Naomba msaada wa kisheria

ZOPPA

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
2,725
2,875
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa manao fahamu sheria kuhusu kesi yangu

talehe 1/1/2017.nilipigwa mapanga 3 maeneo ya kichwan na mgongon pasipo kujua kosa wala sababu na jilan tunae ishi nae mtaa mmoja sikujua chanzo cha kunijelui na alipo nijelului kulikuwa watu
541224d38c7313b1d8223c0b2acc17a3.jpg

d8dd4824db5514888056c0ef428d706a.jpg

tulienda kufungua kesi police bahada ya hapo mtuhumiwa alikamatwa tarehe 19 /1/2017.

kesi ikafika mahakama ya mwanzo 20/1/17. hadi ukumu ilipo kuja kutolewa 25/4/17

na hukumu ilikiwa ivi

mtuhumiwa alionekana na kesi ya kunijelui

na mahakama iliamulu nipewe fidia ya 50000. ikiwa nimetumia zaidi ya 600000

na mtuhumiwa wangu kupewa kifungo cha nnje miezi3.

kwa mimi binafsi sikulizishwa na hukumu ilio toka nikamua kukuta rufaa kwenda mahaka ya wilaya ya morogoro mjin

lakini cha ajabu nilinyimwa adi nakala ya ukumu na akimu na kupewa maneno machafu yasiyo staili

je kuhusu sheria inasemaje mtu akijelui kutumia panga hukumu inakuwaje

na kuhusu muda nilio poteza majeraa alio nipa pesa ya matibabu

NAOMBEN MSaada wenu na ufafanuzi juu ya hili

kwa mimi bon
 
dah pole sana mkuu,inasikitisha sana...ngoja tuwasubir wanasheria hapa watusaidie..
 
Duuh..,, Mkuu una chochote lkn..?? TZ hii kama huna chochote hutokaa uridhike, itakula upande wako kila uchao., tena huko kwenye makesi haya ndo uspime...!!

Pole sana kwa maswahibu....!!
 
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa manao fahamu sheria kuhusu kesi yangu

talehe 1/1/2017.nilipigwa mapanga 3 maeneo ya kichwan na mgongon pasipo kujua kosa wala sababu na jilan tunae ishi nae mtaa mmoja sikujua chanzo cha kunijelui na alipo nijelului kulikuwa watu
541224d38c7313b1d8223c0b2acc17a3.jpg

d8dd4824db5514888056c0ef428d706a.jpg

tulienda kufungua kesi police bahada ya hapo mtuhumiwa alikamatwa tarehe 19 /1/2017.

kesi ikafika mahakama ya mwanzo 20/1/17. hadi ukumu ilipo kuja kutolewa 25/4/17

na hukumu ilikiwa ivi

mtuhumiwa alionekana na kesi ya kunijelui

na mahakama iliamulu nipewe fidia ya 50000. ikiwa nimetumia zaidi ya 600000

na mtuhumiwa wangu kupewa kifungo cha nnje miezi3.

kwa mimi binafsi sikulizishwa na hukumu ilio toka nikamua kukuta rufaa kwenda mahaka ya wilaya ya morogoro mjin

lakini cha ajabu nilinyimwa adi nakala ya ukumu na akimu na kupewa maneno machafu yasiyo staili

je kuhusu sheria inasemaje mtu akijelui kutumia panga hukumu inakuwaje

na kuhusu muda nilio poteza majeraa alio nipa pesa ya matibabu

NAOMBEN MSaada wenu na ufafanuzi juu ya hili

kwa mimi bon

Mkuu kabla wana sheria hawjaja kutupa utalamu wake.. Wakati kesi ikiendelea Utetezi wake ulikuwaje? Kwamba alikuwa chizi ghafla au? Na Kwa nini alikulenga wewe tu wakati ku;ikuwa na watu wengine? Mkuu hujawahi kutenda kosa lolote la kumkwaza yeye mfano kutembea na Mke wake au hawala yake au Mali?

