Mosahe
Member
- Feb 22, 2017
- 67
- 33
Naomba kujua kama kuna mtu ana link au anajua ninakoweza kupata kitabu kinachoitafsiri katiba ya Tanzania maana nahitaji kujifua kisheria ili nipambane na kesi 1 ninamshitaki mwekezaji kwa kuchelewesha fidia na kusababisha kelele na vumbi kila siku kwa milipuko ya baruti!