Acha ujinga weweCCM hao...si alitangaza nia ya kugombea ubunge Shinyanga??...Na lazima angegombea kupitia CDM.RIP Kanumba.
Acha utani ina maana maisha yako Kanumba haumfahamu? Inaonekana hata Rais haumjui!
Gone too soon. Huyu Homeboy nimeongea naye mwaka jana na kupanga Pwagu na pwaguzi fulani huko mbele ya safari.
Hamuwezi kuamini, leo hii kama saa moja iliyopita, niliijiwa kichwani na mpango mzima na nikawa najiuliza kama bado atataka kuuendeleza au ameshagairi. Nafikiri muda huo huo ndiyo mwenzetu alikuwa akituaga. Nashindwa kuamini kama hii habari ni ya kweli.
Njia yetu ni hiyo hiyo wote. Mungu akupe mapumziko mema huko ulikotangulia.
Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika.
Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia.
Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie
RIP

R.I.P KANUMBA my favourite bongo actor,allah akbar