Labda ukishare na sisi tunaweza kujua hao wanasheria wanaanzia wapi kukupa ushauri ila ukiendelea kuliweka hivyo ulivyoiwasilisha utaishia kupewa Pole tu
 
Kwa muundo wa mahakama uko hivi:-

Kama hukuridhika na maamuzi/hukumu ya mahakama ya mwanzo unakata rufaa mahakama ya juu yake ambayo ni mahakama ya Wilaya. Rufaa ya maamuzi ya mahakama ya wilaya hukatwa mahakama kuu. Lakini kwa mahakama ya wilaya mwenye mandate ya kukata rufaa kwa upande wa jamhuri/mlalamikaji ni mwendesha mashitaka. Kwa rufaa niishie hapo

Kama hakimu wa mahakama ya mwanzo anakusumbua kukupa copy of judgement (nakala ya hukumu), nenda kwa hakimu wa wilaya toa malalamiko yako. Haki itatendeka.

POLE SANA.
 
alikuwa sio chizi wla anywi pombe kozi ilikuwa usiku alichosema amelala na mkewake watu wanampigia kelele sikuwa peke yangu tulikiwa wengi
 
Kwa muundo wa mahakama uko hivi:-

Kama hukuridhika na maamuzi/hukumu ya mahakama ya mwanzo unakata rufaa mahakama ya juu yake ambayo ni mahakama ya Wilaya. Rufaa ya maamuzi ya mahakama ya wilaya hukatwa mahakama kuu. Lakini kwa mahakama ya wilaya mwenye mandate ya kukata rufaa kwa upande wa jamhuri/mlalamikaji ni mwendesha mashitaka. Kwa rufaa niishie hapo

Kama hakimu wa mahakama ya mwanzo anakusumbua kukupa copy of judgement (nakala ya hukumu), nenda kwa hakimu wa wilaya toa malalamiko yako. Haki itatendeka.

POLE SANA.
asante kaka kwa ufafanuzi wako je kisheria hukumu ipoje kwa mtu alie jelui kwa silaaa
 
Naomba ufuate hizo taratibu ndugu yangu. Kwako wewe bahati nzuri unalalamikia adhabu iliyotolewa dhidi ya accused kuwa ni ndogo. Hivyo maelekezo zaidi utayapata kwa hakimu wa wilaya.
 
asante mkuuu
 
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa manao fahamu sheria kuhusu kesi yangu

talehe 1/1/2017.nilipigwa mapanga 3 maeneo ya kichwan na mgongon pasipo kujua kosa wala sababu na jilan tunae ishi nae mtaa mmoja sikujua chanzo cha kunijelui na alipo nijelului kulikuwa watu
541224d38c7313b1d8223c0b2acc17a3.jpg

d8dd4824db5514888056c0ef428d706a.jpg

tulienda kufungua kesi police bahada ya hapo mtuhumiwa alikamatwa tarehe 19 /1/2017.

kesi ikafika mahakama ya mwanzo 20/1/17. hadi ukumu ilipo kuja kutolewa 25/4/17

na hukumu ilikiwa ivi

mtuhumiwa alionekana na kesi ya kunijelui

na mahakama iliamulu nipewe fidia ya 50000. ikiwa nimetumia zaidi ya 600000

na mtuhumiwa wangu kupewa kifungo cha nnje miezi3.

kwa mimi binafsi sikulizishwa na hukumu ilio toka nikamua kukuta rufaa kwenda mahaka ya wilaya ya morogoro mjin

lakini cha ajabu nilinyimwa adi nakala ya ukumu na akimu na kupewa maneno machafu yasiyo staili

je kuhusu sheria inasemaje mtu akijelui kutumia panga hukumu inakuwaje

na kuhusu muda nilio poteza majeraa alio nipa pesa ya matibabu

NAOMBEN MSaada wenu na ufafanuzi juu ya hili

kwa mimi bon
Pole sana kwa hayo yote mabaya yaliyokukuta kaka!.

Mikondo ya sheria ipo miwili (a) criminal channel na (b) civil channel). Criminal hulenga zaidi kumpanishi mharifu ili apate maumivu asirudie (DETERENCE) na Civil hulenga kumpa fidia mtu alieumia ili kumrudisha kwny hali yake ya kawaida km kabla hajaumia kisaikolojia kwa kumpa fidia ya pesa (COMPESATION)

Kilichofanyika (kwa maelezo yko) ni criminal channel ambayo husimamiwa na serikali. Mtu kumjeruhi mwingine ni kosa kijinai (soma kifungu cha 241 cha sheria ya adhabu sura Na. 16 kujiridhisha zaidi).

