Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Okeyyote ni maoni ambayo yamehitajika na mleta mada
Okeyyote ni maoni ambayo yamehitajika na mleta mada
SawaLabda simu zao mbovu!
PoaKwangu ndio mtandao bora ulinganisha na hiyo mingne
SawaHiyo shida sija wahi iona kwakweli
Wapeni kampuni ya utafiti wa masoko ya SAGACI ili waweze kufanya research waje na majibu sahihi. Hawa jamaa SAGACI RESEARCH CO. LTD wako vizr sna kwny data collection na wanateknolojia ya kisasa!.Wadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),
Kwakweli kwa upande wa Halotel sina cha kulaumu. Nimeshatumia mitandao mingine yote.... ila halotel ina unafuu mkubwa sana upande wa voice calls na data.....
Hata speed ipo vizuri sana.
No one like halotel mwanaMkuu nadhani JF imesaidia sana miezi miwili iliyo pita hawa hallotel walikua umiza kichwa sana na tulipiga sana kelele lakini angalau kwa sasa kama wametuelewa kidogo naona net yao na wizi wao umepungua
Halotel wana 4G au bado wako 3G??acheni upotoshaji hakuna mtandao tz unaoweza kufikia kasi ya Halotel wapo vizur sana na mob zinachelewa kukata tofauti na voda ukinunua tigo ndio kabisa mb hautumii jinsi ilivyo slow
3gHalotel wana 4G au bado wako 3G??
walianza wizi mwaka janaMkuu nadhani JF imesaidia sana miezi miwili iliyo pita hawa hallotel walikua umiza kichwa sana na tulipiga sana kelele lakini angalau kwa sasa kama wametuelewa kidogo naona net yao na wizi wao umepungua
Ni kweli kabisa kaka. Mie sasa hivi sipotezi muda na Mitandao mingineYaani dk ukijiunga elf 10 tigo unapata dk 130 wakati halotel dk 180 alafu tigo 4g ni upuuzi uliopitiliza
MizinguoWadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),