Nimemwona Mama Mkwe uchi wa kuzaliwa kwa bahati mbaya, ni laana?

Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.

not a big deal, endelea na maisha yako.

Inasikitisha na kuonesha the way maadili yanavozidi poromoka!!

Kweli kabisa maana hata kama mko wawili tuu ndani ya nyumba haina maana ndo unaweza toka uchi wa mnyama toka chumbani
Ustaarabu wa mama mkwe ni ziro kabisa

Wenzako wanamega mama mkwe!
Wewe kuona tu uchi wake unatetemeka?

Anakutega huyo, walking along the corridor while naked? if it is true mh!!

Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi na mbili alfajiri kwend chooni na nilimkuta mama mkwe akitokea bafuni kuingia chumbani kwake kama alivyozaliwa. Nilirudi mara moja chumbani na sijamwambia mtu yeyote kuhusu mkasa huu, hata mke wangu sijamwambia. Nifanyeje? Je huu ni mkosi? Nawasilisha.

sasa nawewe huko chooni ulikuwa unafuata nini? wakati unaishi soma RED.

inashangaza,unajijua una wageni au mgeni,utaendaje chooni uchi?inashangaza kidogo,tena mkwe wako.huyo ndio wa kupeana heshima.nilishawahi kuwa na wageni ambao nawaheshimu,bahati mbaya kufuli yangu niliisahau chooni,kiukweli nilijisika aibu,na wao walitumia choo hicho hicho.msijali,kufuli yangu ilikuwa safi.kwa upande wangu nahisi ni kitu private

Kweli kabisa maana hata kama mko wawili tuu ndani ya nyumba haina maana ndo unaweza toka uchi wa mnyama toka chumbani
Ustaarabu wa mama mkwe ni ziro kabisa

mmmh! hapo in blue.....

In red... i agree kabisaa!!!

Hii ni stor yakutunga na sio kitu cha kweli kwani self gani unashare mama mkwe badala ya wife? Unapo danganya unatakiwa ujipange sio kukurupuka

kweli hapa kuna utata self si ndani kwa ndani kila kitu ama kujisaidia n.k ama ulitoka kwenda wapi?

We kwanini uende kukaa ukweni?...
Huyo mama pia ustaarabu ni zero, kama anakutega we tia kazi.

Usiichukulie hivo kua ni Mkosi... Ukifanya hivo utachukulia vitu negatively na kuaffect utendaji wako then at the end ulaumu tukio... Hio ni bahati mbaya... ila it tells a lot about your mama mkwe... yawezekana ni wa mjini saana.... ama she is too young to be a mama mkwe... ama sio mstaarabu; Hata kama tu wanangu wako ndani, i can not dare kutoka uchi for you never know... sembuse mkwe??

Pole saaana.

Duh! Au mchawi, mama nae, hata wageni wakiwepo jamani mh, hata kama bahati mbaya kubanwa gani hukoa asahau hata kimtandio. Anywaz tusimlaum sana mama wawatu nibahati mbaya.

Umechemka mara umepanga self cntnd,sasa wewe choo cha nje ulikuwa unafata nini?

nahisi kama kastory kakutunga vile.anyway kama kweli uchune na usimwambie mtu, kimya kimya.

Similar Discussions

Back
Top Bottom