USHAURI WANGU!.
Huna sababu ya kukata rufaa mahakama ya wilaya kwan tyr ishadhibitika (PASIPO KUWA NA SHAKA) alitenda kosa hilo na ameadhibiwa KIJINAI. Hivyo basi nenda mahakama ya wilaya (kwa kuwa kesi yako kimadai tunaita TORT) ukafungue kesi ya madai SIO RUFAA ili wewe uweze kupata fidia ya gharama halisi ulizotumia (SPECIFIC DAMAGES) mbazo utadhibitisha vikali (i.e strictly proof), na pia utapewa kifuta maumivu (GENERAL DAMAGES) ambapo kwa mkondo wa JINAI huwezi kuzipata!.

Ukomo wa kufungua kesi yko (Kwa madai) ni pale itakapopita miaka 3 hujaomba nafuu mahakamani hapo utakuwa nje ya muda (TIME BARRED) kwa sasa uko na muda!.

MALALAMIKO DHIDI YA HAKIMU KUHUSU HUKUMU

Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kwa mahakimu mahakama ya mwanzo ni MKUU WA WILAYA so waweza kwnd huko ama kuwasilisha malalamiko yako moja kwa moja kwny tume ya mahakama Tanzania kwa SMS ama WHATSAPP kwa namba 0752 500 400 utapewa maelekezo ya kufanya.

Asante!!!.
 
Achana na rufaa kwani haina tija.Ila kama unataka bifu endelea.
Kwa vile alipatikana n.a. hatia n.a. kuadhibiwa,fuata U shauri wa kufungua kesi ya fidia (tort),cha msingi uwe n.a. vielelezo vya jinsi ulivyoingia gharama ya matibabu. Pia nakala ya hukumu utaipata kwa kupeleka malalamiko Mahakama ya Wilaya.
 
Pole sana kwa hayo yote mabaya yaliyokukuta kaka!.

Mikondo ya sheria ipo miwili (a) criminal channel na (b) civil channel). Criminal hulenga zaidi kumpanishi mharifu ili apate maumivu asirudie (DETERENCE) na Civil hulenga kumpa fidia mtu alieumia ili kumrudisha kwny hali yake ya kawaida km kabla hajaumia kisaikolojia kwa kumpa fidia ya pesa (COMPESATION)

Kilichofanyika (kwa maelezo yko) ni criminal channel ambayo husimamiwa na serikali. Mtu kumjeruhi mwingine ni kosa kijinai (soma kifungu cha 241 cha sheria ya adhabu sura Na. 16 kujiridhisha zaidi).

USHAURI WANGU!.
Huna sababu ya kukata rufaa mahakama ya wilaya kwan tyr ishadhibitika (PASIPO KUWA NA SHAKA) alitenda kosa hilo na ameadhibiwa KIJINAI. Hivyo basi nenda mahakama ya wilaya (kwa kuwa kesi yako kimadai tunaita TORT) ukafungue kesi ya madai SIO RUFAA ili wewe uweze kupata fidia ya gharama halisi ulizotumia (SPECIFIC DAMAGES) mbazo utadhibitisha vikali (i.e strictly proof), na pia utapewa kifuta maumivu (GENERAL DAMAGES) ambapo kwa mkondo wa JINAI huwezi kuzipata!.

Ukomo wa kufungua kesi yko (Kwa madai) ni pale itakapopita miaka 3 hujaomba nafuu mahakamani hapo utakuwa nje ya muda (TIME BARRED) kwa sasa uko na muda!.

MALALAMIKO DHIDI YA HAKIMU KUHUSU HUKUMU

Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kwa mahakimu mahakama ya mwanzo ni MKUU WA WILAYA so waweza kwnd huko ama kuwasilisha malalamiko yako moja kwa moja kwny tume ya mahakama Tanzania kwa SMS ama WHATSAPP kwa namba 0752 500 400 utapewa maelekezo ya kufanya.

Asante!!!.
asante sana kaka nimekuelewa kkwa imakini na maelezo yako na ufafanuzi wako nimekuelewa sana. ipo hivi tayali nimesha kata rufaaa na tarehe 14 /6 /17.tunanderza na kesi je kuna haja ya kutafuta wakili wa kusimamia hili swala mahana kesi ni yajinai ila cha ajabu tangia mwanzo sikusimamiwa na mwanasheria wa serikali je kuna haja naomba mlejesho wako mkuuu
 
Back
Top Bottom