Recent content by Saikosisi

  1. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

    Sad, RIP
  2. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    man u hatushikiki
  3. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    RIP Kanumba
  4. Saikosisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mwenzenu nimefiwa

    Pole sana. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. amen
  5. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    unaishi wapi wewe? mgomo ulishaisha - madaktari wako kazini leo kama kawa.
  6. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)

    wagonjwa na ndugu wa wagonjwa wengi huwa hawawezi kuwasiliana vizuri na wahudumu wa afya - mkienda tena hospitali muongee vizuri kwa kirefu na daktari muangalie uwezekanowa vipi zaidi. na dawa anazotumia kwa sasa ni dawa gani? nakubaliana na mdau hapo juu kuhusu matatizo ya moyo, figo na kadhalika.
  7. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania AIDS/HIV and Coconut Oil

    hii "story" ni fake jamaa wanataka kuuza coconut oil tu! na katika pdf ambayo iko attached hakuna sehemu inayoonyesha studies zimefanyika ku-support statement kwamba "coconut oil can beneficially reduce the viral load of HIV patients". jamaa wanajua tu kuwa watu ni wavivu hawatasoma! lol!
  8. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    pole sana kwa msiba
  9. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Msaada Jamani!!!!!!

    nenda hospitali, mitishamba haitakusaidia. na kifafa sio jini. kha!
  10. Saikosisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya mapenzi na mwanamke aliye katika siku zake bila kupata mimba? Na sababu ni nini?

    ili mwanamke apate mimba surti ziungane mbegu za kiume na yai la mwanamke; mwanamke akiwa kwenye siku zake yai linakuwa limekufa hivyo hawezi kupata mimba. nguvu za kiume na mbegu za kiume zaweza kupungua au kuisha hata kama mtu hafanyi mapenzi mara kwa mara kutokana na magonjwa mbalimbali...
  11. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Makatazo yangu na usia wangu juu ya kuchanganya vyakula

    acha uzushi wako. sayansi ya wapi hiyo?! au mambo yetu yale.... (loliondo)?
  12. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    pole, unasikitishwa na reporter ama matokeo?
  13. Saikosisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemwona Mama Mkwe uchi wa kuzaliwa kwa bahati mbaya, ni laana?

    not a big deal, endelea na maisha yako.
  14. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    kha! mtu kama babu yako anakudanganya atakuoa?! nawe unadanganyika?! hiyo akili au matope. watakuwa wanatiwa kwa kukubali bana acheni hizo.
  15. Saikosisi

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa yehova-changamoto iliyofichika kwa wahudumu wa afya

    Yes, mie nitafanya hivyo na sitakuwa na kovu kwa sababu ni uamuzi wake (sahihi according to his/her beliefs) na ndivyo inavyotakiwa. suppose unamlazimisha kumtia damu na akafa vilevile (maana yake anakufa kabla ya kupata fursa ya kutubu - kama anavyosuggest Uda) inakuwa umem-lostisha sio...
Back
Top Bottom