Recent content by sagaci

  1. sagaci

    Ni Jaji yupi ambaye hukumu zake unapenda sana kuzisoma?

    Wengi sana wako vizuri sana (>90%) orodha ni ndefu...ungetaka majaji wanaoboa/ukiona tu jina la Jaji una-close page kufungua nyingine ndo orodha iko fupi sana. Coz kuna Jaji HCT (....) wa zamani kidogo sijawahi kuona hata hukumu yake iliyokatiwa rufaa CAT imekubarika zote ni... "the trial...
  2. sagaci

    Ni Jaji yupi ambaye hukumu zake unapenda sana kuzisoma?

    Kisutu JAJI tena jamani du!...kisutu ni RMC hakuna judge
  3. sagaci

    Kukazia hukumu maana yake nini?

    Umepotosha badala ya kuongezea!.
  4. sagaci

    Kukazia hukumu maana yake nini?

    Hapana hapana mkuu, badala ya kuongeza UMEPOTOSHA watu bora ungelike basi. Hata mfano wako co vivid (km mali isiyohamishika ipo mbeya kisheria kesi itasikilizwa huko mbeya na sio Dar). Km bado upo chuo PROCEDURAL LAW ni changamoto subiri uje uraiani komaa tu na SUBSTATIVE LAW!.
  5. sagaci

    Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

    Kuna mkoa unaitwa "Sumbawanga" tanzania hii???
  6. sagaci

    Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

    Wapeni kampuni ya utafiti wa masoko ya SAGACI ili waweze kufanya research waje na majibu sahihi. Hawa jamaa SAGACI RESEARCH CO. LTD wako vizr sna kwny data collection na wanateknolojia ya kisasa!.
  7. sagaci

    Kilichomponza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hiki hapa

    [emoji3][emoji3][emoji3] Slip of a pen...Kwa hearsay mkataba ulisainiwa 1996 na unaisha July 2017. Ulikuwa na maturity ya miaka 21.
  8. sagaci

    Naomba msaada wa kisheria

    Pole sana kwa hayo yote mabaya yaliyokukuta kaka!. Mikondo ya sheria ipo miwili (a) criminal channel na (b) civil channel). Criminal hulenga zaidi kumpanishi mharifu ili apate maumivu asirudie (DETERENCE) na Civil hulenga kumpa fidia mtu alieumia ili kumrudisha kwny hali yake ya kawaida km...
  9. sagaci

    Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Ngoja gharama zipande na mimi naomba wapindishe kabisa ili sisi tunaojiita WANYONGE, tunyongwe kwa vitendo co maneno tu hata km nauli ya kutoka kituo kimoja had kingine iwe 1000, ama 1500 nitaunga mkono...sisi wa maisha ya chini ndo tulioiweka hiyo serikali eti hatuwezi kubadili (...CM) kwamba...
  10. sagaci

    Mwaka 2020 ni wa maamuzi magumu kwa jimbo la Kawe

    So unamanisha kawe kuna watu TOFAUTI na sisi huku wa Tandahimba??...Umetumwa na hao unaowaita "viongozi"??
  11. sagaci

    Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

    Hata km ni wema kwan hao wawili kuwa wapenzi ni tatizo??? Je watakuwa wamevunja ibara gan ya katiba ya JMT 1977. Acheni upuuzi kwa wewe hapo ulipo huna mpenzi??
  12. sagaci

    Msaada wa sheria ya umiliki wa ardhi kijijini

    Interpretation ya hyo section (kisheria) ni pale ambapo serikali ya kijiji ndo imetoa hyo ardhi (CRO) granted by the VC...on a village land!. Kumbka village land imegawanyika ktk part 3 i. Communal village land (for village use only) ii. Village land (availlable for grant under CRO) iii. Village...
  13. sagaci

    Lissu: 95% ya madini yetu yanaibiwa hapa nchini, Magufuli amekomaa na 5% sababu tu yanatoka nje

    Kwan hakuna sheria za madini??? Mkuu mbona you seems to have QI debt!. Yeye anaongelea mikataba ya madini co compostion of gold, copper, silver etc!. Hata medical, engineer, etc kuna sheria (eg. The pharmacy act, mining act etc) Na haungi mkono wizi wa madini anachoongelea ni procedure za...
Back
Top Bottom