakuwa vizuri sana kama tukicheza 4-4-2, sema hii system unatakiwa uwe na mmaliziaji wa ukweli..,Cebbelos ameleta ladha. Ilikuwa technical sub...... ila sevilla ndo anapumulia ivooo
Benzema kasaidia sana kuwashughulisha mabeki wa atletico, ndo maana umeona walikua hawatoki nyuma na hawapandi hovyo mbele. Alietukaba leo kwa mtazamo wangu ni Nacho, angekuwepo marcelo hawa wasingetoka salama.Huyu Benzema si aende bench tu.
Huyu Vinicius Jr ana confidence ya kutosha, bado ni mdogoila anaonekana yupo tayari kupambana na Kaka zake, ni vizuri akiwa anapewa nafasi kidogo kidogo hiv ili azoeane na wenzie
Mkuu hata kwenu jana mmetoa drawHahahaa msimu Huu vigogo mmebanwa sana Huku LALIGA
Kwa mara nyingine vigogo wote mmemaliza tena kwa sare
